Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
Professional academician anapokuwa unprofessional politician lazima awe kituko. Hivi nchi hii haina wataalamu wa maswala ya Sera kama Sera ya elimu? Juzi kaja Mungai kafuta hili kaunganisha chemistry na physics. Jana kaja kawambwa katoa div 5,6,7 Leo kaja mama kafuta g.p.a sayansi lazima, mfumo wa ufaulu unasema min 7 max 10 Atakaye Fanya sayansi lazima commercial subj zinafutwa au zinaenda wapi? Sioni maendeleo ya yaifa langu labda 50 yrs to come, tuanze moja kama vile tumepata Uhuru jana.
 
Anataka kusema viwanda havitahitaji wahasibu, wachumi, nk. Au ikiwa muhasibu katika nchi ya vigwanda tz lazime uwe scientist.Mgema akisifiwa ..........
HAPANA. NI UHABA WA NGUVU KAZI KATIKA BAADHI YA SEKTA ULIOSABABISHA NA MAKOSA YA KUTOA MWANYA WATU KUANZA KUFIKIRIA KITU FULANI NI KIGUMU NA KINGINE NI RAHISI NDIYI KULIKOPELEKEA KUTOKUWA NA BALANCE YA MANPOWER. IWE TU LAZIMA ILI KUNUSURU VIZAZI VIJAVYO KUJA KURUNDIKANA KWENYE SEKTA AMBAZO MANPOWER WAMEJAA. WATAKUJA KUUWANA ILI MWINGINE NAE APATE NAFASI FULANI. CHUKULIA MFANO SEKTA AMBAZO MANPOWER IPO LAKINI MAHALI PA KUITUMIA PAMEJAA ie NENDA SHULE ZA PRIVATE KUTAFUTA AJIRA KAMA NI GRADUATE WA ARTS NA SCIENCES HALAFU UTAKUBALI NA HAO NDO WAZALISHAJI WA MANPOWER YA TAIFA LIJALO NDUGU. ACHENI UOGA AMBAO UTAPELEKEA KUWASHAURI VIZAZI VIJAVYO VIBAYA.
 
Kuna na hili pia, kupiga marufuku foundation course zote kwa wanafunzi ambao hawakuta ufaulu wa kutosha hata kama amesoma foundation mwaka mzima. Kwake huyo mwanafunzi hajaelemika ni hadi arudie masomo ya olevel.
 
watu kama nyie hamkosekani katika jamii na tunawahitaji sana.
Hivi nchi ya viwanda lazima kulazimishana kusoma sayansi kwan wote wanataka wawe maengeneer, mnaongeza viwango vya ufaulu halaf mnawalazimisha watoto wa maskini wasome masomo ambayo hawana uwezo nayo
 
hakuna asie na uwezo na somo flani. hakuna mtu mjinga, kila mtu ana akili,kikubwa ni walimu wazuri na maandalizi kwa mtoto,

nampongeza sana Ndalichako kwa kuskia kilio changu cha siku nyingi .
 
Wewe ni muathirika wa elimu mbovu tuliyonayo, utabaki kuwa mkia hadi mauti yako. You should have have studied my comment but instead you read it just like you were programmed to do at school. Na hili ndilo tatizo la elimu ya nchini kwetu.
Enjoy your Sunday.

Ninyi ni wale mnaolaumu tuu kila kitu kwa kuwa akili yako haitaki. Mambo mengine ni hata kwa force ni ngumu kufanya mageuzi ya elimu kwa kubembeleza wakati mfumo wenywe ilishakuwa corrupt. Mama chapa kazi anayeona kero ahamishe mwanae we tengeneza mfumo bora hata kama inaumiza kwa wakati huu ila baadae tutaenjoy.
 
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
Huyu prof nilidhani kanichosha mimi tu..kumbe tupo wengi...anaua elimu yetu uyu mama..maskini wengi wataishia form 4
 
unaweza kumlazimisha punda kwenda mtoni lakini sio kunywa maji
 
Anasema eti kuelekea Tanzania ya viwanda Sayansi ni lazima
nimejiuliza USA na China huko kote walilazimisha wanafunzi wote kusomea Sayansi?
au hii yetu ni 'ubunifu mpya'?
Kwahiyo ambao watoto wetu wanatamani kusomea "Arts" wawewameacha kwenda shule kwanza mpaka hao wa siyansi wapite?
 
HAPANA. NI UHABA WA NGUVU KAZI KATIKA BAADHI YA SEKTA ULIOSABABISHA NA MAKOSA YA KUTOA MWANYA WATU KUANZA KUFIKIRIA KITU FULANI NI KIGUMU NA KINGINE NI RAHISI NDIYI KULIKOPELEKEA KUTOKUWA NA BALANCE YA MANPOWER. IWE TU LAZIMA ILI KUNUSURU VIZAZI VIJAVYO KUJA KURUNDIKANA KWENYE SEKTA AMBAZO MANPOWER WAMEJAA. WATAKUJA KUUWANA ILI MWINGINE NAE APATE NAFASI FULANI. CHUKULIA MFANO SEKTA AMBAZO MANPOWER IPO LAKINI MAHALI PA KUITUMIA PAMEJAA ie NENDA SHULE ZA PRIVATE KUTAFUTA AJIRA KAMA NI GRADUATE WA ARTS NA SCIENCES HALAFU UTAKUBALI NA HAO NDO WAZALISHAJI WA MANPOWER YA TAIFA LIJALO NDUGU. ACHENI UOGA AMBAO UTAPELEKEA KUWASHAURI VIZAZI VIJAVYO VIBAYA.
Halafu hiyo Physics na Chemistry ya form 4 ndio itafanya awe na huo uwezo au manpower unayozungumzia. Let supply determined by demand. Nadhani reforms na msisitizo ulikuwa ufanywe katika technical colleges na vocational trainings, kama mnaruhusu VETA watoe course za hr, procurement na uhasibu mnatarajia nini?
 
Nyie mnaoleta na kutetea thread za namna hii tumeshawajua ni wamiliki wa vyuo binafsi na wale wenye watoto wasio na ufahulu mzuri. Vyuo vyenu binafsi mliwategemea sana wanafunzi wenye ufahulu hafifu ili mneemeke lakini ndo hivyo tena hakuna janja janja tena huku mkijifanya mnawatetea watoto masikini wakati huwa hawaji kwenye hivyo vyuo vyenu vyenye gharama kubwa.
Kwahiyo ukiwalazimisha wasome physics na chemistry ndio "ufahulu" utapanda? Hilini suala la market force tu mkuu. Market ikiwa katika hali ya ku-absorb more science graduates, definitely watu watajipanga ku-graduate course za science. Lakini kinyume cha hapo ni kuongeza majanga kwa taifa.
 
Hivi hizi Sera za elimu yetu,hubuniwa tu na waziri aliepo,au hupitia ktk mchakato flani wa wadau na watafiti??
 
Anataka kusema viwanda havitahitaji wahasibu, wachumi, nk. Au ikiwa muhasibu katika nchi ya vigwanda tz lazime uwe scientist.Mgema akisifiwa ..........
ukimaliza unaweza ukasoma EGM,HGE,ECA na hapo tutapata wachumi na wahasibu .nasi tulisoma yote tulipofika six tukajikita kwenye masomo ya combination.hivyo maamuzi ya waziri Ndalichako nayaafiki.ushauri watatue tatizo ls uhaba wa walimu wa physics na chemistry.
 
NAUNGA MKONO HOJA ila siyo wageni waje wakati wanananchi wana uwezo wa kufanya kazi hizo.
 
Nampongeza sana huyu mama kwa uchapakazi wake.
Ila ni maoni yangu kwamba, ili kuendana na hoja ya Tanzania ya viwanda, kiingereza kiwe ni lugha rasmi ya kufundishia kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo hamna cha english medium wala kiswahili medium.
Pia jadiliana na wenzako wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na SADC muondoe vikwazo vyote vya walimu na wanafunzi kuvuka mipaka ya nchi husika, hasa katika elimu ya juu (ngazi ya chuo kikuu na masuala ya research).
Nawasilisha.
Unao hao walimu wa kufundisha kwa hiyo lugha??? Walimu wenyewe lugha inawachenga. Utafukuza walimu wote wa primary kwa namna hiyo.
 
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
natamani hata kulia
 
Kweli huyu mama kachemka sana. Kulazimisha watu kusoma sayansi katika ulimwengu huu ni kitu cha ajabu sana. It's a world of choices, anayeweza sayansi asome, asiyependa asisome. USA na wengine wengi hawakupiga hatua kwa matamko ya kipuuzi namna hii.

Lakini pia, jambo hili lilihitaji wadau toka sekta ya elimu kulijadili, naona ameamua tu na bosi wake na inakuwa amri, upuuzi mtupu.

PROFESA CHAPATI
 
Back
Top Bottom