Wana Jf taarifa zilizonifikia sashivi ni kwamba JK amemuita Sita na kumwambia kuwa hali ya ukumbi umeina nitakupa DK kumi ujiteteee ukizitumia vizuri utapona ukishindwa kuzitumia sitazuia wazo la wewe kutakiwa kurudisha kadi ya ccm.

Taarifa zaidi ni kuwa babu sita wapambe wote wamemkimbia hakuna anesimama kumtetea na anaonekana mpweke amebaki na mama sita ambae inaaminika anatiiza wajibu wa mke kwa mumewe.
Hamis Mgeja Mwenyekiti wa CCM Shinyanga,.....
Aliyemuandalia mapokezi ya kufa mtu mzee wa vijisenti baada ya kujiuzulu uwaziri kufuatia kashfa ya vijisenti.
Ana kashfa ya kujitafunia vijisenti vya halmashauri ya wilya ya Kahama kiasi cha zaidi ya milioni 70 alipokuwa mwenyekiti wa halmashauri hiyo.
Haishangazi kwa yeye kumshambulia Sitta,(hata kama spika ana matatizo), kwa namna anavyoliongoza bunge, mafisadi na uzao wao lazima wachukie, wanune, na watafute mbinu za kupunguza mashambulizi.
Mara nyingi namna yetu ya kuangalia tatizo ndo tatizo lenyewe
spika sitta kama yatamfika hayo hakuna wa kumlaumu, amesahau kuwa usipomuuwa simba atakuua wewe ila tupo pamoja mzee wetu
- Duh! Wakuu naona inatia huruma kweli hapa, ngoja tutafute dataz za kweli sasa,
- So far wote wako kikaoni tutakuwa nazo na kama kawa tutaziweka hapa soon!
Respect.
Kamanda Field Marshall Es!
Natamani ningekuwa karibu na sitta na kumwambua -rudisha kadi yao maana unatekeleza kazi ya watu na si ya ccm kwani bunge si la ccm bali la wawakilishi wa wananchi.Wana Jf taarifa zilizonifikia sashivi ni kwamba JK amemuita Sita na kumwambia kuwa hali ya ukumbi umeina nitakupa DK kumi ujiteteee ukizitumia vizuri utapona ukishindwa kuzitumia sitazuia wazo la wewe kutakiwa kurudisha kadi ya ccm.
Taarifa zaidi ni kuwa babu sita wapambe wote wamemkimbia hakuna anesimama kumtetea na anaonekana mpweke amebaki na mama sita ambae inaaminika anatiiza wajibu wa mke kwa mumewe.