Maandamano D25: Fuatilia taarifa, picha na video

Usisahau mazingira magumu sana wanayokutana nayo waandamanaji.

Huko kuandamana pekee kwa aina yoyote ile na mahali popote ni ujasiri mkubwa sana.

Hayo yote unayoyazungumzia wewe, hattua hiyo itafikiwa wakati mwafaka.

Sasa hivi ni kuandamana kwa namna yoyote inayowezekana kuonyesha nia thabiti ya kuleta ukombozi ndani ya taifa letu.
wahalifu si unajua wanatakiwa kufanywaje
 
Usisahau mazingira magumu sana wanayokutana nayo waandamanaji.

Huko kuandamana pekee kwa aina yoyote ile na mahali popote ni ujasiri mkubwa sana.

Hayo yote unayoyazungumzia wewe, hattua hiyo itafikiwa wakati mwafaka.

Sasa hivi ni kuandamana kwa namna yoyote inayowezekana kuonyesha nia thabiti ya kuleta ukombozi ndani ya taifa letu.
Pyeeeeeeee
 
Mimi najuwa hakuna adui mkubwa zaidi anayeihatarisha Tanzania kwa sasa hivi kuliko Samia Suluhu Hassan na Genge lake. huyu ndiye anayetakiwa kuondolewa kwa njia yoyote ile ili taifa hili libaki salama..
mwaka wa 60 sasa, walikuepo kama wewe ila wakaondoka wakaiacha! ccm ndo tanzania
 
Haya yote nilishakuelewesha huko siku za nyuma nilipokuwa nakuchukulia kuwa ni mtu, badala ya nguruwe; sasa unataka nirudi kule kule? Sina muda huo wa kupoteza.
 
jifunze kuubeba ukwel
 
Back
Top Bottom