Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

Nchi ii imeingia kichaa cha mbwa ...watu wanabweka matamko tu ....bila hata ya kufikiri.....uyu mama was elimu...sijui anataka nchi ielekee wapi na bosi wake ameanza kuwa anatisha
 
Kuhusu elimu Tanzania ijifunze kwa wenzetu Nigeria au kwa jirani zetu Kenya,Sidhani kama matamko yatasaidia bila kuwa na mpango mkakati.Mambo ya elimu hayahitaji short cut
 
Nchi ii imeingia kichaa cha mbwa ...watu wanabweka matamko tu ....bila hata ya kufikiri.....uyu mama was elimu...sijui anataka nchi ielekee wapi na bosi wake ameanza kuwa anatisha

hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
wanafunzi wasiopenda sayansi watajifelisha makusudi tu kwani shida ikuapi kisha watashusha ufaulu wa masomo ya sayansi afu watarudi kule kule
 
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
Prof Muhongo kwa muonekano na maneno ana jeuri fulani na kwa kiasi nimeanza kuifurahia jeuri yake.Anasimamia anaachoiamini na hapa nataka nionyeshe tofauti na wengine ambao kila ukiangalia unaona wazi wanajipendekeza na wameshajua mkuu anataka nini..
Ndalichako anahamishia lawama za kudahili watu wasio na sifa na kuzipeleka kwa wanafunzi badala ya taasisi zinazohusika kudahili (dealing with individuals) na hii ni dhulma kubwa.
kuhusu sayansi hatukatai lakini watu walifanya tafiti nyingi na ikaonekana ya kuwa social changes haziwezi kufanikiwa bila kushirikisha social sciences ambazo zinasomwa na watu wa arts.Tuweke kipaumbele kwa sayansi lakini sio kwa gharama ya elimu jamii.
 
...ndio wasome sayansi...

ukizungumzia maskini,ungejua maskini ndio wanachimba(wanasoma Zaidi) ...usingesema wataumia Zaidi...

sayansi wakati ule,ilikua lazima kwa wote mpk form two,form three na kuendelea ndio wanaanza kuspecialize....

ssijajua alikua anamaanisha nini sasa hivi?mwenye kujua anifafanulie
We unafkiri mwanafunzi atafaulu masomo ya sayansi kwa kulazimishwa kusoma sayansi au kwa kupenda kusoma sayansi?..
 
The Boss na katika hii global village tunahitaji watu watakao weza ku communicate effectively kwa Kiingereza tukiwa kama moja ya nchi za jumuiya ya madola, tunahitaji malawyer wazuri wakuweza kusimimia mikataba ya rasilimali zetu, sasa kama nguvu zote zikitupwa kwenye physics na chemistry huko kwingine tutaendelea kuumizwa.
Hata tukisema tuweke mkazo kwa masomo yote bado tatizo la kusoma na kuongea kiingereza kwa ufasahasa litabaki palepale.Hii ni kutokana na historical mistake za huko nyuma wakati tunachagua lugha ya kufundishia..Lile gap la kufindisha kwa kiswahili toka std (i) to (vii) bado linatutafuna na litaendelea kututafuna mpaka hapo tutakapokuja kufanya maamuzi magumu na fasaha.
 
Shule sio mwisho form 4, watachagua wanapoenda form 5, tena hii itawapa nafasi kubwa wanafunzi kuendelea. watu wengi wanajuta kuacha masomo ya science form two.
Ukweli ni kwamba sio kila anaeweza kufaulu masomo ya arts anaweza kufaulu sayansi,lakini kwa upande mwingine wanafunzi wengi wanaosoma masomo ya sayansi wanauwezo pia wa kufaulu masomo ya arts vizuri sana..
sasa kumlazimisha mwanafunzi anaependa atrs asome sayansi huku ukitegemea afaulu ni kama kutwanga maji kwenye kinu,kwa sababu nauhakika atatilia mkazo kusoma yale ya arts sababu anayaweza na ndiyo ana malengo nayo,ila haya ya sayansi atayabeba tu kama mzigo na ikifika siku ya mtihani ataandika namba na kulala hadi muda utapoisha,Kwa kuwa mwisho wa siku ni masomo 7 tu yanayohesabiwa kwenye division.Kwa iyo haya mambo siyo ya kutumia nguvu mkuu,inahitajika busara sana hapa.
 
Nchi ii imeingia kichaa cha mbwa ...watu wanabweka matamko tu ....bila hata ya kufikiri.....uyu mama was elimu...sijui anataka nchi ielekee wapi na bosi wake ameanza kuwa anatisha

Kichaa cha mbwa indeed
 
Hua ni muhimu sana kua na long discussions ikiwezekana muda mwingine kuinvolve public au education institutions kwenye these kinda choices ili tu kupata maoni ya pande zote, personally I think wanafunzi kusoma sayansi hadi form 4 sio kitu kibaya, kwa kua ni basic stuffs wanasoma, na wanafunzi wengi hua wanaregret kudrop science wakiwa form 2 simply because unakuta bado uelewa ni mdogo wa kumake the right choice, mambo kawaida hua yanaanza kua tight form 5. Ofcoz vipo vichwa vingi ambavyo vitafeli Tanzania, hasa arts hua wanafeli sana pamoja na kua na idadi kubwa still wana kauvivu fulani wakiamini arts ni kitu rahisi.

Nadhani tatizo kubwa hasa lipo kwenye system yetu, wanafunzi wengi ni wavivu, they don't study at all, ingia darasa lolote la form 4 uliza pythagoras theorem utakuta almost 50% hawajui kitu ambacho marekani mtoto wa grade 6 anakujibu hata akiwa usingizini, unless upo kwenye shule special.

Ila una valid point pia, I think what we need is long discussions kuweigh njia ipi ni sahihi, na challenges zake ni zipi, kama tutaintroduce sayansi kwa system iliyopo kuna probability kubwa ya kuongeza F kwenye vyeti vya form 4. Tuige nchi kama USA ambazo kitu kama kuintroduce Computer science kwenye curriculum walitumia almost miaka 4 kudiscuss, research zikafanyika, wakafuatilia hadi kwenye big companies Sillicon valley ili tu kujiridhisha kua its the right choice. Sisi hizi decisions ni kama tunazifanya overnight, we are experimenting on people.
Mh kuna point moja na mashaka kuhusu 'Pythagoras theorem' kuwa % kubwa ya watoto wa marekani wanajua nina mashaka- Hesabu ni janga la kidunia!
 
Mh kuna point moja na mashaka kuhusu 'Pythagoras theorem' kuwa % kubwa ya watoto wa marekani wanajua nina mashaka- Hesabu ni janga la kidunia!

Hesabu ni janga la kidunia ila sio hesabu basic kiasi hiki, kuna vitu basic kwenye hesabu watoto karibia wote nje wanajua, tatizo la tanzania ni wengi sana wanaenda chaka mahesabu mepesi mepesi, 50% kutokujua kitu kidogo kama hiki ni aibu tena hapo ni shule za kata za kawaida, zile ambazo hazipo hata kwenye ramani unaweza kuta form 4 darasa zima mtu moja tu ndio anajua, nilitegemea chini ya 1% ndio washindwe, tatizo sijui ni lipi ila uvivu na lugha vinachangia.
 
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
usishangae Kaka hiyo laana ya kuichagua ccm
 
hakuna asie na uwezo na somo flani. hakuna mtu mjinga, kila mtu ana akili,kikubwa ni walimu wazuri na maandalizi kwa mtoto,

nampongeza sana Ndalichako kwa kuskia kilio changu cha siku nyingi .
Umeeleza vizuri,ila hapo la akili ni maamuzi ya mhusika jinsi atakavyo itumia. Mfano,nikwanini tuwe na shule za serikali zinazochukua wenye ufaulu wa juu kwenda hizo zinazo itwa special,wengine waende shule za bweni na wengine wapelekwe shule za kata ambazo hata cutoff point hazieleweki,kila mwaka zinabadilika kutegemea idadi ya wanaomaliza.
Nilisha sema nyie mnatengeneza mazingira yakuhukumu walimu nasivinginevyo,binadamu tunatofautiana uelewa hata kujitambua pia.
 
11855805_10207394901291429_5170383668447255686_n.jpg
Hahaaaaa u have made mai dei
 
Back
Top Bottom