Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza.
Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima mitandao ya kijamii siku moja kabla ya uchaguzi ila taarifa zinadokeza kuwa woga mkubwa sana miongoni mwa wana CCM huku wengi wakishauri mambo kadhaa yafanyiwe marekebisho kuweka mambo sawa.
Kuna kila dalili uchaguzi ukavurugika na Watanzania wengi wataogopa kujitokeza kwenye vituo vya kupigia kura kuhofia usalama wao.
Chonde chonde Samia na serikali yako jitahidi kuwa mzalendo madaraka yana mwisho, weka utaifa mbele na punguza uchu na tamaa za madaraka.