Maandamano barabara ya Kawawa

Maandamano barabara ya Kawawa

Huyajui maandiko, hujui inabii wala ujio wa Yesu Kristo, hujui hata wakati Yesu anasurubiwa Israel ilikuwa chini ya utawala gani na sheria zipi zilimhukumu kifo Yesu. Nyamaza!.

La kuongelea unaloweza kuchangia hata kama huna Mungu wala elimu, ni kwa ajili ya nini Hamasi waliwateka vijana watatu wa Israel na kuwaua? Kwa nini unaogopa kuuzungumzia ukweli na ambao ndiyo chanzo cha yanayoendelea kule gaza?

Mungu Mbariki, umuongeze na kumzidisha Israel!.


Last year, Dov Lior, Chief Rabbi of West Bank, called Barack Obama, “Kushi of the West”, which in Hebrew means “Nig*er of the West”.

In 2009, American Jewish writer and blogger, Max Blumenthal, visited the Zionist entity after Barack Obama’s so-called “historic speech” in Cairo in which he blasted Palestinian groups which carry armed resistance against the Zionist regime. Max was surprised by the Jewish hatred toward Barack Obama. He documented it in a video, Feeling the Hate in Israel, which was later removed from U-Tube and Huffington Post.

In Israel, racial slurs, insults, and discrimination against African Jews in housing rentals are commonplace. This treatment has reached such an unbearable level that recently Ethiopan Jews have taken to the streets to protest. In response, Sofa Landver, the Israeli Immigrant Absorption Minister, smugly replied that they should be grateful for all that state of Israel has done for them. This is reminiscent of white supremacist rhetoric in the America, which claims that Africans should be grateful their ancestors were brought to America. Israel was clearly created under the premise of future safety for all Jews, not just white European Jews. Therefore, black African Jews should have the same rights and entitlements to Israel as any other Jews.

In America, the relations between the Jews and Blacks are not much different either. The Jewish elites played a major role in the African slave trade and are still exploiting them to this day.
 
Alaaniwe na nani?. Allah na mtume wake mohammed?. Wala haitotokea kama allah wenu ana nguvu kwa nini mnaandama?. Mwambieni awaokoe tuone. Labda nadhani amelala shart aamshwe.

allah mwenyewe ana ratiba ya kumswalia mtume! MAJANGA
 
  • Thanks
Reactions: J C
Sisaport Israel kwa mauaji ya watoto wazee na kina mama wao wangepeleka majeshi huko kutokomeza hamas,na cyo kufanya maangamizi ya halaiki kwa silaha nzito ambayo haimchagui adui wala mtoto.HI NI LAANA KWA ISRAEL.

kama wahuni wa HAMAS wanajificha huko unafanyaje? Muda huo wako inspired na primary terrorism manual (karaan)!
 
Waisrael ndio walio muua yesu wakikataa kwamba yesu si masia wanaamini kwamba masia bado hajaja ila atakuja ..mungu wa waisrael yehova ndiye mungu wawakristu na ndiye muumbaji wa mbingu na nchi

ahsantee
 
Israel wanapata kipigo kizuri - hawakutegemea kuwa watu wachache ambao wa wmewazunguka pamoja na kibaraka wao misri wata weza kupigana kiasi hiki. Israel wamebaki kuuwa raia tu lakini wanapokutana na Hammas wanaipata na wameshindwa kuingia.

muongo kama mtume wako!
 
kwani dini yenu inasemaje kwa atakae kupiga shavu la kushoto? jews ni kina nani bint?

nguvu, imani ya wayahudi haina HURUMA YA YESU YA SAMEHE SABA MARA SABINI! Wao bado wanamsubiri YESU aje ndo watakuwa na huruma. Wao ni JINO KWA JINO, lazima walipe zaidi. Kwa ufupi UYAHUDI wanamiliki eneo la Gaza na hadi vita inaisha watasogeza mbele mpaka.

Long Live Israel
 
Last edited by a moderator:
kama wana hekima wasingechinjana wao kwa wao,ona Iraq,ona sudan ,ona syria,ona libya,ona mali,ona nigeria,ona misri. mnatuambia nini bwanaa. kadri mnavyopanga kuangamiza ukristo ndo laana ya kuuana wenyewe itawaka moto,si tunaendelea kumfanyia bwana mapambio
 
Hiyo ilitabiriwa ili damu ya thamani imwagike kwa ajili ya usafi dhidi ya dhambi zetu kwani damu ya ndama na kondoo haikuweza kizisafisha dhambi za mwanadamu. Alifanyika laana kwa ajili yetu wanadamu.

acha uongo wewe, umeona wapi mungu ajitokeze na aadhibiwe kwa ajili ya dhambi zako, mbona mnapenda sana kutengeneza maneno ya kuwatia matumaini.
 
Teh Teh Teh!. Ni zaidi ya jangaa.

Hawa jamaa wako brainwashed! WAO WAKIUA SAWA, WAKIUAWA HAPANA! Wanatuonea Wakristo sababu YESU kapinga kulipa kisasi.

Wamekutana na wasio na YESU kamasi zinawatoka! WAKOMEE
 
acha uongo wewe, umeona wapi mungu ajitokeze na aadhibiwe kwa ajili ya dhambi zako, mbona mnapenda sana kutengeneza maneno ya kuwatia matumaini.

Neno la maalaba kwao wanaopotea( magugu) ni upumbavu Bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu iletayo wokovu.
 
Hawa jamaa wako brainwashed! WAO WAKIUA SAWA, WAKIUAWA HAPANA! Wanatuonea Wakristo sababu YESU kapinga kulipa kisasi.

Wamekutana na wasio na YESU kamasi zinawatoka! WAKOMEE

Wacha wale tifu mpaka akili iwakae sawa maana wanaongoza ktk kuchafua amani ya dunia.
 
Alaaniwe na nani?. Allah na mtume wake mohammed?. Wala haitotokea kama allah wenu ana nguvu kwa nini mnaandama?. Mwambieni awaokoe tuone. Labda nadhani amelala shart aamshwe.

Ila mungu wenu aliyechapwa viboko na mijeredi kisha akaanza kulia na kuwekwa msalabani alikuwa ana nguvu ehnee? maana alishindwa kuwatoroka viumbe wake wasimuadhibu. Hizi imani nyingine ni hatari.
 
JEWS HATE BLACKS: No thanks for protecting Israel though huh? - YouTube - http://m.youtube.com/watch?v=fae8w_nYrcY

Israeli people attacking Christians in Israel - YouTube - http://m.youtube.com/#/watch?v=q3O3EB6pjHw

Israeli Jews hate Black people | Rehmat's World - Israeli Jews hate Black people | Rehmat's World

Hata kama wanawachukia, hata wazungu wanatuchukia!

mtume Muhamad alituita weusi SONS OF MONKEYS na akasema mchawi ni sawa na alivyo mtumwa mweusi

ISRAEL LONG LIVE! WAJITOA MUHANGA WAKOMEEEEE!
 
Ila mungu wenu aliyechapwa viboko na mijeredi kisha akaanza kulia na kuwekwa msalabani alikuwa ana nguvu ehnee? maana alishindwa kuwatoroka viumbe wake wasimuadhibu. Hizi imani nyingine ni hatari.

Shida unadandia treni kwa mbele utagongwa jombaaa!. Unahitaji mafundisho ya awali ya wokovu katika Kristo Yesu.
 
Machungu gani wakati kupigwa kwake tumepona. Tazama matasa wanapata watoto, vipofu wapata kuona, dhambi zinaoshwa, mapepo na vibwengo vinasepa bila ya kuaga, matumaini na amani vinatawala, na mbinguni tunakwenda
mmeponaje?
 
mmeponaje?

Tazama matasa wanapata watoto. IQ bora kabisa masomo, amani na upendo, ustaharabu jadi yetu, Tumaini jipya la maisha haya na yajayo tele, hakuna adhabu wala hukumu kwetu sisi tulio ndani ya Kristo Yesu n.k.
 
Back
Top Bottom