Maandamano barabara ya Kawawa

Maandamano barabara ya Kawawa

nawe ni mnafiki namba moja, shwain wewe! yanayoendelea russia na ukraine mpo kimya kabisa kisa wagalatia wenzenu

Kama kawaida yenu FULL JAZBA!!!!
Badala ya kuangala ukweli unaotokea unabakia kushabikia Maandamano yanayoongozwa kwa Unafiki na wanafiki Wachache.

Mbona Hamuandamani watu 1700 waliouawa Syria for the past 1 week alone??? au Roho za Wasyria hazina thamani?

source read here
 
ukweli huo ni ugaidi mkubwa unaofanywa na taifa la israel dhidi ya wanyonge palestina.cha ajab hao wanaojidai wapinga ugaid wapo kimya.aibu kwa marekan na washirika wake
 
Israeli teketeza magaidi hayo....yote yaishe kabisa ...dunia iwe na Amani...
 
Eti unasema umefunga mwezi mtukufu kweli unatia aibu kwa kauli zako.
nawe ni mnafiki namba moja, shwain wewe! yanayoendelea russia na ukraine mpo kimya kabisa kisa wagalatia wenzenu
 
Sisaport Israel kwa mauaji ya watoto wazee na kina mama wao wangepeleka majeshi huko kutokomeza hamas,na cyo kufanya maangamizi ya halaiki kwa silaha nzito ambayo haimchagui adui wala mtoto.HI NI LAANA KWA ISRAEL.

Ila rocket za Hamas zinachagua wanajeshi pekee sivyo??
 
na wabarikiwe kweli kwa maana hawajaanza leo kwani ndo walimpiga mungu na kumvalisha nepi sembuse wapalestina!

Hiyo ilitabiriwa ili damu ya thamani imwagike kwa ajili ya usafi dhidi ya dhambi zetu kwani damu ya ndama na kondoo haikuweza kizisafisha dhambi za mwanadamu. Alifanyika laana kwa ajili yetu wanadamu.
 
Israel imelaanika.

Na alaaniwe kila mwenye kuitukuza israel

Alaaniwe na nani?. Allah na mtume wake mohammed?. Wala haitotokea kama allah wenu ana nguvu kwa nini mnaandama?. Mwambieni awaokoe tuone. Labda nadhani amelala shart aamshwe.
 
we mwana wee! taratibu unawakumbusha wenzio machungu

Machungu gani wakati kupigwa kwake tumepona. Tazama matasa wanapata watoto, vipofu wapata kuona, dhambi zinaoshwa, mapepo na vibwengo vinasepa bila ya kuaga, matumaini na amani vinatawala, na mbinguni tunakwenda
 
Mi nasapoti maandamano ya kupinga uuaji unaofanywa na WA israel yaliyofanyika leo DAR,ila naomba IJUMAA IJAYO yaaandaliwe maandamano mengine KUPINGA UTEKAJI NA UUAJI UNAOFANYWA NA HAMAS. Hapo kila mtu duniani atawa support.
 
Wangekua na akili wangeandamana kupinga kitendo cha hamas kuwateka na hatimaye kuua wale watoto watatu wa kiisraeli hayo mauwaji yote yasingetokea. Ni majuha tu hao. Keep it up israel! Ur the eyes of G

JEWS HATE BLACKS: No thanks for protecting Israel though huh? - YouTube - http://m.youtube.com/watch?v=fae8w_nYrcY

Israeli people attacking Christians in Israel - YouTube - http://m.youtube.com/#/watch?v=q3O3EB6pjHw

Israeli Jews hate Black people | Rehmat's World - http://rehmat1.com/2013/02/09/israeli-jews-hate-black-people/
 
Back
Top Bottom