Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Mbona mie sijaficha id yangu, ili jina langu la passport
 
avatar11941_3.gif

Kwa taarifa huyu si Nape, ila mtu anayelipwa na nape anatumia ID yake. Kuna siku nilishangaa Nape akijibu hapa wakati huo huo anafanya mkutano wa hadhara, ukweli hujitenga na wongo.

ukisoma majibu yake utajua kuwa ni yeye, si wote tunaujua uwezo wake?
 
Hahahaa! KUJIDANGANYA WENYEWE NA KUJARIBU KUWADANGANYA WAFADHILI WENU NI SIFA HALISI YA VYAMA VYA WANA HARAKATI.... NA HASA BAADA YA KUONA KUWA UONGO WA MWANZO UNAKOSA MASHIKO. OOOH CCM IMEKUFA!!!NIMEINGIA SONGEA WENYEWE MMEFYATA MKIA KWA MSHANGAO JINSI WATU WALIVYOJITOKEZA MKUTANONI, HALAFU HAKUNA MATUSI SERA TU.
MKAWA MNADANGANYA WATU MNAYO NJOMBE YOTE, MKUTANO WA JANA NJOMBE UMEWAUMBUWA SANA SANA.
MMEBAKI NA DUA LA KUKU, POLENI SANA.
NARUDIA SIWASHANGAI KWANI NDIO TABIA YA VYAMA VYA WANAHARAKATI.



UOTE=Candid Scope;4001152]
3.JPG


03.jpg


Hiyo ndiyo hali halisi ya mikutano ya CCM siku hizi. Inavyoonekana ni viongozi na magari yao na wachache ambao idadi yao inalingana na bendera walizo nazo.
[/QUOTE]

mwenezi nasikia dar leo mnagawa pesa kwa kwenda mbele ili watu waje jangwani kesho nitumie ticket nami nije kuona mbwembwe zenu
 
Kiukweli kama ambavyo wengi wamekuwa wakichangia, tutakuwa na CDM imara kama kuna CCM imara sasa kwa utaratibu huu wa bw. Nape na ndipo huwa naona CCM kweli hakuna kitu kama kiongozi mkubwa kama NAPE anaweza kujibu kirahisirahisi hivi, hapana. Kwa hadhi ya CCM tunatarajia katibu mwenezi awe kichwa hasa, angalia wenzio kina Mnyika akijibu kitu au akianzisha jambo unaona mashiko na unaona tofauti ya mawazo. sasa Nape kama unajibu kirahirahisi tu, hapa JF kila mtu anaweza kujiona kuwa kumbe kama NAPE akili ndiyo hiyo, yeyote anaweza kuwa katibu mwenezi wa CCM, looo Nape ukweli unachangia kuiua CCM.


Naboka------Nakubaliana na wewe. Hili ndilo tatizo kuu la viongozi ndani ya CCM. Bado wanakiongoza chama kimazoea. Wengi wao bado wana zile fikra na dhana iliyopitwa na wakati ya kwamba wawo ni zaidi na kila kitu wakifanyacho ni hakina makosa na kama mtu atajitokeza kuwapinga wanamuona ni mjinga na si mwerevu. Kwa hiyo hata majibu wakitoa yanakuwa ni ya kirahisi rahisi na kejeli.
Wengi wa viongozi ndani ya CCM bado hawajatambua kama dunia waliyopo imebadilika na watu wameendelea kifikra. Viongozi kama Nape na majibu ya kubeza ndiyo wanaifanya CCM ikose mashiko. Sijui hawajiulizi, kwa nini Wabunge wa CCM kama Filikunjombe wakienda kwenye majimbo yao wanapata mapokezi makubwa ya watu wenye itikadi tofauti za kisiasa.

Hata mimi ningependa Tanzania iwe na vyama zaidi ya kimoja ambavyo ni active ili kuleta na kuharakisha maendeleo. Lakini kwa mtindo huu, tutajikuta tunarudi tena practically kwenye siasa kama ya chama kimoja wakati theoretically tutakuwa kwenye vyama vingi.
 
01.jpg


Nimeipenda hiyo kakamaa ya mlinzi wako (bodyguard) na rangi ya miwani yake inavutia. Hongera kwa kuwa na mlinzi wa kiaina.
 
01.jpg


Nimeipenda hiyo kakamaa ya mlinzi wako (bodyguard) na rangi ya miwani yake inavutia. Hongera kwa kuwa na mlinzi wa kiaina.

Ama kweli CCM imechoka kama mzee.
Kimekuwa chama cha mtu moja - Nape.
Wamebaki kufuatilia CDM wanafanya nini ili nao waige. CDM wakianzisha Vua gamba Vaa gwanda, nao wanafeki, CDM wakifanya mkutano mahali, nao watajitahidi wafanye. CDM wakienda vyuoni nao wanaenda.
Nape ona aibu, kaa na wenzako muwe timu, mbuni vitu vipya. Utapasuka msamba!
 
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!
Nilikuwa nakuona kama una akili kumbe hovyo tu... Kajamaa haka bwana. Sasa povu ulilokuwa unatoa pale Jangwani linatokana na nini Nnauye Jr? Haya tuambie kati ya Slaa na JK nani Dr feki?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la Nape anachapwa makofi badala ya kufumbua macho kutazama nani karusha makofi,anafumba macho na kuanza kurusha ngumi nyingi harakaharaka kwa lengo la kumdhuru yule aliyemchapa makofi. Anaonekana ni mtu wa kukurupuka sana na hafikiri vyema bila ya kutenda. Mfano alivamia swala la kujivua na kukimbilia majukwani bila kutafakari kwa kina kuwa gamba ni nani,akafikiri kuwa gamba ni wale mapacha watatu,kumbe gamba ni pamoja na yule aliyemtuma kwenda majukwaani kuhubiri programu ya gamba. Matokeo tunayajuwa. Na hata anavyotoa majibu yake hapa inaonekana tu ni mtu asiye na utulivu wa mawazo wala uvumilivu wa majadiliano ambazo ni mojawapo ya tunu za kiongozi.

Kukurupuka kwa Nape na wenzake ndani ya CCM ndiko kunakozaa mikakati ya kipuuzi kama kuandaa mikutano kama ule uliofanyika Jangwani jana.Huku ni kukurupuka kwa sababu CCM si chombo muafaka kuzungumzia vurugu za Zanzibar kwa uzito walioueleza kwenye vyombo vya habari, hiyo ni kazi ya serikali. Mikakati ya kipuuzi na fitina zisizokuwa za msingi kama vile kupenyeza udini na ukanda katika siasa pamoja na skendo zisizoisha kama vile Kagoda,Radar,Deep Green,Meremeta,Mikataba mibovu,uuzaji wa nyumba za viongozi kwa bei ya kutupa huku viongozi wapya wakiishi Hotelini kwa gharama kubwa za kutisha. Hivi na vingine ambavyo sikuvitaja ndivyo vinavyoiuwa CCM. Na Chadema wanachofanya ni kufunua pazia la haya maswala na wananchi wanawaelewa. Je una uwezo au CCM ina uwezo wa kuyauwa mambo haya na kuyazika kaburini na wala yasisikike tena? Tafakari!


Nape ushauri wangu ni kwamba fungua macho,ona hayo makofi yanatoka upande gani halafu lenga rusha ngumi zako utafanikiwa.Bila hivyo utakuwa unaongea propaganda za kijinga tu na boti itaendelea kuzama.
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu

sasa jaman kweli nape unajivunia kwa hili? kubakiza watoto mikutanoni mh?,hivi kwa akili yako unajua kwanini tumekua tukihamasika kwa wingi kwenda kuwasikiliza wapinzani coz wameonekana kuwa wapo karibu yetu kuliko nyinyi mmejaa vitambi tu na pengine kuhemea juu juu,wakati maisha yetu magumu
 
Halafu kwa taarifa yenu huwa hatufanyi maandamano,haya yalikuwa mapokezi SIO MAANDAMANO, MAANDAMANO NI UGONJWA WA VYAMA VYA WANAHARAKATI. ULIYEPO MADARAKANI UNAPOANDAMANA UNAMWANDAMANIA NANI?!!! UKIONA TWATEMBEA UJIE NI MATEMBEZI YA MSHIKAMANO. sitachoka kutoa darasa, mtaelewa tu taratibu
sasa jaman kweli nape unajivunia kwa hili? kubakiza watoto mikutanoni mh?,hivi kwa akili yako unajua kwanini tumekua tukihamasika kwa wingi kwenda kuwasikiliza wapinzani coz wameonekana kuwa wapo karibu yetu kuliko nyinyi mmejaa vitambi tu na pengine kuhemea juu juu,wakati maisha yetu magumu
 
Anayejiamini aingie hapa kwa jina lake tuzungumze hoja.Wengine kwasababu ya kuficha ids zenu ndo maana mnaongea hapa. wanaume wazima mnajificha!!! Hamuoni aibu?!!! Mnadhani kwa kejeli na maneno yenu ntakata tamaa!!!! Mnapoteza muda!

Pole sana nepi , muda siyo mrefu utakuwa pampas. Niweke id yangu hapa ili uni ulimboka? labda nisikie ule msitu wapande umesafishwa.
Nepi unaangaika sana tumewachoka hamjajua hilo bado , kumbuka kilichotokea arumeru mashariki siku ya ijumaa tar 30 march 2012 mkitoka kwenye mkutano wa kufunga kampeni pale uwanja wa patandi.mnakumbuka mlivyo zomewa. naomba ni kukumbushe Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees Poweeeeeeeeer.
 
anaeendelea kuiunga mkono ni lazima anafaidika ufisadi unaoendelea hapa nchini.
 
Bora Nape umekuja hapa mimi nilikuwa nikiwaambia kwamba CDM ni chama cha wanaharakati nikatukanwa sana mbaya zaidi matusi mengine yalielekezwa ma mke wangu. Mungu si athumani Mwenyekiti wao nae akakiri pale jangwani.

Kampeni za mwaka 2010 Dr Slaa alinukiliwa akisema kama hatoshinda basi atagombea tena uchaguzi wa 2015 yetu macho. jusi mbowe nae kadai CDM isiposhinda mwakaa 2015 atajuizuru tutaona tu na chama lao la wanaharakati. Mi mpaka leo sijasikia hata halmashauri moja iliyokuwa chini ya CDM inatoa elimu bure sasa tujiulize je wangeweza hawa kutoa elimu bure nchi nzima kama si changa la macho ni nini? wanaandaa bajeti ya kisiasa badala ya kisayansi kazi kweli kweli wanaharakati.

Mod, kitufe cha dislike kipo wapi? naomba utuwekee maana vitu vingine vinakera saaana
 
Mod, kitufe cha dislike kipo wapi? naomba utuwekee maana vitu vingine vinakera saaana

Mnakerekka kuambiwa ukweli mnaunga tela mpaka chama lenu life

Kinacho niudhi sio contents ya ulicho andika bali hujui kuandika, mfano jusi ni nini? atajuizuru ni mdudu gani?
rudi shule kajifunze kuandika kwa ufasaa
 
Kinacho niudhi sio contents ya ulicho andika bali hujui kuandika, mfano jusi ni nini? atajuizuru ni mdudu gani?
rudi shule kajifunze kuandika kwa ufasaa

Nadhani wewe hoja za msingi! Mimi mtu wa kubishana na waalimu zenu wa mlimani sio wewe
 
Nadhani wewe hoja za msingi! Mimi mtu wa kubishana na waalimu zenu wa mlimani sio wewe

ukishaona unabishana na mwalimu wako basi ujue unatatizo na hvyo hata mimi sibishani na wewe. kwani nisije nikawa sawa na yule jamaa aliye kuwa anafukuzana na kichaa wakati yeye akiwa uchi. byee. mwisho wa ligi
 
Ni Feki?
Sasa Nchimbi na Mathayo walionunu PhD mezani kweupe kila mtu anaona je??

Wao utawaita nini?

Vipi Dr Jakaya Kikwete?
Kadigirii ka taabu ka political economy kakubebwa na Dessa.

Kujivunia,
Huo U Dr wa Kilemba cha manyasi cha kuvikwa na mashosti uchwara,
Anasisitiza kuitwa Dr mpaka inatia kinyaa!

You know better Nape, you know better.
picha na watoto angepiga Mbowe au Dr.wenu feki mngesema cdm mpaka kwa watoto,lakini kapiga Nape basi ooooh!!!!! Ukitaka kuona uendelevu wa zizi, angalia ndama wake!! CCM ipo leo kesho na hata milele!!
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Back
Top Bottom