Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Cha msingi sio kujua theme bali ni kujiuliza jamii itanufaika vipi na maandamano hayo na je, jitihada zinazotumika kuandaa maandamano zisingeweza kutumika kuleta manufaa zaidi? Hawa wote wanafiki tu!
Huo ndio mwisho wa upeo wako wa kufikiri usiwe unampiga mtoto wako pindi anapokuwa wa mwisho darasani utakuwa unamwonea.........
Inaoneka kama alikuwa amezimia au alikesha disko alikuwa na usingizi....Kweli kabisa amechoka anasinzia kabisa!
mkuuu hii ni ya leo!?? Basi hatari saana!ccm presha inapanda inashuka
nilishakwambia masanilo,sio madrasa al sul,usiharibu lugha zawatu,uliwahi kuniambia nikufundishe ujue vizur kutamka nakuandika hilo ulilokusudia,ila nahisi niayako nikukebehi iman zawengine ndio maana sikuweza kukufundisha kuepusha shari.Ulifikiri ni .....Madr...al sul?
Ulifikiri ni .....Madr...al sul?
Mnapoeza muda wa watu kufanya kazi. Watu wanataka barabara, hospitali, shule bora n.k. Hawataki maandamano.
Acheni uzushi, kahamasisheni shughuli za maendeleo.
Hivi yule mtoto wa Ndesamburo mbona huwa ashiriki maandamano yoyote ya Chadema pamoja na kupewa Ubunge wa viti maalum? au anaamini pesa ya baba yake inamuwakilisha?
nilishakwambia masanilo,sio madrasa al sul,usiharibu lugha zawatu,uliwahi kuniambia nikufundishe ujue vizur kutamka nakuandika hilo ulilokusudia,ila nahisi niayako nikukebehi iman zawengine ndio maana sikuweza kukufundisha kuepusha shari.
Wakuu yale maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa ndio yameshaanza.Maandamano yameanzia Buzuruga kuelekea uwanja wa Furahisha.Watu ni wammejitokeza kwa wingi wa jinsia na rika zote.Kwabahati mbaya sijakaa kwenye position nzuri ya kurusha picha lakini nikipata fursa nzuri nitazirusha.
Aluta Continua.
From kwenye Maandamano Mwanza
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
Picture added by JF Admin