Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

Waandamanaji wa tanzania hawajui hata cha kufanya ...kila maandamano ni rahisi kukamushwa kwa sababu hawatamki kitu chochote chenye kuashiria maandamano ya siku husika ....hakuna mabango yenye tarehe wala vipaza sauti
Mabango ya nini dunia nzima inajuwa wanataka nini??? Si mnazuia watu Airport sasa hilo bango watapita nalo wapi?
 
This is movement haina kikomo wala kipimo inakuja tu kila kitu at right time
Wanafikiri wao ndio watapanga ratiba maandamano yawe lini na wapi!.

Kutokuwa na uwezo juu ya maandamano kunawapa mchecheto mkubwa
 
Mkuu unafaidika vipi na uwepo wa maandamano hapa Tz?.
Usilinde uhai wako bali ukiulinda utaangamizwa,Linda haki ya uwapendao utaishi milele,ikiwezekana jilipue popote alipo top leaders ,angamiza chawa wa ccm na viongozi wake kama sisimizi maana hao si binadamu utapata thawabu kwa Mungu wetu mtakatifu
 
We don't play these types of games
 
Mkuu unafaidika vipi na uwepo wa maandamano hapa Tz?.
Watakuwa wamechoka na utawala, husikii namana watu wanavotekwa na kuingiliwa kinyume na maumbile? Watu wanaojali mauwaji yale siwangejiuzulu sasa hivi?? au wewe unaonaje mkuu??? Vaa koti la mtoto wa Almarhum Ali Kibao. Kuutetea huu utawala inahitaji uvue utu na uvae ngozi ya chui.
 
Huyo unayemjibu ni mmojawapo wa hilo genge haramu. Usihangaike naye.

Tutoke kuipigania Tanganyika irudi kwa wananchi. Unyonge sasa basi
 
Mkuu unafaidika vipi na uwepo wa maandamano hapa Tz?.
Kama kawaida yako ilivyo, unaniuliza swali la kipumbavu sana.

Wewe usiyeona "faida" ya hayo maandamano; kwa nini umejaza mada za kipuuzi humu Jf na maandishi chungu nzima katika kila mada inayoanzishwa kuhusu uovu wa Samia na Genge lake. Unaweza kueleza kwa nini unahangaika sana na waTanzania kutafuta njia za kujitoa kwenye uovu wanaofanyiwa?

Unaniuliza "nafaidika vipi"; nieleze wewe ni faisda zipi unazipata kwa maovu yaliyopo sasa hivi nchini mwetu.

Huo uislam wako unafaidika vipi na maovu anayofanya Samia na Genge lake?

Uislam hauwezi kushamiri Tanzania bila ya kuwepo na maovu anayofanya Samia? Uislam wake ndiyo iwe kinga ya watu kama wewe kutetea hata maovu anayofanya?

mimi sitafuti "kunufaika"; Ninachotafuta ni kwa Tanzania kunufaika.
 
Back
Top Bottom