Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 70,938
- 126,444
Watajikita kwenye risasi za wasiojulikana.Na Nina uhakika baada ya kesi hii jamhuri hawatathubutu kumshtaki tena.
Watajikita kwenye risasi za wasiojulikana.Na Nina uhakika baada ya kesi hii jamhuri hawatathubutu kumshtaki tena.
Kabisa mkuu. Kwanini wamtese mtu muda wote huo Kwa kesi ya mchongo Kisha waje kumuachia!? Wakubali tu wameshindwaHapo ndio tutaanza maandamano yasiyo na ukomo nchi nzima
HakikaJamaa ka set standard za upinzani upya nchini !!
😂 Wabongo bhana 😂Hapo ndio tutaanza maandamano yasiyo na ukomo nchi nzima
Hakika Mungu anatenda hata pasipo na njia anaweka mkeka wa lami ya biwango vyajuu zaidi.DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca
chimpanzee, hahahahaBalozi asibezwe Nina taarifa fulan, kwenye mahojiano na kamati fulan ya maadili kuna mambo kawakazia macho! Yule KOSWE akajing’ata
Hahaha KOSWE wa kule mpakani kwa wanaopigana Kila siku?Balozi asibezwe Nina taarifa fulan, kwenye mahojiano na kamati fulan ya maadili kuna mambo kawakazia macho! Yule KOSWE akajing’ata
Next month ni kesho tu na kuna ule mchezo wa kuachiwa na kukamatwa tena, hapa pamekaaje?DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca
KOSWE?Balozi asibezwe Nina taarifa fulan, kwenye mahojiano na kamati fulan ya maadili kuna mambo kawakazia macho! Yule KOSWE akajing’ata
Ameshalitolea maamuzi alimeza priton... 😄Hapa anatafakariView attachment 3640339
Akitoka Lissu sio mwenzetu tena, sio kwamba ataasi la hasha!Kabisa mkuu. Kwanini wamtese mtu muda wote huo Kwa kesi ya mchongo Kisha waje kumuachia!? Wakubali tu wameshindwa
Na wamlipe Lissu fidia na tunataka katiba mpya tuondoe huu ujinga kwenye nchi yetu
Ngwathra mtu wangu inakuwaje pande za huko?Kwa aibu! Akaombe tuition ya sheria kwa simba sasa, elimu haina mwisho na ujinga sio ulemavu kiroho safi tu
Clean and pureJamaa ka set standard za upinzani upya nchini !!
Hatoki mpaka ahukumiwe kunyongwa hadi kufa! Nyambafu zake!DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca
Ngwathra mtu wangu inakuwaje pande za huko?