The_Analyst
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 246
- 88
Koswe ndo nani??KOSWE ye ni kusinzia tu
Koswe ndo nani??KOSWE ye ni kusinzia tu
Huyu jamaa Comedy sana.Koswe ndo nani??
Koswe ndo nani??
DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca
Hivi kweli kwa nini CCM haikusajiliwa kama chama sawa na vingine wakati mfumo wa vyama vingi uliporuhusiwa mwaka 1992? 🤔CCM kupona kwake ni kupigwa chini warudi kwenye drawing board wajifunze kuwa chama cha siasa maana kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali ni genge maslahi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Bila kuwatoa nje hawa madhalimu wataendelea kuwa chinjachinja na kuzidi kuiharibu nchi.
Babu Stephen Wasira AKA Tyson! 😂Koswe ndo nani??
Hapa mmeshindwa kuelewana wewe n Kalamu,Kalamu anamwongelea Balozi shujaa,wewe unamwongelea Mandela.Kwamba abaki NYAVU?
Duhm huyu akinya si anajaza lile sinki kabisaNa lile tumbo kama pakacha la embe hapo ni mwendo wa kutoa ushuzi wa kisailensaView attachment 3640341
Next month Sept 2026 au?DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca
Ame set mambo yapi Mkuu?Jamaa ka set standard za upinzani upya nchini !!
Aiseee kumbe ni account yake hiyo?Watch 100 Naona umekomentii haha am joking
Hivi huyo Di pii pii akionyesha kutokutaka kuendelea na kesi, na amewekwa ndani zaidi ya mwaka, je sheria za nchi yetu zinaruhusu kufungua kesi za madai kwa Jamuhuri?DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca
Kikongwe aliyebakia chini ya M/Kiti Taifa.Koswe ndo nani??
Kuridhiana na Hangaya haiwezekani"Hila" ni tamaduni na desturi za Samia na Genge lake.
"Ukweli, uwajibikaji" usitarajie hata mara moja kuyaona hayo iwapo hayo maridhiano yatakuwa chini ya usimamizi wa kundi hilo.
Tukubali kujenga taifa letu, titavutaja mpaka lini? Tusianzishe tena sokomoko kama kutakuwa na assurance ya Katiba mpya kuanza mwaka huuMaandamano yakupinga maridhiano na kutaka katiba mpya kwanza
Usikute ananyea humo humo tumboni mwakeDuhm huyu akinya si anajaza lile sinki kabisa
Huyu DII PII PII hiki cheo ni maalumu kwa ajili upinzani tuu! Naomba kesi ya DI PI PI ambayo haina sura ya kinyanyasaji dhidi ya upinzani ya huyu mshenziDI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca