Mzee wa Usafi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2008
- 645
- 294
madikteta hawaondolewi kwa sanduku la kura wala kwa mtutu wa bunduki bali kwa maandamo...basi!!!!!! huu ndo mwanzo aluta continua
Asante Regia tuko pamoja
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!
watazunguka nchi nzima, kama watakuwa wanafanya wkend tu yanaweza kuchukua miezi mingi sana kitu ambacho hayatakuwa na maana tena ukiangalia malengo ya maandamano..utakuta dowans walisha lipwa.Nawasubiri Hapa Villa....Mkifikia ntawasikia....napata lunch mara moja...lakini kwanini msinge fanya siku za weekend..as kwa sasa watu wako makazini...Mnaoje?
mods badilisheni heading ya hii thread, yanayotokea mwanza siyo maandamano ni matembezi ya amani.
Maandamano hupata suluhisho i.e tunisia, egypt na sasa libya, matembezi hutafuta suluhisho i.e arusha
Vianamtosha,yeye si fisadi kama JK!kwa nini CHADEMA hawamnunulii Dr Viatu vingine, Dr anavaa viatu hivyo hivyo tangia ufunguzi wa campaign last year August.
Wakuu yale maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa ndio yameshaanza.Maandamano yameanzia Buzuruga kuelekea uwanja wa Furahisha.Watu ni wammejitokeza kwa wingi wa jinsia na rika zote.Kwabahati mbaya sijakaa kwenye position nzuri ya kurusha picha lakini nikipata fursa nzuri nitazirusha.
Aluta Continua.
From kwenye Maandamano Mwanza
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
![]()
Picture added by JF Admin
Kwa hiyo unadhani baada ya maandamano hayo uchwara bajeti ya nchi itabadirishwa?
Nothing will be achieved by those maandamano other than media attention!
Bado hujaenda hapo Mara, Arusha....Jamani Mwanza ni nzuri, tunataka Mwanza ndiyo iwe kitovu cha vuguvugu la mabadiliko ya kweli.... ALUTA CONTINUA
Yale ya misri,tunisia,libya ni maandamano+boycott. Watu waliandama wasio na kazi na wenye kazi wakagoma kwenda makazini.Lakini ya chadema ni maandamano ya watu wasio na kazi na effect yake ni zero and hence ni kupotezea watu mda.
Maandamano yoyote yanakuwa na maana kama shughuri za serikali zitakuwaa zimesimama. Vinginevyo ni upotevu wa mda tu na resources.
This is either Makamba,chiligati,ROSTAM or any corrupt leader in Tz not otherwise
Je nani mwenye moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania hii? Je wenye moyo wa kweli ni wenye Dowans, Kagoda, Mwananchi gold, deep green finance, waliokula cha juu kwenye manunuzi ya rada na vifaa vya jeshi?Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
aliechoka raisi wako hawezi kutembea hata hatua kumi tena na jua la saa 7 asingefika popoteNimemuona Dr. Slaa hapo kwenye picha, inaonesha kama kachokaaaa, wamembebesha dunia babu watu roho riziki yake sasa du, watu wabaya!!!
Yale ya misri,tunisia,libya ni maandamano+boycott. Watu waliandama wasio na kazi na wenye kazi wakagoma kwenda makazini.Lakini ya chadema ni maandamano ya watu wasio na kazi na effect yake ni zero and hence ni kupotezea watu mda.
Maandamano yoyote yanakuwa na maana kama shughuri za serikali zitakuwaa zimesimama. Vinginevyo ni upotevu wa mda tu na resources.
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
Hili nalo neno mkuu, IQ zao ndogo. Habari ya kazi lakini?