Maandamano ni batili, vijana tusitumike

Maandamano ni batili, vijana tusitumike

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
495
Reaction score
627
Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni zao .
Unafanya uhalifu alafu unakimbilia kwenye makazi ya watu wema kujifungia ? Unasababisha madhara kwa watu wasio husika kwann usikimbilie msituni mkapambane uko na police.

Acheni ujingaaa na kufwata mkumbo

Mlisema mnaitaka ikulu ??

Mbeya Kuna ikulu? Arusha kunaikulu? kwenye magari ya mwendokasi kunaikulu?? Takukuru kunaikulu? Tunduma kunaikulu? Kilimanjaro kunaikulu??
Kulikua na maanagani kuharibu biashara za watu na miundombinu kama Nia niikulu ?

Wazazi waambie vijana wenu kwamba vijana wenzao wanatumia mikopo kuendesha biashara zao wawe na huruma waache chuki zisizo na maana hawamu hii hatutawaelewa hatutakubali hasara tena,hatutakubali mtoto wajirani atulaze njaaa ,watafutaji tumekasirishwa na ujinga mliotufanyia

Sinamengiyakusema ila acheni kusapoti watu wanaotaka kuhalalisha uwizi na uharibifu wa Mali za watanzania maskini wanaopambana namikopo benki ilihali familia zao zipate mloo
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

R.I.P. Kwa wote
 
🙏
 
Tanzania hakuna rais,nao ni batili
Kwahiyo kwenye biashara zetu ndiomlikua mnamtafuta raisi
 
Watanzania maskini mmepata wapi mali na mnakuaje na mali??
 
Kwa mfano wananigomea nikaizike maiti ya ndugu yangu nikaikize, nikiandamana nakuwa nimeandamana kwa maslahi ya nani?

Mrisho Ngasa?
 
Kweli maandamano ni batili ✅
Ila nini tatizo hadi watu waandamane, wafanye fujo!? Jamii ina shida gani?, Na kama hazitatuliwi watumie njia gani, ikiwa watu wao wanaowasemea wanakamatwa kila kukicha!!!
 
Huna lolote nyumbu wa ccm wewe.
Sawa njooni tena kama unaakili kwanini msipange maandamano yenu binafsi mnadandia yawatu
Au mliokua DSM wale walikua wanachoma sheli za watu kwanini walikua wakishachoma wanakimbia wanawaacha wengine? Kwanini walikua wakishavunja maduka nakuiba hawaonekani kwenye maandamano wanakimbia? Acheni kujiingiza kwenye misheni zawatu
Au walioiba simu za nenga kwanini walikimbia jiongezee ukifa mzigo nikwafamilia Yako
 
Kweli maandamano ni batili ✅
Ila nini tatizo hadi watu waandamane, wafanye fujo!? Jamii ina shida gani?, Na kama hazitatuliwi watumie njia gani, ikiwa watu wao wanaowasemea wanakamatwa kila kukicha!!!
Kuna haki nyingine hatutazipata hapa duniani hata ufanyeje, tuishi tukivumiliana. Fikiria kila mtu akiandamana kudai haki yake nchi itakalika kweli.!?
 
Sawa njooni tena kama unaakili kwanini msipange maandamano yenu binafsi mnadandia yawatu
Au mliokua DSM wale walikua wanachoma sheli za watu kwanini walikua wakishachoma wanakimbia wanawaacha wengine? Kwanini walikua wakishavunja maduka nakuiba hawaonekani kwenye maandamano wanakimbia? Acheni kujiingiza kwenye misheni zawatu
Au walioiba simu za nenga kwanini walikimbia jiongezee ukifa mzigo nikwafamilia Yako
Hatuzungumzii uharifu hapa, tunazungumzia mauwaji yaliyofanywa na serikali ya mama yenu, kwahiyo unafikiri kuutoa uhai wa mtu usioweza kuludi tena ni sawa na kuharibu mali ambayo unaweza kuitafuta na kuipata tena?
 
Kuna haki nyingine hatutazipata hapa duniani hata ufanyeje, tuishi tukivumiliana. Fikiria kila mtu akiandamana kudai haki yake nchi itakalika kweli.!?
Kila mtu akiandamana kudai kura yake suluhisho ni kupiga kura huru tu kisha wengi wanapewa na nchi itakalika.
Kwenye nchi za watu waliostaarabika Marekani na Ulaya wakati wa uchaguzi raia wanapigia kura masuala mengine mengi tu zaidi ya kuchagua watu, pia vyombo vya habari na taasisi za utafiti hupewa fursa ya kuchukua maoni ya wapiga kura kwa masuala mengi mbalimbali kadri wanavyohitaji.

Nikimbilie mimi.
 
Haki haiombwi
Haki hupwmbaniwa
endeleen kuipga serkali pesa na kuja na maandishi hewa
Una uhakika vijana wanaitaka ikulu?
 
Back
Top Bottom