Maandamano makubwa nchini yananukia...

Maandamano makubwa nchini yananukia...

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.

Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.

Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.

Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Akina Lissu wameweka mtego mbaya kabisa kwetu CCM.

Kama wakisambazwa Polisi siku ya uchaguzi kuthibiti maandamano maana yake watu wataogopa kutoka majumbani kwao na kwa hiyo hawataenda kupiga kura pia.

Lengo la Chadema litakuwa limetimia kirahisi kwa msaada wa Serikali.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.

Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.

Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.

Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Tuandamane kwa kigezo Cha watu Fulani wawe au wasiwe viongozi,kwa Nini tusiandamane kupinga wanaojihusisha na ushoga?
 
Wewe subiri uone, muda umebaki mchache sana utajionea mwenyewe
Jidanganye labda utajitokeza mwenyewe Sisi ambao tunategemea kutoka tukafanye kazi ndio tupate kula mtatusamehe kwa kweli. Mkumbuke hakuna mwenye akiba ya chakula ndani kwa hamtushawishi kufanya ujinga huo ili tutese familia zetu
 
Bado hujasema
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.

Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.

Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.

Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Labda mjinga ndio ataenda kuandamana na bahati nzuri Watanzania sio wajinga
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.

Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.

Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.

Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Wenye njaa ndio wanaoweza kuandamana
 
Back
Top Bottom