Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

ninyi tunawajua ni mamluki wa CCM mbao mnafaidika na share ya ufalme wake
subirini tu siku zikifika mjiandae na pa kwenda kukaa
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
 
Unashupalia CDM walete maendeleo, unasahau kwamba CHADEMA hawako madarakani? Hawana Hazina, pesa yote iko na serikaliya CCM. Kinachofanywa na CDM kama chama makini cha upinzani ni kuhamasiha wananchi waelewe haki zao na raslimali walizonazo.

Vile vile kuwaonya watawala kuwa wananchi wamechoka na hali ngumu ya maisha
 
Slaa anamtaka JK kuondoa kodi zisizo za lazima kwenye bidhaa ili kupunguza gharama za maisha kwa wananchi
 
Originally Posted by kweleakwelea

Once posted ny Nyantella

Kwa kweli sijawahi kumsikia hata Dr. Slaa akihimiza watu kufanyakazi ila wajiletee maendeleo binafsi na maandamano tuuuu ndiyo yatakaitoa TZ katika giza? I doubt! na hata sisi wa pembeni tunao m adimire Dr. Slaa tunaanza kuchoshwa na hii tabia ya kitoto mtu mzima na Phd yake ambaye anaweza kuwa rais wa nchi hii anakosa busara kiasi hicho! na yeye anaendekeza sifa za kijinga! yaani CDM sasa ni Chama Cha Demokrasia na Maandamano, Maendeleo kwa mtindo huu tusahau!!! tabia ya kuiga tembo kunya itatupeleka pabaya!! walibya ni wa pili kwa Oil production duniani, na nchi zoote za kiarabu huko kaskazini (Tunisia, Misri etc.) they can afford kuishi mawiki wakiandamana na kuuana maana baada ya maandamano mafuta bei juu wata recover sisi huku tuna nini? mafuta tunaagiza pesa ya kigeni ndiyo hivyo tena inatumika ki aina sijui tufanyeje.

Libya ndiye main supplier wa mafuta kwenda Ujerumani hata wakati walipowekewa vikwazo na Bush mafuta waliuza Ujerumani kama kawa. andamaneni wala hamtasikia jamaa yenu Obama akisema kitu itakua Somalia nyingine and nobody will give a shit.

Unaongea upupu!! Unataka kusema kwa sababu Libya inaproduce mafuta ndo wana haki ya kuandamana and blablablahh... Kwanza si kweli Libya ni ya pili kwa kusupply mafuta kama ulivyodai... You must be sure of what you are saying... Na kama ni sawa kwao kuandamana kwa kuwa wana mafuta ya kuuza huoni kama WTZ ndo tunatakiwa tuandamane ama kufanya lolote linalowezekana kuingoa hii serikali dhalimu ya CCM kwani TZ ndo peke yake inayozalisha madini ya Tanzanite, na tuna rasilimali nyingi ambazo zingesimamiwa vema zingemaliza kabisa huu ugumu wa maisha tunaouface Watanzania????? Unaangalia upande mmoja tu ehhh!!
 
Askali wamependeza kujimix humo na nguo zao basi wote wameonekana kama ni CDM safi sana, Utawala wa sheria hakuna kurudi nyuma na hakuna kutumia maguvu bila sababu Tanzania itajengwa na Dr Slaa Kikwete ameshindwa.
Nimeipenda hiyo picha
 
Mlioko FURAHISHA pls keep us updated kwa mo nuz...
 

jamani Vp huu uelewa wa-TZ! Maendeleo hayaletwi na fedha pekee! kama hivyo basi tungekuwa mbali kimaendeleo kweli kweli!
 
Hii picha nimeipenda waandamanaji wanawalinda viongozi wa cdm na mgambo wa ccm, mikono unaiona hiyo!!!!?

ama kweli people's power

 
soma vizuri hiyo picha imetoka wapi, na imewekwa na nani -JF admin; hivyo hakuna kudanganywa, ni wewe tu ulikuwa hujasoma maandishi yote!
 
Matangazo haya yanawajia kwa hisani ya Regia Mtema (mhe).

Mbowe ndo amepanda jukwaani na anawaita waandishi habari wote jukwaani.
 
Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.

Sisi hatutaki shule za kata zinazotoa masifuri ya kufa mtu!!! Hatutaki maendeleo ya kutuletea bajaji kwa ajili ya wajawazito!!! Hatutaki hayo unayoita "maendeleo" ambayo si endelevu wewe! Na kwa bahati nzuri pa kuanzia tumeshapajua!!! Hatudanganyiki ng'ooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…