DON SINYORI
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 511
- 417
hahhaha mi nacheka tu kwa maana kuila waziri anakuja na lake. mwingine alinletea physics with chemistry,akafuta bookeeping na commerce,mwingine akafuta agriculture,mwungine akafuta michezo,mwingine akafuta fimbo mwingine huyu anaweka eti science compulsory.hahahahah daaah ni science nliosoma sijawahi apply popote hapa kazini. mwambieni JPM na mawaziri wake hata Asian Tigers,china wengineo walifanikiwa katika viwanda lakini hawakutumia option hii.sasa wao wabishi wakiambiwa wanasema oooh sisi sio koloni la flani mpaka tuwaige.inovation hailetwi na madesa ya darasani.zaidi mtawaongezea wadogo zetu miswaki kwenye vyeti vyao washindwe hata kusoma nje ya TZ.
pengine mama Ndalichako una lengo zuri but poor methodology.kwani waliosoma sayansi miaka ilopita wameleta kiwanda kipi mpaka mseme eti sayansi ndio tiba ya kuwa na viwanda.
watu wanabuni helikopta mnawapiga marufuku.....hivi mko siriaz kweli? mnajua hata Wright brotherz walianzaje?maka leo tunapaa kwa raha???????? f**k off this country