Maandamano ya Amani Nchi Nzima

Tatizo la cc watz uoga umetujaa na tusipochukua hatua tutauona moto wa hali ngumu ya maisha na from next wk sukari, soda , maji na vitu vinginevyo bei inapanda kutokana na kupanda bei ya umeme
hapo kwenye ugumu ndio patam zaidi maana njaa na dhiki pamoja na udhalimu utawasukuma watu kufanya mambo yatakayoishangaza dunia acheni tupigike kwanza dhiki na njaa vikizidi tutapata akili na tutaachwa kuaminishwa na kukaririshwa uzalendo uchwara, leo akina chenge and the group wanakunywa bia zao kwa amani halafu lawama zote wanapewa acacia..... hap acacia waliwezaje kutuibia kiasi hicho bila msaada wa serikali za ccm?
 
Haya makiniki yamewashika pabaya hawa Acacia

Watupatie hata Trillion Kumi tu maisha yaendelee.

Pumbavz zao
 
Back
Top Bottom