Powell Gonzalez
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 1,662
- 3,017
Kwa Dar salam watu wengi walikufa wakiwa mtaani na si wakati wa maandamano, nimeshuhudia watu wanakufa mtaani kama mzaha.
Vijana wengi tunatumika kwa maslahi ya wengine,wengi walio poteza uhai niwale wafata mkumbo. kikundi Cha wezi walikua wanachoma sheli, wanavunjaa maduka ya watu wanaiba alafu wanakimbia vichochoroni wemfata mkumbo unabakii unatumika kama ngao yakuwazuia police bila kujua watu wapo kwenye misheni zao .
Unafanya uhalifu alafu unakimbilia kwenye makazi ya watu wema kujifungia ? Unasababisha madhara kwa watu wasio husika kwann usikimbilie msituni mkapambane uko na police.
Acheni ujingaaa na kufwata mkumbo
Mlisema mnaitaka ikulu ??
Mbeya Kuna ikulu? Arusha kunaikulu? kwenye magari ya mwendokasi kunaikulu?? Takukuru kunaikulu? Tunduma kunaikulu? Kilimanjaro kunaikulu??
Kulikua na maanagani kuharibu biashara za watu na miundombinu kama Nia niikulu ?
Wazazi waambie vijana wenu kwamba vijana wenzao wanatumia mikopo kuendesha biashara zao wawe na huruma waache chuki zisizo na maana hawamu hii hatutawaelewa hatutakubali hasara tena,hatutakubali mtoto wajirani atulaze njaaa ,watafutaji tumekasirishwa na ujinga mliotufanyia
Sinamengiyakusema ila acheni kusapoti watu wanaotaka kuhalalisha uwizi na uharibifu wa Mali za watanzania maskini wanaopambana namikopo benki ilihali familia zao zipate mloo
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
R.I.P. Kwa wote
Kilaza wa jfAliyekufanya Unye baada ya kukupasua Nyero lako.
Nendeni Kenya ndio panawafaaUsitutishe bana alaaaah
Biashara ndio imekufanya uje uandike upuuzi huu
Iko hivi
Tunadai Tanganyika yetu
Biashara sio kipaumbele kwani nyingi ni biashara haramu.
Punguza kutupigia kelele
Nakutext ili uje nikuchane Nyero lako kwa mara ya pili je, kuna tatizo hapo?Unajitoa ufahamu,kila muda unanitext shenzi wewe
Unayempanulia kutwa.Kilaza wa jf
Pumbafu ,ndio maana nilikupiga nyero lako,ukajamba shenzi typeNakutext ili uje nikuchane Nyero lako kwa mara ya pili je, kuna tatizo hapo?