Maandamano makubwa nchini yananukia...

Maandamano makubwa nchini yananukia...

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.
Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.
Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Mangi kimambi na lissu awanatofauti kubwa maana awajui uzalendo ni nini ...hata akija rais mzalendo..tena akatamka kabisa ngojeni kwanza ninyooshe nchi bado wao watapinga maana ni vichwa panzi tena watatumiwa na maadui wa haki na uzalendo kumpinga huyo rais....Japo kwa sasa inabidi kumuunga mkono lissu ila tatizo ni kubwa vichwani mwao
 
Haya mambo wengi wa Watanzania wanayataka ila CCM inaogopa sijui wana matatizo gani

Taifa kwanza mkuu
MKUU,
HAPA WANAPAMBANIA CDM IKALAMBE ASALI.. KAMA WAMEINGIA CDM MKUU KUMETOKEA MGAWANYIKO JE WAKIINGIA IKULU KUNA TAIFA HAPO MKUU?
 
Uzuri CDM imebaki na watu ambao wana reputation nzuri kwa jamii japo wahuni hawawezi kukoswa ila swala la kuongoza nchi sina shaka CDM watafanya mambo makubwa sana
 
MKUU TUACHE MAMBO MENGI..
HIVI KWA STAILI HII YA CDM YA WENGNE KUTOKA MARA KUTUKANANA, UNADHANI KUNA SIKU CCM ITAKUWA CHAMA CHA UPINZANI KWA CDM HII?
UNAJUA MAZEZETA YA KISIASA YANAONGEZEKA HALAFU HAKUNA TIBA YA UZEZETA HUO!
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.
Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.
Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.
Mange yupo Marekani. Siamini kama atakuwepo kuongoza maandamano. Ila mtakaoandamana ili tusipige kura, tunawasubiri kwa hamu sana!
 
Back
Top Bottom