Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

Naona Mods wamewawekea
1766707695986.png

Haya yatakuwa maandamano LIVE ya mtandaoni
Tuendelee kuandama humu humu
 
Wanafikiri wao ndio watapanga ratiba maandamano yawe lini na wapi!.

Kutokuwa na uwezo juu ya maandamano kunawapa mchecheto mkubwa
Mkubwa sanaaa yaan wanachanganyikiwa haijawai kutokea na watu wanawalia timing tu siku itapigwa kubwa kuliko hawataamin macho yao maana viherehere wa chama wote siku hiz wako kimya washaelewa kinachofuata ni nini maana itikad inayojegwa kwenye mioyo ya watu inakua kila siku kwa kasi ipo siku ya mlipuko inakuja maana kilichotokea mo29 hawana hamu unaua mtu watu wana mbeba wana muweka pemben na wanakufuata bipa hofu wala silaha wewe na silaha yako unaamua kukimbia ni itikad kali sana wanaogopa wakikumbuka
hizi video ni mwezi sasa zinarudiwarudiwa na kuwekewa vitarehe vipya
OKtoba 29 watu walidai miili??
 
Updates za maandamano yasiyo na kikomo Tanzania.

Twende pamoja

View attachment 3520635
Mbagala tarehe 25 Desemba 2025 saa 1 jioni


View attachment 3520636
Kawe tarehe 25 Desemba 2025 saa 2 usiku


View attachment 3520725
Kahama jioni ya tarehe 25 Desemba 2025


View attachment 3520729
Maandamano Tegeta 25 Desemba 2025 saa 2. Usiku


Taarifa za maeneo mengine ya nchi zinafuatiliwa na zitapostiwa hapa
 
Back
Top Bottom