Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
Re: Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mwanza-Live
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo. WEWE UNADHANI BILA MISUKUMO KAMA HII KUNAUTAKACHO AMBULIA????? FIKIRIA KABLA YAKUANDIKA.
Na hiyo ndiyo achievement pekee mtakayoipata toka kwenye hayo maandamano; kushangiliwa na watu "wa kawaida".
Mbhe ngago bhasu!wakondya wasu!!! wakondya sana!!!
Hivi CDM wanategemea nini kutokana na haya MATEMBEZI?
Kwa hakika leo mambo yalikuwa mazuri mno.Nadhani wale mliobahatika kutazama taarifa ya habari na picha toka kwa Ndugu Mchonga mtakuwa ni mashahidi.Tumezindua maandamano kesho kazi inaendelea katika maeneo matano ya jiji la Mwanza.
1.Dr Slaa kuunguruma Ukerewe akiongoza na Wabunge watatu
2.Mbowe kuunguruma Geita na Sengerema akiongozana na Wabunge wengine saba
3.Highness kuunguruma Misungwi
4.Wenje kuunguruma Kwimba
Aluta Continua.
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
Kaka ur right. Dr aachane na hayo muda wa kampeni umeshakwisha. wanajamii wahamasishwe kushiriki na kujitolea kufanya isue za kuleta maendeleo na sio kushinda na makombati barabarani anashusha hadhi yake
Kwa hakika leo mambo yalikuwa mazuri mno.Nadhani wale mliobahatika kutazama taarifa ya habari na picha toka kwa Ndugu Mchonga mtakuwa ni mashahidi.Tumezindua maandamano kesho kazi inaendelea katika maeneo matano ya jiji la Mwanza.
1.Dr Slaa kuunguruma Ukerewe akiongoza na Wabunge watatu
2.Mbowe kuunguruma Geita na Sengerema akiongozana na Wabunge wengine saba
3.Highness kuunguruma Misungwi
4.Wenje kuunguruma Kwimba
Aluta Continua.
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
wenye moyo wa nchi ndiyo nyie mnaokwapua mabilioni yetu pale BOT kupitia EPA, kutufisadi kupitia Richmond / Dowans. Hivi mishipa yako ya uchungu kwa wananchi na nchi yako ilishakatika?Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!
Kwa hiyo unadhani baada ya maandamano hayo uchwara bajeti ya nchi itabadirishwa?
Nothing will be achieved by those maandamano other than media attention!