Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza


Mkuu tatizo la huyo jamaa alisoma chuo kwanza kabla ya kuanza darasa la kwanza, ndio maana hata thinking capacity yake ina limit.. achana naye :blah:
 
chama cha maendeleo ambacho hakijawahi kuhimiza watu wafanye kazi kwa bidii...! hureee maandamano hureeeee.....ugali bureee....maandamano hureee...! JIONI SLAA ATALALA HOTEL KUBWA...! HUREEE
Kwani wewe huwa unalala na Kikwete.
 

Pole sana Mkuu. Unaacha kujibu hoja za maana, unanieleza maana ya piece, kitu ambacho ni dhahiri kuwa nilikosea spelling tu, na nilisha sahihisha? Nakuonea huruma umepoteza muda kujibu hilo.
 
Slaa anasema Al Adawi ni kivuli, ametumwa. Anasoma hukumu ya ICC uk15
 

Jinyonge basi! :blah:
 

Wewe ni kilaza mwingine. bunge lilillopita kuna hoja gani ya maana imejadiliwa? so shut up
 
Wewe kumbe mpumbavu kabisa hivi hujui kuwa aliyesema wazi hizo milioni 90 ni mbunge wa CDM? Hujui kuwa aliyesema hivyo kuwa ni Mbunge Lema?
Kweli wewe huna akili kabisa unatupotezea muda bure humu ndani.
 
endelea mugumu.........hata bibi yangu amesema huyu ali adaw ni msukule
 
Slaa anasisitiza JK anamjua mmiliki wa DOWANS.

Anasema tunaambiwa tuinunue wakati tulishaambiwa na kamati ya Mwakyembe kuwa tusiichukue.
 
Kaka ur right. Dr aachane na hayo muda wa kampeni umeshakwisha. wanajamii wahamasishwe kushiriki na kujitolea kufanya isue za kuleta maendeleo na sio kushinda na makombati barabarani anashusha hadhi yake

Kweli jamani, shule za kata hazifai, hivi huyu ni mtu anaishi dunia gani, mbona unaharisha hadharani, huyo unayemuita baba wa taifa aliacha hadi kazi kule pugu. Unashangaa nini wewe, nitakutusi!!!
 
chama cha maendeleo ambacho hakijawahi kuhimiza watu wafanye kazi kwa bidii...! hureee maandamano hureeeee.....ugali bureee....maandamano hureee...! JIONI SLAA ATALALA HOTEL KUBWA...! HUREEE

Kinacho kuuma nini? tulia nyumbani uletewe ugari ee, we mtoto mzuri umesikia.
 

Askali wamependeza kujimix humo na nguo zao basi wote wameonekana kama ni CDM safi sana, Utawala wa sheria hakuna kurudi nyuma na hakuna kutumia maguvu bila sababu Tanzania itajengwa na Dr Slaa Kikwete ameshindwa.
 
Anasema anashangaa amesikia leo imetangazwa kuwa bei ya sukari imeshuka baada ya kusikia CDM wanaandamana kwaajili ya kupanda kwa gharama za maisha.
 
kwa nini CHADEMA hawamnunulii Dr Viatu vingine, Dr anavaa viatu hivyo hivyo tangia ufunguzi wa campaign last year August.

Soma kichwa cha thread; je kinafanana na viatu?

Achana na mambo ya viatu, mbona hujauliza mgwanda na kofia? au hukuziona wakati wa kampeni?
 
jamani tutumieni picha zingine. Halafu tupatieni summary ya yale yanayoongea na Rais wa ukwelikweli. Dr. Slaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…