Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

Umerudisha muamala??? Haahahhahahahahahahaha aseee nyinyi watu mnatia aibu kwahiyo umeona atafaiiiidi hiiiii....na huyo Dada nae kazubaa sana....Mimi pesa ikiingia tu kwenye akaunti yangu Fulani cha kwanza ni kuihamishia akaunti nyingine ikiwezekana nyingine sababu najua kuna hawa wanaopenda kurudisha miamala
 
*Hujiamini
*Tangu lini penzi likanunuliwa na kuwa penzi la dhati?
*Kuwa na msimamo kuwa hata usipompatia pesa bado atakuwa wako tu akiamua kutulia.
 
Mkuu safi sana huo ndo uanaume sasa.
Yani kama mwanamke hakupendi hata umnunulie Range rover hawezi appreciate mkuu .
Huyo achana nae tu hayo mambo yakuekana friend Zone achana nayo .
 
Wadada wote hapa watalaumu kitendo ch kurudisha muamala... ila mimi nimekuelewa mkuu. Wakati anataka hela alikuwa mpole na mnyenyekevu, full kujibebisha mzee ukaingia laini ukatuma pesa. Baada ya kuona muamala na uhakika alisema jinga hili mi nilipeleke wapi na msonyo juu! Akaanza kuku kwepa na msg fupi fupi

Hiyo ndo tabia ya wadada wengi siku hz. Hakupendi ila anataka kukulia hela zako. Akishakukubali ataanza na kuomba hela aone kama utatoa au vp na ukishatoa anajenga tabia ya kuomba mara kwa mara na k utazungushwa wee mpaka uisome namba..

Kwa kifupi tu huyo dada hajakupenda.
 
Hii chai kweupe muamala umerudisha? Usiku uleule? Hem kwenda zako kule shabash!
 
Nakushauri kwenye ile muamala ongeza chochote kitu kama 50 au hata 100 afu tuma tena huku ukim apologize kwamba umeona kiasi ulichomtumia hakutakidhi mahitaji yake mwisho ukimwambia nakupenda Sana have a nice ista.
 
Unataka kumpoteza mwana, hamna kutuma hela tena! Demu kashaona picha kali anajifanya hatokagi kabisa ila hela anapokea hahah!

Yani demu kama hajakuelewa bana huwa wana namna za kipekee za kukukata wenge. Kuna manzi huyo anapiga kazi next to our office. Ni manka ya Marangu smart inajipenda sana na body imenyooka inshort nimeielewa sana ila kimsingi naona hajanielewa.

Basi unaambiwa kila nikiomba appointment nae hakosi sababu yani inshort ananikwepa ila offer zangu anapokea. Sio Jmosi sio Jpili utaskia mie sio mtu wa kutoka toka so ntakudanganya tu. Mda wa kutoka kazini pia anazingua, anadai huwa ye anachelewa kuondoka ili hali ya usafiri iwe ishatulia maybe saa2 kasoro usiku. Siku ambayo atawahi kutoka unaskia ntakuwa na wajomba zangu. Truth is a bitter pill to swallow!
Aise na wewe mkuu ukawa unakomaa tu????
 
Wadada wote hapa watalaumu kitendo ch kurudisha muamala... ila mimi nimekuelewa mkuu. Wakati anataka hela alikuwa mpole na mnyenyekevu, full kujibebisha mzee ukaingia laini ukatuma pesa. Baada ya kuona muamala na uhakika alisema jinga hili mi nilipeleke wapi na msonyo juu! Akaanza kuku kwepa na msg fupi fupi

Hiyo ndo tabia ya wadada wengi siku hz. Hakupendi ila anataka kukulia hela zako. Akishakukubali ataanza na kuomba hela aone kama utatoa au vp na ukishatoa anajenga tabia ya kuomba mara kwa mara na k utazungushwa wee mpaka uisome namba..

Kwa kifupi tu huyo dada hajakupenda.
Hahahaahahahahahahahaha kwa hiyo Leo unasaliti kambi sio?
 
Unataka kumpoteza mwana, hamna kutuma hela tena! Demu kashaona picha kali anajifanya hatokagi kabisa ila hela anapokea hahah!

Yani demu kama hajakuelewa bana huwa wana namna za kipekee za kukukata wenge. Kuna manzi huyo anapiga kazi next to our office. Ni manka ya Marangu smart inajipenda sana na body imenyooka inshort nimeielewa sana ila kimsingi naona hajanielewa.

Basi unaambiwa kila nikiomba appointment nae hakosi sababu yani inshort ananikwepa ila offer zangu anapokea. Sio Jmosi sio Jpili utaskia mie sio mtu wa kutoka toka so ntakudanganya tu. Mda wa kutoka kazini pia anazingua, anadai huwa ye anachelewa kuondoka ili hali ya usafiri iwe ishatulia maybe saa2 kasoro usiku. Siku ambayo atawahi kutoka unaskia ntakuwa na wajomba zangu. Truth is a bitter pill to swallow!
Hahahahahahahhaahah pole sana
 
Back
Top Bottom