COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,617
- 3,680
kipindi hicho waisrael walikuwa wapi? jews ni kina nani?
Jewish ni WAYAHUDI ndiyo wananchi wa Israel. Israel ni jina ambalo YAKOBO alipewa baada ya kupambana na kumshinda Malaika hadi alipobarikiwa na kupewa jina Israel.