Maandamano ya Amani Nchi Nzima

GrEaTthinkers,

Think kiasi gani tumepoteza kama taifa,
Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi!
  • TICTS
  • RADAR
  • NDEGE YA RAIS
  • SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE
  • TWIN TOWERS BOT
  • MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini)
  • KAGODA(EPA)
  • MEREMETA
  • RICHMOND/DOWANS
  • WAKUU WA MIKOA na WILAYA(Hao ni Watumishi wa CCM)
  • IPTL
  • KIWIRA COAL MINES
  • NETGROUP SOLUTIONS
  • MISAMAHA YA KODI(Nchi inakosa mapato)
  • ALEX STEWART
  • BEI YA BIDHAA ie. UMEME (watanzania ndiyo wanaofidia misamaha ya kodi)
  • RITES
  • ALLIANCE AIR
  • KUJENGA BARABARA KUPITIA MBUGA YA SERENGETI(Matumizi mabaya ya kodi zetu)
  • LOLIONDO
  • BARABARA YA KILWA NA MANDELA KAZI KURUDIWA(Matumizi mabaya ya kodi zetu
Nasema hawa si wa kuchekea wanaiumiza Nchi,

Kwa Asili ni sisi ni matajiri, tunafilisiwa na wapuuuzi

Haiwezekani madudu yote hayo, hakuna hata mwenye hatia ukitoa Liyumba.

Ukinunua soda ya 500Tsh umetoa 90Tsh. kama kodi.

Amkeni, Toeni sauti, Nchi inakwisha.:target:
Mkuu hawa si wapuuzi kama unavyodhani,Kwangu mimi wapuuzi ni sisi wananchi tunaolalamika bila kuchukua hatua.Angalia wenzetu wa misri,Libya,Tunisia na kwingineko dunia,pale watawala wao walipofanya ndivyo sivyo walichukua hatua na matokeo yake wote tunayajua.Wapuuzi ni sisi tunaodanganywa kama watoto wadogo for 50 years now still hatung'amui kuwa tunadanganywa.Aiibu
 
uchumi wetu sasa uko kwenye kitu inaitwa hyper-inflation ni stage mbaya sana kiuchumi vurugu hulipuka tu kutokea popote muda wowote na kusambaa kama moto wa nyika omba usife kabla mwaka huu haujaisha utakuja kukubaliana na mimi. Things are falling out of the hands of the government! kama unaogopa huu muziki unaokuja omba mungu akupumzishe mapema hali itakuwa mbaya!
 
Tatizo la cc watz uoga umetujaa na tusipochukua hatua tutauona moto wa hali ngumu ya maisha na from next wk sukari, soda , maji na vitu vinginevyo bei inapanda kutokana na kupanda bei ya umeme
 
GreatThinkers,
I think tunachelewa better We TUNISIZE THE GOVERNMENT
Huu ni upuuuz
 
Evidence zipo waspuuuzi wanaziweka kapuni.
Tukoamaeni hii nchi siyo wnaCCM pekee kibaya zaidi wanakula tu jasho letu
 
DATE AND PLACE PLEASE. YAANZIE WAPI NA SIKU GANI? Vitu kama picha za meno ya tembo, ulimboka baada ya kuokotwa havina budi kuwepo
 
NA TUSIKUBALI WACHACHE WAKAMATWE. Watakao kamatwa, na tujiunge nao selo. TUJISALIMISHE KWA UMOJA WETU
 
Funga kazi ni hii Escrow, waspowajibishwa kisheria-ni bora tuwawajibishe sie
 
Haya usemayo si ya kuyapuuza Watanzania, ni lazima wananchi tuchukue hatua bila kuwategemea wanasiasa ambao hawana uchungu kwani wao hata kodi hawalipi. Shime watanzania tusimame kuupinga huu udhalimu.
 
tulia apa atutak chama chako tunataka kuandamana tukomboe nch bwashee

Nakushukuru,
Tazama kwa makini uzi huu ni wa lini, kisha toa kauli yako.
Nafurahi kuona hatimae wengi mmelewa, hawa jamaa hawafai, tuko pamoja mie nitavaa magwanda, wewe kama ni Mkulima washa Trekta lako unga tela
 
na iwe kwa stayle ya wamisiri kwa mfano hapo kwenu dar mnaweza kukusanyika hapo jangwani
arusha wakusanyike NMC au soweto mwanza wataenda pale Nyamagana Moshi Watajikusanya Pale Mashujaa Mbeya Sipajui Vizul Mtajazia Lengo Ni Ukombozi Haya Shime Watanzania Mim Leo Niko Moro Lakin Nitaweza Hata Kuratibu Na Kumradhini Jamani Lengo Sio Machafuko Ni Ukombozi Tu Na Katika Hili Watumwitaji Chadema Wala UKAWA muislam wala mkiristo tunahitaji mtanzania mzalendo wa nchi hi aje tuifie nchi yetu.
 
Nakushukuru,
Tazama kwa makini uzi huu ni wa lini, kisha toa kauli yako.
Nafurahi kuona hatimae wengi mmelewa, hawa jamaa hawafai, tuko pamoja mie nitavaa magwanda, wewe kama ni Mkulima washa Trekta lako unga tela

poa sheh lengo ni ukomboz upatikane
 
Hongera sana JPM
Umefanya jambo nililipigia kelele Sana hata Mimi.

Asante kwa uzalendo uliotukuka.
Tuwatait waliohusika
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
 
Back
Top Bottom