Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,119
- 8,351
Hawa wapumbavu washachezea kodi zetu na ma-padiem na ekstra duty
Huuureeeee💥💣DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca
Hiyo ya siku 90 hatuna bajeti4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU
Na Nina uhakika baada ya kesi hii jamhuri hawatathubutu kumshtaki tena.Jamaa ka set standard za upinzani upya nchini !!
Kuwatoa ccm zinahitajika strategic plans za maana zenye akili na watu wenye akili kuzitekeleza.CCM kupona kwake ni kupigwa chini warudi kwenye drawing board wajifunze kuwa chama cha siasa maana kwa sasa siyo tena chama cha siasa bali ni genge maslahi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala. Bila kuwatoa nje hawa madhalimu wataendelea kuwa chinjachinja na kuzidi kuiharibu nchi.
Hata machafuko ya OKTOBA,29..kwake yalitokea Usiku ..tena kidooooooogo....!!KOSWE ye ni kusinzia tu
nyumbani kwao huko Mara hawataki hata kumsikia. Hata kaburi lake watalipiga maweKoswe ni mtu hatari hajielewi kabisa
zimebaki siku ngapi mkuu4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU
Wapi nimesema CCM itaondoka kwa kauli za mitandaoni?Kuwatoa ccm zinahitajika strategic plans za maana zenye akili na watu wenye akili kuzitekeleza.
Hivi vi bitter comments vya mitandaoni haviwezi kuwaondoa Ccm
Sometimes ni vzr kupambana ukiwa kwenye mifumo ya adui ili kurahisisha mapambano. Ndio maana wanasema ukiwa na uadui na mkeo ni hatari zaidi kuliko ukiwa na uadui na jirani yako jambazi.Balozi angekuwa na nia njema, asingekubali kuingia Ofisini baada ya mauaji ya maelfu ya wananchi October 29. Sasa amekaa akafikiria aje na mbinu gani ya kushinda rally ya 2030, akaja na propaganda za kuwawin Gen-Z
Haya mambo hayataki hila. Lazima ukweli, uwajibikaji then maridhiano yafanyike. Kinyume chake kila njia za hila ku solve itazaa matatizo mengine makubwa zaidi. Tunahairisha matatizo na kusuka mengine! Italeta matatizo mengi
Cdm wasikubali maridhiano ya hadaa, maridhiano ni lazima yawe na uwajibikaji."Hila" ni tamaduni na desturi za Samia na Genge lake.
"Ukweli, uwajibikaji" usitarajie hata mara moja kuyaona hayo iwapo hayo maridhiano yatakuwa chini ya usimamizi wa kundi hilo.
Hatupoi Hatuboi TunawachapaaaaaDI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato
Jamaa anakuwa nje next month
Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana
Britanicca