Maandamano barabara ya Kawawa

Maandamano barabara ya Kawawa

Wangekua na akili, wangeandamana kupinga Boko Haram kuteka wasichana, kupinga Al Shabab kufanya ugaidi kule Somalia na Kenya, Kupinga ISIS kufanya mauaji kule Iraq na Syria, kupinga Al Qaeda kufanya na kufadhili ugaidi duniani..... Mengine utaongezea!

Na atakayekupinga na kukataa huu ukweli ni gaidi.Na ushindwe kwa uwezo wa kitimoto.
 
Unaandamana huna kazi?, kanye kisha kalale.wafilisti lazima wakubali utukufu na uteule wa israel.
 
Hivi huwa najiuliza wanavyoandamana huwa wausika wanawasikia au mbwembwe.

Picha - Hivi vitambaa vyekundu humaanisha nini??
 
Attachments

  • 1406282262444.jpg
    1406282262444.jpg
    58 KB · Views: 202
  • 1406282298709.jpg
    1406282298709.jpg
    54.7 KB · Views: 173
  • 1406282384029.jpg
    1406282384029.jpg
    53.1 KB · Views: 169
  • 1406283452312.jpg
    1406283452312.jpg
    62.9 KB · Views: 171
waisrael mbona wamekubali kusimamisha vita,lakini hamas hawataki. waislam waarabu waliokaribishwa palestina ndio wanaowaponza. kiongozi Wa Hamas aliyekataa kusimamisha vita ni raïa Wa Qatar, waliwadanganya watawasaidia ndo maana sasa wanakula mfueni. ukiwa maskini mtoto wako atakuwa fukara,na ukipigwa basi mwanao atauawa. wapalestina hawafikili, hawaelewi wanafanya nini,na serikali yao pia ni dhaifu,haina maamuzi. bora mwandamane kwa ajili ya dhahabu,tanzanite,albino wetu,gesi,ukawa na katiba yenu iokoe tanzania mbeleni kuliko huo upuuzi. Dua la kuku alimpati mwewe ndugu yangu. israeli alipambana na mungu na wanadamu akashinda, akabidi aitwe israel ,yaani shujaa (Mwanzo 32:28). Endeleeni kujidanganya tu,mkipunguzwa mtaenda kujipanga tena
 
Ujielewi ww.pumba tupu.acha viroba kwanza ndo uandike
 
Toa hoja sasa, mini buzz; sio unarusharusha cheche kama ulikua mwalimu Wa ngumbalo.
 
Huyajui maandiko, hujui inabii wala ujio wa Yesu Kristo, hujui hata wakati Yesu anasurubiwa Israel ilikuwa chini ya utawala gani na sheria zipi zilimhukumu kifo Yesu. Nyamaza!.

La kuongelea unaloweza kuchangia hata kama huna Mungu wala elimu, ni kwa ajili ya nini Hamasi waliwateka vijana watatu wa Israel na kuwaua? Kwa nini unaogopa kuuzungumzia ukweli na ambao ndiyo chanzo cha yanayoendelea kule gaza?

Mungu Mbariki, umuongeze na kumzidisha Israel!.

kwani dini yenu inasemaje kwa atakae kupiga shavu la kushoto? jews ni kina nani bint?
 
wenye akili kama zako mnapaswa kutafuta taifa jingine la kuishi.Hatuko tayali kuishi na vichwa taka kama ninyi.

wewe na elimu yako ya cheti nani anataka kuishi na wewe? kwa taarifa yako viongozi wa nchi hii watakuwa muslim milele,
 
walidhani wakikaa kwenye jengo la umoja wa mataifa itawasumbua akili, kwa taarifa yenu hawaogopi mtu yeyote hii dunia,ni taïfa pekee dunia lililoletwa kwa ajili ya kupiga watu kama nyinyi.
 
Hawa Hamas Lugha wanayoilewa ni Kichapo Tu. Wacha Watandikwe Kisawasawa ndipo akili yao itakapofunguka. Hawa Waandamanaji nao ni wanafiki watupu.

Mbona Hawaandamani ISIS inavyo taka kuwatahiri Wanawake Iraq?
Mbona hawaandamani wakati ISIS inapofukuza Wakristo Iraq?
Mbona Hawaandamani Alshabaab ilivyoua wasio Waisilamu Kenya na wanavyoendelea Kuua Kenya hadi Leo?
Mbona Hawaandamani Boko Haram walipoteka wasichana 200 na Kuwabaka na wkuwalazimisha kubadilisha dini Kuwavalisha Mishuka?

Unafiki, Unafiki Unafiki!!!!!
 
nawe ni mnafiki namba moja, shwain wewe! yanayoendelea russia na ukraine mpo kimya kabisa kisa wagalatia wenzenu
 
mungu yupi tena? umesahau ndo walimpiga huyo mungu wako kama kibaka wa manzese na kumvalisha boxer?

Duuu mambo ya Mungu yanini hapa.........watu wanapinga ugaidi we unaleta udini......shooooo
 
Hawa Hamas Lugha wanayoilewa ni Kichapo Tu. Wacha Watandikwe Kisawasawa ndipo akili yao itakapofunguka. Hawa Waandamanaji nao ni wanafiki watupu.

Mbona Hawaandamani ISIS inavyo taka kuwatahiri Wanawake Iraq?
Mbona hawaandamani wakati ISIS inapofukuza Wakristo Iraq?
Mbona Hawaandamani Alshabaab ilivyoua wasio Waisilamu Kenya na wanavyoendelea Kuua Kenya hadi Leo?
Mbona Hawaandamani Boko Haram walipoteka wasichana 200 na Kuwabaka na wkuwalazimisha kubadilisha dini Kuwavalisha Mishuka?

Unafiki, Unafiki Unafiki!!!!!

maandamano haya ni unafiki 2 wameshindwa kuandamana kupinga boko haramu, al shabab, isis wanawakeketa wanawake na kuua watu iraq wameshindwa kuandamana mambo yaliotokea afrika ya kati ant baraka na mseleka walivyouwa watu hawazungumzi wasichana waliotekwa na boko haramu wangeandamana tujue huu ni unafiki siungi mkono mauaji ya watoto na kina mama wa watu wote gaza na yanayotekea huko
 
Back
Top Bottom