Ndio kwanza Kamati zimeundwa. Si msubiri basi muone kwanza watafanya nini? Waachieni wafanye kazi yao badala ya kuanzisha maandamano ambayo yanaweza yakazaa vurugu na kusimamisha hayo maendeleo tunayoyataka!
there are currently 432 users browsing this thread. (149 members and 283 guests)
ich würde erwarten, dass alle mitglied chadema fan kuwa barabarani aber fuuny genug alle ihnen sind hier hinter dem bildschirm, gehen sie bitte auf der straße sehen sie die macht der regierung zu sehen
- jeykeywaukweli
- msikilizaji
- alberaps
- kyemba
- marygeorge
- sinkala
- emrema
- albedo
- king suleiman
- galang
- greek
- anaruditena
- milkyway galaxy
- zemarcopolo
- majanikv
- bado niponipo
- mbuki feleshi
- mlangaja
- ukwelikitugani
- kapotolo
- mwanacbe
- quinine
- kokwemage
- j mbungi
- scientist
- fasta fasta
- coby
- abigaeli
- elimumali
- chakaza
- ndibalema
- riwa
- sn2139
- emmadogo
- kagosha
- joeprince
- msindima
- mkamap
- manyanza
- pukudu
- ntuya
- jembe ulaya
- nyakageni
- daughter
- the prince
- emma 26
- the finest
- samirnasri
- pakajimmy
- mama kubwa
- mooduke
- d5
- mahesabu
- s. S. Phares
- muhosni
- kiazi kikuu
- mkuumtarajiwa
- jayfour
- edson
- mzalendo80
- do santos
- reddevil
- habariyaasubuh
- relief
- ugweno
- twendesasa
- wambandwa
- kakuru
- wajanga
- leonard akaro
- tiba
- offish
- bonnie1974
- typical
- mtwalekaigarula
- bagumhe
- zegreaty
- mkombozi
- think big
- zaratustra
- bushbaby
- good guy
- nsololi
- mtembea_peku
- babaubaya
- kuthumiwa haule
- masanja
- mfukunyuku
- binti sayuni
- ejogo
- hume
- beria
- nassdadon
- kipipili
- kambiringe
- felixonfellix
- bmn
- douglas sallu
- libasket b
- lweye
- furahi
- butola
- mantaleka
- tweve
- kaburunye
- lekule
- sabasaba
- mkwele
- profesy
- hisia kali
- lukolo
- qsm
- tata
- haki.tupu
- kamende
- mmassy
- polisi
- sekenke
- mbarbaig
- mr. Jayjay
- kurunzi
- babkey
- ukombozi tz
- zed
- gang chomba
- kiparadar
- mr. Zero
- mugumu
- positive thinker
- lyceum
- pmwasyoke
- obwere
- don alaba
- shapu
- kaka deo
- mambomengi
- quality
- mtumwa wa kweli
- msanya
- makaptula
- manyema
- vuga
- abdalah
- fauster
- panga la yesu
- cabhatica
Kwa hiyo maandamano ndio yataleta hospitali?
Vyama vinavyojifanya kujali kwa nini visihamasishe foundations zitakazofanya miradi ya maendeleo kwa mfano?
Maandamano feki ni unafiki tu!
Dr is bored now afadhari asimamie MATEMBEZI YA AMANI...hivi ni nini kinategemewa kutokana na matembezi haya?
Kutolipa Dowans?
Gharama za maisha kushuka?
Je wakilipwa na gharama za maisha zikiendelea kwenda juu nini kitafanyika matembezi mengine mbeya?
Go Chadema go!
Kindly next time yaandaliwe parallel na tulio DSM.
Good work!
kama hautaruhusu kwa hiari yako, basi sisi tutakuingilia kwa nguvu bila ridhaa yako!!msipofanya hivyo mtakuwa mnapoteza muda wenu na wa wale mnaowadanganya, kwa sababu hututawaruhusu kushika dola.
Akili mgando kabisa -- kokote duniani wenye dola ndio walio na jukumu la kuleta maendeleo.ZeMarcopolo said:Hamjawahi kuhamasisha hata ujenzi wa shule ya kata, kazi yenu kuandaa maandamano tu. Huo ni unafiki wa kisiasa, hamna moyo wa kweli wa kuleta maendeleo Tanzania.
Nimeipenda hii!Umma unafanya warm-up wewe, subiri kidogo utaelewa tu
Hatuna muda wa kuwaangalia hawa wezi, tumeshawaona hawana jipya including you. Mtakimbia nchi safari hii,
Jamani nina wasiwasi na hiyo picha. Picha hii siyo ya mwanza!!
Mji wa mwanza na vilima vyake vinafahamika vizuri sana. Naomba niwe wa kwanza kuikataa picha hiyo na klusema wazi kuwa imechakachuliwa!!!!
Jamani tunalo Bunge lenye Kamati mbalimbali kufuatilia na kutetea mambo haya! Kweli maandamano kama haya ni kupoteza muda wa kazi, kusumbua wananchi, kuleta uchochezi na vurugu tu! Wengine wasiokwenda shule hawaelewi, wanawekwa tu kuandamana kufuata mkumbo na kupotezewa muda wa kutafuta Riziki. Uvunjaji wa Amani huanzia hapa kwenye maandamono. CDM be careful. Tumieni BUNGE P'se. Mkinyimwa kibali cha maandamano pia inakuwa nongwa. Muelewe nin muelewe? Do you know the meaning of Piece?