JARIBU KAPANGE MSTARI UONESIJUI NITAMPGIA NANI KURA, OLE WAKE MTU ANIGUSE NA MANATI YAKE..
TUTATAFUTANA BAADA YA KURA
Wakina Mange ndio wanakuja kuchukua nafasi za G55 Sasa. Chama kitakuwa moto balaa😄Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.
Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.
Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Nimefurahi kukuona Bibie👋👋Uchaguzi lini kwani? 😂
Sawa. Chadema kutishia kukiwasha miezi kabla ni jambo la kawaida labda kama wewe ni mgeni humu. Ishu ni D - Day ikifika. Hakuna anayeonekana zaidi ya mitandaoni! Ahahahahaha!Subiri uuone mziki wake coming this October
Hao waandamanaji mtawaleta kutoka nchi gani?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.
Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.
Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.
Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.
Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Kama Mimi tuu mitt milaini niiache nikandamane!!Ugali ulivyomtamu, ngono na bangi ilivyotamu.
Navyopenda kuzini, Kula na kuvuta bangi niandamane niviache hivi vyote?
No way maame!
Nyau de adriz
Binafsi nipoHakuna maandamo watu wa kuandamama wapo wapi?
NashangaaHakuna maandamo watu wa kuandamama wapo wapi?
Hizo Damu zote zinamlaani.
Damu za watu alizokunywa zitamuandama maisha yake yote, na kizazi chake choteKama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.
Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.
Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Kuna Uzi uliuliza " siku ya uchaguzi polisi watatofautishaje wanaokwenda kupiga kura na wanaokwenda kuandamana?"Hakuna maandamo watu wa kuandamama wapo wapi?