Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

Hongera sana kwa kuokoa pesa yako,Ungeweza kumtumia hata mama yako mzazi ukajiongezea baraka kuliko kuhonga mwanamke ambaye hajui thamani yako.

Acha kupenda wanawake matapeli, tambua kuwa mwanamke unayempenda ana mwanaume wake na huenda mnachat kwakua kuna vitu haviendi sawa na mwanaume wake na huenda anampenda huyo aliyenaye kuliko wewe unayejipendekeza kwake.

Anaongea nawewe kama kukuhifadhi ili endapo kamba itakatika kwa mwanaume anayemtegemea ndipo aje kwako, mara nyingi wanawake kama hawa huweza kuwalia wanaume wa pembeni kisha kuwaacha kwenye mataa.

Hata umpe nini huwezi kusikia anakushuru badala yake atajifanya yupo busy na hata ukijifanya kuumia kwa anayokufanyia wala hawezi kushtuka,sana sana atakupa vikwazo ambavyo wew kwa kutokujua unaweza dhania anaongea vizuri kumbe ni mbinu za kukuzuia usihisi vibaya ili aendelee kukuweka kama mchepiko wa akiba

Achana naye huyo atakutesa bure sio mama yako mzazi ndio maana umerudisha muamala hajakutafuta kwakua anajua sio future yake na anahisi umechukizwa na majibu yake ya kijinga aliyokupa wakati umeshamtumia pesa.

Ungemuachia pesa hiyo pamoja na majibu aliyokupa angekudharau sana. Umeamua maamuzi sahihi, siku akipigwa chini au akifarakana na mtu wake atakufuata kwa lugha tamu ila mambo yake yakirudi vizuri atakutesa upya hivyo kuwa makini naye sana.


Muache aende zake
Swadakta
 
Ko umebetti muhamala ukapotea hella zikarudi, unataka kubetti tena angali umejua kabisa mechi zimekaa vibaya
Anyways, ni ngum mwanamke kukutana na mwanaume asiyempenda, ila kama anakupenda, aahhh!!! Ata chooni atakuita
%
True
Sincire grls just confirm it
 
Pole sana kijana labda nikuambie tu tumetofautiana sana mimi binafsi demu hawezi kula pesa yangu kama sijamtia kimyani sasa wewe umempa mpunga mwisho wa siku umeambulia maumivu jipange tena mzee bado una nafasi
Amani iwe kwenu wana wa MMU.

Katika pita pita na pilika za maisha nikapata kumjua mrembo moja matata jirani na kibarua changu.

Nikapewa namba na outing moja sehemu nzuri, sijui niliikosea hiyo date, maana tangu hapo amekuwa anaruka ruka kukutana tena.

Kosa langu kubwa nilishatongoza kwenye sms na kadhalika.

Akiwa na shida ndogo hivi tunasaidiana, mara ananikopa na cha ajabu analipa tofauti na wengine, basi nikatia nia kuwa endapo atanielewa basi huyo ndo mtarajiwa.

Nini Kimenileta kwenu? Juzi tumechat chat saana, tukafikia hatua tunachagua style za nywele ili apendeze sikukuu, siku hiyo karibu kila txt aliyokuwa ananitumia ilikuwa na neno 'dia' , jana nikatuma pesa za kumtosha saloon na vitu vidogo vidogo, cha ajabu baada tu kutuma pesa, chatting haikuwa ya kiviiile, zaidi nikajikuta nimeomba appointment j2, akasema sikukuu huwa hatoki, nikaomba basi hata jmoc au j3, akasema kwa ujumla hapendi kutoka. na alishaniambia sema najisahaulisha.

Nilichokifanya.
Nilirudisha ule muamala usiku ule ule, na baada ya hapo hajanitxt wala me sijamtxt.

Tatizo liko wapi?
Bado namtaka huyu binti kwa kweli, sasa najihisi nshavuruga, ingawa naye tabia yake ndo imesababisha. karoho kaniniuma, nifenyejeee???
 
Kwanza nakupongeza kwa Hatua uliyochukua maana huyo Demu hakupendi mzeee 100%...!! Pili hata akaigiza kukupenda utaishia kuuumia tu kwenye huo uhusiano... Piga chini tafuta demu mwingne huyo ashajua kuwa unampenda so lazima akuletee hizo chenga ndo akili za wanawake zilivyoo..
 
Before alikuwa ana respond Fresh, Baada ya muamala kuthibitishwa akaanza madharau..hi ndio nimeelewa

POINT: Ulichofanya ni sahihi kabisa kwakuwa hakuna lolote ungepata toka kwake ungekosa papuchi, kumuona, kupiga nae stori na ulifanya muamala ili apendeze then mtoke nae OUT, sasa aliposema huwezi kamwe kutoka nae, hakuna tena umuhimu wa hela yako kwasabu ulituma sio aendee hospital, ilikuwa ni apendeze kwa ajili ya sikukuu.

kama vipi kausha tu endelea kufanya vitu vya msingi, na kama una hela za madafu jitahidi USIHONGE kama huna uhakika wa kupata unachotaka(usi Bet hela ya kula)
take it OR Leave it
 
As the man you need to glow some balls, it is clear that women manipulate guys these days , what surprise me is the tendence of guys to fall in the victim category , as for women they are able to take your money and runaway but you guys dont feel doing the same , you continue with the act of loosing money hoping that some miraculous day she will come to her sense and attend your needs this is ultimate bullshit glow some balls dude , once a woman friendzone you the only thing you can do is take your things and leave or continue to play a victim forever.
NB: That word "glow" was supposed to sound "grow". Other than that you made a wonderful reply. I would recommend the same.
 
Ulikosea sana mkuu kurudisha muamala cha kukushauri mtumie hela nyingine
Unataka kumpoteza mwana, hamna kutuma hela tena! Demu kashaona picha kali anajifanya hatokagi kabisa ila hela anapokea hahah!

Yani demu kama hajakuelewa bana huwa wana namna za kipekee za kukukata wenge. Kuna manzi huyo anapiga kazi next to our office. Ni manka ya Marangu smart inajipenda sana na body imenyooka inshort nimeielewa sana ila kimsingi naona hajanielewa.

Basi unaambiwa kila nikiomba appointment nae hakosi sababu yani inshort ananikwepa ila offer zangu anapokea. Sio Jmosi sio Jpili utaskia mie sio mtu wa kutoka toka so ntakudanganya tu. Mda wa kutoka kazini pia anazingua, anadai huwa ye anachelewa kuondoka ili hali ya usafiri iwe ishatulia maybe saa2 kasoro usiku. Siku ambayo atawahi kutoka unaskia ntakuwa na wajomba zangu.😂😂😂 Truth is a bitter pill to swallow!
 
pole uko selfish na umejionyesha character yako mapema,lol, uwezekano wa kumpata tena ni mdogo mkuu..tafuta mwingine...utapata tuu..usiogope.
Ila mwanamke sio selfish hapo? You guys should also learn to ignore the offers as well. Theres no free lunch in Africa!
We ushaona mtu ana interest na wewe na unaona hujamkolea basi kataa na offer
 
Haraka haraka haina mbaraka. Ulivyotuma pesa hukupaswa uonyeshe kama unanjaa ya kugegeda ungemute kimya. Baada ya kusuka angekutumia picha ya alivyosuka na ungemsifia kwa sifa zetu wakwale tunavyojua kupaka poda hadi mtoto ajue yes the guy is a real husband.

Mwambie muamala ulirudishwa baada ya kuona jina la mpokeaji sio lile ulijualo hivyo unatuma tena.


Kuomba msamaha ni jadi yetu kama sehemu hiyo bado hujavuna.
 
Back
Top Bottom