Maandamano ya Amani Nchi Nzima

Maandamano ya Amani Nchi Nzima

GrEaTthinkers,

Think kiasi gani tumepoteza kama taifa,
Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi!
• TICTS
• RADAR
• NDEGE YA RAIS
• SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE
• TWIN TOWERS BOT
• MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini)
• KAGODA(EPA)
• MEREMETA
• RICHMOND/DOWANS
• WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM)
• IPTL
• KIWIRA COAL MINES
• NETGROUP SOLUTIONS
• MISAMAHA YA KODI(Nchi inakosa mapato)
• ALEX STEWART
• BEI YA BIDHAA ie. UMEME (watanzania ndiyo wanaofidia misamaha ya kodi)
• RITES
• ALLIANCE AIR
• KUJENGA BARABARA KUPITIA MBUGA YA SERENGETI(Matumizi mabaya ya kodi zetu)
• LOLIONDO
• BARABARA YA KILWA NA MANDELA KAZI KURUDIWA(Matumizi mabaya ya kodi zetu
Nasema hawa si wa kuchekea wanaiumiza Nchi,

Kwa Asili ni sisi ni matajiri, tunafilisiwa na wapuuuzi

Haiwezekani madudu yote hayo, hakuna hata mwenye hatia ukitoa Liyumba.

Ukinunua soda ya 500Tsh umetoa 90Tsh. kama kodi.

Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.:target:

JAIRO MILLION 500

LUHANGO MALI ASILI NDEGE QATAR

PIUS MSEKWA NGORONGORO

Tulijadili hii topic na tukasema tuandae vipererushi ili tuelimishe umma hasa vijijini.

Tumefikia wapi?? Wanaharakati wa haki za binadamu na wengine mko wapi??

Tunaishia tuu kulalamika huku JF

Jamani tuanzeje???

Hatuchukui hatua ndo maana Vasco da Gama na Luhanjo wanatuona Watanzania mazoba, wanazoa hela tuu

Kwa kuongeza uchungu ndugu,Jairo karudishwa wizarani!Haya,maandamano yaanzie wapi na lini?Tupendekeze sehemu za kukutania kwa kila wilaya,kisha moja kwa moja mpaka makao makuu ya mikoa,vinginevyo tutaishia kuraramika tu

Usukuman sie tumeichoka karibuni Mwanza tulianzishe

write to seek permission, on the day you are sending a request for, make sure you call all media, explain what is the aim for it, I know they like it too, also that will assure ones safety,more, this will allow many people to be attention waiting for the day. Again when you go to pick an answer call the media, everything media media ......

Tukiwaacha hawa michwa watapukutisha kila kitu lazima waoondoke wezi,majambazi makubwa nchi iko gizani totoro wanaenda kutoa milioni 500 kwa ajili ya watendaji 10 kwa siku mbili wakati wananchi geita waliozungukwa na mgodi wanachotwa maji kwenye mandimbwi alibino wanashindwa kupata krimu za ngozi ,shuleni watoto wanakaa chini ,

GrEaTthinkers,

Think kiasi gani tumepoteza kama taifa,
Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi!
• TICTS
• RADAR
• NDEGE YA RAIS
• SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE
• TWIN TOWERS BOT
• MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini)
• KAGODA(EPA)
• MEREMETA
• RICHMOND/DOWANS
• WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM)
• IPTL
• KIWIRA COAL MINES
• NETGROUP SOLUTIONS
• MISAMAHA YA KODI(Nchi inakosa mapato)
• ALEX STEWART
• BEI YA BIDHAA ie. UMEME (watanzania ndiyo wanaofidia misamaha ya kodi)
• RITES
• ALLIANCE AIR
• KUJENGA BARABARA KUPITIA MBUGA YA SERENGETI(Matumizi mabaya ya kodi zetu)
• LOLIONDO
• BARABARA YA KILWA NA MANDELA KAZI KURUDIWA(Matumizi mabaya ya kodi zetu
Nasema hawa si wa kuchekea wanaiumiza Nchi,

Kwa Asili ni sisi ni matajiri, tunafilisiwa na wapuuuzi

Haiwezekani madudu yote hayo, hakuna hata mwenye hatia ukitoa Liyumba.

Ukinunua soda ya 500Tsh umetoa 90Tsh. kama kodi.

Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.:target:
Umesahau moja muhimu "sitting allowance" (posho)

hii inawekana Tanzania???? Mkumbukeni Dr Slaa Shinyanga kwa hili mi naona watu watawaacha wake na watoto la kazana kutoa elimu kwa wapiga kura 2015

We Elnino, Unafahamau maana maana ya maandamano ya Amani??

Mbona unakuwa muoga bila kutishwa,

Taratibu zote za kisheria zitafuatwa ikiwemo kupata kibali.

MKuu naunga hoja, na hayo uliyoorodhesha ni tone hii, nchi imetafunwa hii.
Kwenye red, umesahau kuwa huwa kunakuwa na taarifa za kiintelijensia?

Lakini mmejiandaa kuundiwa intelijensia hawakawii kusema mmetumwa na chadema, kwa maana chadema inawanyima sana usingzi hawa magamba. Nami nimo msinisahau

GrEaTthinkers,

Think kiasi gani tumepoteza kama taifa,
Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi!
• TICTS
• RADAR
• NDEGE YA RAIS
• SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE
• TWIN TOWERS BOT
• MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini)
• KAGODA(EPA)
• MEREMETA
• RICHMOND/DOWANS
• WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM)
• IPTL
• KIWIRA COAL MINES
• NETGROUP SOLUTIONS
• MISAMAHA YA KODI(Nchi inakosa mapato)
• ALEX STEWART
• BEI YA BIDHAA ie. UMEME (watanzania ndiyo wanaofidia misamaha ya kodi)
• RITES
• ALLIANCE AIR
• KUJENGA BARABARA KUPITIA MBUGA YA SERENGETI(Matumizi mabaya ya kodi zetu)
• LOLIONDO
• BARABARA YA KILWA NA MANDELA KAZI KURUDIWA(Matumizi mabaya ya kodi zetu
Nasema hawa si wa kuchekea wanaiumiza Nchi,

Kwa Asili ni sisi ni matajiri, tunafilisiwa na wapuuuzi

Haiwezekani madudu yote hayo, hakuna hata mwenye hatia ukitoa Liyumba.

Ukinunua soda ya 500Tsh umetoa 90Tsh. kama kodi.

Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.:target:

Ungeanza ww na familia yako halafu sie tutafuatia !

Naamini katika Mungu!
Napenda kuanza kwa kuwakumbusha kuwa sheria inayounda jeshi la Polisi ndiyo pekee hutajwa sana na Polisi kuitumia wakati wakizuia maandamano mbalimbali. Lakini, kwa uhakika, sheria hii haizungumzii kibali cha maandamano, wala haimshurutishi mtu au watu kuomba KIBALI CHA MAANDAMANO. Sheria inataka Polisi kupewa taarifa masaa 24 kabla ya maandamano!

Sasa niwaombe kuelewa pia kuwa maandamano hayasubiri sana juu ya nani aanzisha au ku'coordinate'. LAPASWA KUWA JAMBO LA MTANDAO NA MAAMUZI.
Nawaomba sasa tutumie njia zote zilizopo, mitandao ya jamii, redio zilizopo, magazeti kama mtaweza, sms, facebook, twitter, n.k. NAPENDEKEZA TUAMBIANE KUWA SIKU TULIZOSUBIRI, KUVUMILIA, KUTESEKA NA HATA KUDHARAULIWA KWA AIBU ZIMEKWISHA: NAPENDEKEZA JUMATATU HII 29 AUGUSTI 2011 ITAKUWA SIKU TAKATIFU KWETU SOTE KUONESHA UZALENDO WETU KUITETEA NA KUITUKUZA NCHI YETU KWA KUONESHA KWA VITENDO KUCHUKIZWA KWETU NA MAOVU YOTE TULIYOSHUHUDIA KWA ZAIDI YA MIAKA 30 SASA! NJOONI KILA MMOJA KWA BARABARA YAKE KWA AMANI NA UMOJA WETU TUELEKEE MNAZI MMOJA. WALIOKO MIKOANI WAELEKEE OFISI ZA SERIKALI MIKOANI, NA WILAYANI KWAO.

Tusisubiri nani aanze, mimi nitakuwa UBUNGO MATAA saa moja asubuhi.

jamani tuweke mikakati hapa JF centre ya kukutana na kuanzisha maandamano au, KUPRINT HII TOPIC NA KUFANYA KAMA UNAITUPA HIVI NJIANI ILI WATU WAIOKOTE NA KUISOMA IKIWEZEKANA BANDIKA HATA KWENYE UKUTA KAMA WANAVYOFANAYA MATANGAZO YA BENDI NA MATAMASHA.

MH ME SIMO MWENZANGU HAPO MNAASEMA MAANDAMANO NYIE WENYEWE MKIPIGWA MABOMU MNAENDA ULAYA KUTIBIWA HAPO HALAFU SIE WATOTO WA WAKULIMA TUNAISHIA KUKATWA MIGUU moi pale muhimbili.

Nyongeza, 11b za mramba, mgonja, yona, deci, wazee wa EAC.

Nyie viongozi msitufanye sisi watumwa wenu, hatutakubali

Muda ukifika hatahitajika kiongozi, na muda umekaribia sana, na unakuja speed kadri maisha yanavyozidi kuwa magumu. Hakukuwa na maandalizi ya namna hiyo, Tunisia, misri na kwingineko. Mipango ilianza baada ya maandamano kuanza. Wacha serikali iendelee kuweka pamba masikioni- itaumbuka.

Aweda.
Peoplessssssssssssss...............
Hakika uyasemayo tunaelekea kukata tamaa kabisa.
Aweda: Inaniuma sana kuona PAYE ninayokatwa kila mwezi inaishia kusikia eti Ritz1 amununua nyumba nyumba ya 4bil wakati hata kibarua hana.
Mara watu wamechota kiasi fulani BOT kwa kweli napata unaboa sana

Back
Top Bottom