Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

Maamuzi ya Prof Ndalichako yanashangaza

...ndio wasome sayansi...

ukizungumzia maskini,ungejua maskini ndio wanachimba(wanasoma Zaidi) ...usingesema wataumia Zaidi...

sayansi wakati ule,ilikua lazima kwa wote mpk form two,form three na kuendelea ndio wanaanza kuspecialize....

ssijajua alikua anamaanisha nini sasa hivi?mwenye kujua anifafanulie
HAKUNA OPTIONS KAMA ZA ZAMANI UKIFIKA KIDATO CHA TATU.
 
Hua ni muhimu sana kua na long discussions ikiwezekana muda mwingine kuinvolve public au education institutions kwenye these kinda choices ili tu kupata maoni ya pande zote, personally I think wanafunzi kusoma sayansi hadi form 4 sio kitu kibaya, kwa kua ni basic stuffs wanasoma, na wanafunzi wengi hua wanaregret kudrop science wakiwa form 2 simply because unakuta bado uelewa ni mdogo wa kumake the right choice, mambo kawaida hua yanaanza kua tight form 5. Ofcoz vipo vichwa vingi ambavyo vitafeli Tanzania, hasa arts hua wanafeli sana pamoja na kua na idadi kubwa still wana kauvivu fulani wakiamini arts ni kitu rahisi.

Nadhani tatizo kubwa hasa lipo kwenye system yetu, wanafunzi wengi ni wavivu, they don't study at all, ingia darasa lolote la form 4 uliza pythagoras theorem utakuta almost 50% hawajui kitu ambacho marekani mtoto wa grade 6 anakujibu hata akiwa usingizini, unless upo kwenye shule special.

Ila una valid point pia, I think what we need is long discussions kuweigh njia ipi ni sahihi, na challenges zake ni zipi, kama tutaintroduce sayansi kwa system iliyopo kuna probability kubwa ya kuongeza F kwenye vyeti vya form 4. Tuige nchi kama USA ambazo kitu kama kuintroduce Computer science kwenye curriculum walitumia almost miaka 4 kudiscuss, research zikafanyika, wakafuatilia hadi kwenye big companies Sillicon valley ili tu kujiridhisha kua its the right choice. Sisi hizi decisions ni kama tunazifanya overnight, we are experimenting on people.
You have a point
 
Huyu ndiye aliyetufelisha 4m4 2012 nchi nzima halafu akatuita et wa kubustiwa! None sense! Cmuamin hadi keshokutwaaaa, nakumbuka alifanya utumbo 1 hadi nilicheka chumba cha pratical ya chemistry, ktk paper kuna HCL acid halafu iliyoandaliwa Salphuric acid haaahaaa et nifanye titration!
Alikufelisha au ulifeli tu! wakati unafeli hukuona wengine wakiwa na divisheni 1? Angalia sasa HCL ni kitu gani? halafu unasema ulifelishwa! Hata leo hii unastahili kufeli tu! HCL!!!??
 
ata mie ningekua nasoma sasa,ningekataa shule mzee angeniamishia kenya walah...ngoja tuone na masomo lundo waliyonayo wanafunzi labda watapanga tena yapi ya kuunganisha au kuyatoa kabisa dadekii🙂
 
Mimi nimeipenda hii. Wote tusome sayansi(masomo) yote mpaka form 4, then hapo ndio kila mtu achague mchepuo
Safi sana Dr

Unavyosema uchague una maanisha kila mtu atapita free baada ya form 4?
Au baada ya asilimia kubwa ya wanafunz kufeli form 4 hao wachache nd wachague
 
Ndo maprofesa wetu hao
I still kent digest this[emoji10] like seriously?! When I heard it at first I thought it was a joke...can someone make me understand this b4 I baptize ds prof ndalichao ...Tz kiza on progress
 
Tembeeni muone nchi la Kama use mwalimu anafundisha chemistry na geography, au hesabu na history it's possible tusiwe wavivu kufikiri
 
I still kent digest this[emoji10] like seriously?! When I heard it at first I thought it was a joke...can someone make me understand this b4 I baptize ds prof ndalichao ...Tz kiza on progress
Vitu vyepesi mnavifanya vinakua vigumu kufikiri

... Kwani mmeambiwa hayo masomo mengine wataachwa fundishwa.

Anachokifanya Ndalichako ni vijana kutofuata mkumbo. Kuna kitu hujengeka tu mawazoni mwa wanafunzi kwamba science ni ngumu. Wajinga wengine huchagua tangu form one... Anapofika vidato vya juu hata hyo arts alochagua anashindwa.

Hivyo kwa maamuzi ya Waziri wa Elimu ni kuwapa wanafunzu uwanja mpana wa machaguo na kuchaguliwa.

TUSIPENDE SHABIKIA VITU KI KILA*ZA KILA*ZA.

TUJENGE TABIA YA KUFIKIRI NJE YA BOX.... Cc The Boss
 
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
Umeongea vitu ambavyo kwakweli kila mwenye uwezo wake wa kufikiri, atajifunza kitu. Ila kwa wale wenzangu na mm wafia chama na misifa hawataona umeandika nini. Watakubeza na kukutukana. Lakini umeandika kitu kimoja kizuri sana. Big up
 
Tatizo wamefungiwa sana humu ndani, i think its the right time now,watoke ili tupunguze matamko yasiyo kwisha kila wiki.
 
Wengi mmeona habari ya leo kuwa sasa ni lazima wanafunzi wote wasome Sayansi kabla ya hiii zimekuwepo habari nyingi za kushangaza za wizara hii ya elimu. Siku Magufuli aliposema anashangaa fimbo kupigwa marufuku mashuleni, kesho yake tu Wizara hii ikatangaza 'fimbo kurudishwa mashuleni'
yaani halikuwa na mjadala wala kutolewa maelezo labda why fimbo zilizuiwa mwanzo au kuna watalaam gani walihusika kufikia maamuzi.

Halafu yakaja maamuzi ya kuongeza ufaulu ili kujiunga na vyuo, hili nalo limechukuliwa kama Tanzania ni kisiwa vile mpaka sasa wala hakuna maelezo iwapo mwanafunzi wa kitanzania akipata nafasi kusoma nje ya nchi kwa ufaulu ambao hapa nchini haumruhusu, vyeti vyake vitakuwa na 'status' gani hapa nchini mradi maamuzi ya wizara hii sasa ni kama vile Tanzania ndo 'The world'
na kila atakachoamua yeye ndo 'final'

Huyu mama na Mabosi zake wanasahau kuwa tuko katika 'global village' Maamuzi ya ajabu ajabu sanasana yatawaathiri watoto wa masikini tu
wengine wenye options za kusoma nchi jirani na nchi za mbali hayatawagusa na mwishowe watakao 'umizwa na maamuzi' haya ni watoto wa masikini.Sasa hili la lu kulazimisha Sayansi nalo unajiuliza nchi ngapi duniani linatumika?

Je mtoto wa kitanzania akisoma Kenya au Uganda au kwingineko
ambako hakuna 'maamuzi ya aina hii' huyu mama atafanyaje? Hivi why 'tuna invest kwenye kuongeza kero na vizingiti' vya kila aina kwa watanzania? Kwani Tanzania ni kisiwa? Si masuala ya elimu yanapaswa kuwa 'Universally acceptable'? Sasa huyu mama ndo mifano wa maprofessa wetu?
Kwani ukisoma sayansi utakuwa un-ucceptable ng'ambo ama wapi? Cjakuelewa vzuri'apo unachokilaum Watoto kulazimishwa sayansi. Taja madhara tukuelewe na siyo kulalamika.
 
Mpaka hii miaka 5 ipite hakika tutakuwa tumeshuhudia mengi ya kushangaza
 
tukumbuke hii nchi ni ya kwetu sote je wadau wa elimu wameshieikishwa na je hili tamko limetolewa ufafanuzi likaonekana linatija au ndo kama wasemavyo hapa kazi tu haijalishi ufanisi
 
Back
Top Bottom