Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,885
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
 
Yule Prof nae anaanza kulewa zile sifa! Anaanza kuropoka bila utafiti! Nadhani nae alikuwa mtafiti labda alitafiti ili awe na ajira sio toka rohoni! Sasa ameanza kukurupuka! Tuta fix tu soon! Anahitaji exposure nadhani hilo halijui! Apate kwenda nchi za jirani akajifunze asituletee wazimu wake anafikiria na kuropoka!!! Wanatuharibia nchi yetu hawa na matamko yao!
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi
... kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu

Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mahuleni,kesho yake
tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo
au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi......

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na Vyuo....

Hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile
mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania
akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini
haumruhusu...vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini...

mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village'

Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa....

na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini...

Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa Kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje?

Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania?

kwani Tanzania ni kisiwa? si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'?

Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?......
 
Anasema eti kuelekea Tanzania ya viwanda Sayansi ni lazima
nimejiuliza USA na China huko kote walilazimisha wanafunzi wote kusomea Sayansi?
au hii yetu ni 'ubunifu mpya'?
 
Sijui nani atakuja kuikomboa elimu ya nchi hii maana kila anae kabidhiwa ofisi anakuja na yake kwa kumsikiliza mpiga zumali wake.

Sijui kwanini kuna kua na ugumu wa kuja na sera moja makini ya kitaifa iliyochambuliwa na wadau wote wa elimu na ikapitishwa na pasiwe na mwingine wa kuja kuivuruga.

Ndugu yetu kaililia wee "Mama Tanzania" wameishia kumpuuza badala ya kumshika mkono tupate mchango wake.

Hawa wasomi wetu sijui wanatupeleka wapi.
 
Kweli huyu mama kachemka sana. Kulazimisha watu kusoma sayansi katika ulimwengu huu ni kitu cha ajabu sana. It's a world of choices, anayeweza sayansi asome, asiyependa asisome. USA na wengine wengi hawakupiga hatua kwa matamko ya kipuuzi namna hii.

Lakini pia, jambo hili lilihitaji wadau toka sekta ya elimu kulijadili, naona ameamua tu na bosi wake na inakuwa amri, upuuzi mtupu.
 
...ndio wasome sayansi...

ukizungumzia maskini,ungejua maskini ndio wanachimba(wanasoma Zaidi) ...usingesema wataumia Zaidi...

sayansi wakati ule,ilikua lazima kwa wote mpk form two,form three na kuendelea ndio wanaanza kuspecialize....

ssijajua alikua anamaanisha nini sasa hivi?mwenye kujua anifafanulie
 
Hua ni muhimu sana kua na long discussions ikiwezekana muda mwingine kuinvolve public au education institutions kwenye these kinda choices ili tu kupata maoni ya pande zote, personally I think wanafunzi kusoma sayansi hadi form 4 sio kitu kibaya, kwa kua ni basic stuffs wanasoma, na wanafunzi wengi hua wanaregret kudrop science wakiwa form 2 simply because unakuta bado uelewa ni mdogo wa kumake the right choice, mambo kawaida hua yanaanza kua tight form 5. Ofcoz vipo vichwa vingi ambavyo vitafeli Tanzania, hasa arts hua wanafeli sana pamoja na kua na idadi kubwa still wana kauvivu fulani wakiamini arts ni kitu rahisi.

Nadhani tatizo kubwa hasa lipo kwenye system yetu, wanafunzi wengi ni wavivu, they don't study at all, ingia darasa lolote la form 4 uliza pythagoras theorem utakuta almost 50% hawajui kitu ambacho marekani mtoto wa grade 6 anakujibu hata akiwa usingizini, unless upo kwenye shule special.

Ila una valid point pia, I think what we need is long discussions kuweigh njia ipi ni sahihi, na challenges zake ni zipi, kama tutaintroduce sayansi kwa system iliyopo kuna probability kubwa ya kuongeza F kwenye vyeti vya form 4. Tuige nchi kama USA ambazo kitu kama kuintroduce Computer science kwenye curriculum walitumia almost miaka 4 kudiscuss, research zikafanyika, wakafuatilia hadi kwenye big companies Sillicon valley ili tu kujiridhisha kua its the right choice. Sisi hizi decisions ni kama tunazifanya overnight, we are experimenting on people.
 
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi
... kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu

Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mahuleni,kesho yake
tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo
au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi......

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na Vyuo....

Hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile
mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania
akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini
haumruhusu...vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini...

mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village'

Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa....

na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini...

Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa Kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje?

Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania?

kwani Tanzania ni kisiwa? si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'?

Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?......

Lakini hii sayansi ya o-level sio kwamba ni basics tu za sayansi?? Hapo awali ilikuwa lazima hadi kidato cha pili, sasa kusogezwa hadi kidato cha nne ni ishu kubwa kweli?? Blown out of proportions maybe!!
 
11855805_10207394901291429_5170383668447255686_n.jpg
 
Anadhani kusoma Physics na Chemistry ndo kuweza kuoperate viwanda!
Kwanza machine za siku hizi siyo manual ni automated computerized.

Nimesoma mimi physics na chemistry lakini sijawahi kuiapply popote!, hata huko viwandani hawaangalii physics umefauluje
 
Nilishasema toka awali kua huyu mama anakurupuka sana watu wakapinga vikali. Mpaka hapa sijaona mwelekeo wa mafanikio kwa uwepo wa huyu mama Wizara ya Elimu. Wizara ya ELIMU sio NECTA, sio taasisi ndogo! Hii wizara ndio moyo wa nchi.

Sijui mwaka huu vyuo vikuu vingapi vitakavyopokea wanafunzi wa fani za Sayansi. Utaratibu wa kizamani sana huu.
 
Back
Top Bottom