Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,748
Dawa ya mtu kama huyo ni kumwagia mtama aje nyumbani hata kwa bahati mbaya akiingia ndani tu kaisha.Yaani hapo ndiyo wanaponishangazaga. Ofa hawakatai na huku mtu hawamtaki.
Dawa ya mtu kama huyo ni kumwagia mtama aje nyumbani hata kwa bahati mbaya akiingia ndani tu kaisha.Yaani hapo ndiyo wanaponishangazaga. Ofa hawakatai na huku mtu hawamtaki.
Kabisaa!! Na unampiga rungu la kufa mtu hadi ashindwe kutembea.Dawa ya mtu kama huyo ni kumwagia mtama aje nyumbani hata kwa bahati mbaya akiingia ndani tu kaisha.
Eeh unahakikisha miguu inatetemekaKabisaa!! Na unampiga rungu la kufa mtu hadi ashindwe kutembea.
Hizi ndo huwa naziita biashara kichaa.Hata mimi nilishawahi kufanya hivyo mkuu, ila hiyo ilikua nauli nimemtumia. Baada ya kumtumia akaanza sababu zisizoeleweka ili asije. Nilichofanya nikawapigia huduma kwa wateja wanirejeshee muamala nimeukosea.Amani iwe kwenu wana wa MMU.
Katika pita pita na pilika za maisha nikapata kumjua mrembo moja matata jirani na kibarua changu.
Nikapewa namba na outing moja sehemu nzuri, sijui niliikosea hiyo date, maana tangu hapo amekuwa anaruka ruka kukutana tena.
Kosa langu kubwa nilishatongoza kwenye sms na kadhalika.
Akiwa na shida ndogo hivi tunasaidiana, mara ananikopa na cha ajabu analipa tofauti na wengine, basi nikatia nia kuwa endapo atanielewa basi huyo ndo mtarajiwa.
Nini Kimenileta kwenu? Juzi tumechat chat saana, tukafikia hatua tunachagua style za nywele ili apendeze sikukuu, siku hiyo karibu kila txt aliyokuwa ananitumia ilikuwa na neno 'dia' , jana nikatuma pesa za kumtosha saloon na vitu vidogo vidogo, cha ajabu baada tu kutuma pesa, chatting haikuwa ya kiviiile, zaidi nikajikuta nimeomba appointment j2, akasema sikukuu huwa hatoki, nikaomba basi hata jmoc au j3, akasema kwa ujumla hapendi kutoka. na alishaniambia sema najisahaulisha.
Nilichokifanya.
Nilirudisha ule muamala usiku ule ule, na baada ya hapo hajanitxt wala me sijamtxt.
Tatizo liko wapi?
Bado namtaka huyu binti kwa kweli, sasa najihisi nshavuruga, ingawa naye tabia yake ndo imesababisha. karoho kaniniuma, nifenyejeee???
Uswahili tu ilikuwaje ukarudisha muamala sababu kakukatalia kutoka?
Haya sasa pambana na hali yako mkaka ndio umeshaachwa.
Yaani umefanya maamuzi sahihi kabisa, huo ndo uanaume manake picha halisi ya huyo binti ulishaona sema wanaume tunakuaga wabishi tu.....usimpe hiyo hela.....bora umtumia mama ako tu.........Amani iwe kwenu wana wa MMU.
Katika pita pita na pilika za maisha nikapata kumjua mrembo moja matata jirani na kibarua changu.
Nikapewa namba na outing moja sehemu nzuri, sijui niliikosea hiyo date, maana tangu hapo amekuwa anaruka ruka kukutana tena.
Kosa langu kubwa nilishatongoza kwenye sms na kadhalika.
Akiwa na shida ndogo hivi tunasaidiana, mara ananikopa na cha ajabu analipa tofauti na wengine, basi nikatia nia kuwa endapo atanielewa basi huyo ndo mtarajiwa.
Nini Kimenileta kwenu? Juzi tumechat chat saana, tukafikia hatua tunachagua style za nywele ili apendeze sikukuu, siku hiyo karibu kila txt aliyokuwa ananitumia ilikuwa na neno 'dia' , jana nikatuma pesa za kumtosha saloon na vitu vidogo vidogo, cha ajabu baada tu kutuma pesa, chatting haikuwa ya kiviiile, zaidi nikajikuta nimeomba appointment j2, akasema sikukuu huwa hatoki, nikaomba basi hata jmoc au j3, akasema kwa ujumla hapendi kutoka. na alishaniambia sema najisahaulisha.
Nilichokifanya.
Nilirudisha ule muamala usiku ule ule, na baada ya hapo hajanitxt wala me sijamtxt.
Tatizo liko wapi?
Bado namtaka huyu binti kwa kweli, sasa najihisi nshavuruga, ingawa naye tabia yake ndo imesababisha. karoho kaniniuma, nifenyejeee???
Mkuu nipe numbet mimi nimpange.umemiss point, hata mm dia sijamaanisha ndo amenipenda, ila alikuwa analitumia mno kabla, badaye akawa mno harsh
You nailed it.Ko umebetti muhamala ukapotea hella zikarudi, unataka kubetti tena angali umejua kabisa mechi zimekaa vibaya
Anyways, ni ngum mwanamke kukutana na mwanaume asiyempenda, ila kama anakupenda, aahhh!!! Ata chooni atakuita

Yaaas!
Kumbe pa kuanzia kupo,tena pazuri tu
Lawama zote tupa kwa wakala...ila mkuu ulitisha asee!kwahiyo ulirudi hadi kwa wakala ukarudisha hela yako?
Kwani humpendi tena?You're the hero aisee.....,
Kosa lake, hakunitafuta wala hakutuma txt yoyote hadi nilivyocoment status yake whatsap. Hapo ndo akanianzishia, ooh me wa ajabu sana, alikuwa hata hana shida sana na hiyo hela nimejihangaisha bure, muda wooote huo me nashangaa tu kama sielewi nini kimetokea.
Nilimwashia moto hajaamini, kwann hakuniuliza mimi? wakati mimi nayy huwa tunaongea kwa simu, tunachat kwa sms na whatsap? njia zote hizi asiulize kwann? nikaahidi nitaenda kumwuliza Wakala asbh nijue ukweli ukoje, ingawa yeye sikumpa relief nilimwacha hivo hivo nami nikiwa nimejifanya nimemind saaaana.
Asbh nikamwambia wakala anadai alirudisha ile hela jion ile ile, kwan jina lililotokea lilikuwa siyo nililompa (nilidai nilimwandikia namba nikaacha hela, namba yake amesajili kwa jina la mtu mwingine, nikajidai mi niliaandika jina lake kamili).
Hapo lawama nyingi zikawa kwake, kwann asiulize, na kama alikuwa hana shida nayo kwann aombe, au majaribu? Na Je, inamaanisha nisingemtafuta mimi pesa ingepotea hivi hivi, lawama kidogo kwa wakala kwani ana namba yangu ila amerudisha muamala wangu bila kunijulisha.....
Basi akabaki anaomba msamaha maskini...., nikaona katika kuchat chat kama anataka kama vile nimtumie upya, nikajifanya sielewi na asbh ile niko busy busy.
Pesa yangu imebaki, na kenyewe kamekuwa kapooole. ila bado kuna kale kakitu ka kujishtukia moyoni hivi, so sahv chat siyo kiviiiile.
Nami nitatembelea upepo huu huu inawezekana nipotelee kusikojulikana. Maana sahv hata silalamiki sana moyoni kwani nami nna dhambi zangu.
![]()
Nampenda sana tu, sema naona nianze kujizoesha kutozama sana maana hakana staha haka.Kwani humpendi tena?
Mie nikajua baada ya yeye kuonesha kama amekosea na wewe utaonesha kama uko sorry...ama ndio kama kawaida yenu wanaume hamtaki kujiomesha mmekosea?
Hongera kwa mbinu yetu kutick![]()
OkayNampenda sana tu, sema naona nianze kujizoesha kutozama sana maana hakana staha haka.
Okay
Nakutakia heri mkuu