Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

Niliwahi mchana mjinga mmoja..
Nataka onana naye, akasema sijasuka nitumie hela, nikatuma.. Tumeonana mara nataka hiki mara kile.. Narusha ndoano ooh mimi nina mtu.

Zimepita siku mbili anaomba tena hela, nikamwambia kwanini usimuombe huyo mtu wako, akajibu yaishe...
Nikakazia " yaani wewe mimi hunitaki ila hela zangu unazitaka".. Yule mtoto alinichunia mazima..
Baada ya mwezi nikamtafuta, akasema haji kunisahau kwa majibu niliyompa.
Ndo wadada wengi walivyo sasa hv. Ukiona umetongoza dada baada ya siku mbili anaomba hela, mkimbie
 
Huyu kafeli hapo anarudishaje mwamala wakati bado anampenda huyo mtu yaani hapo ameharibu kabisaaaaaa bora angeiaminisha akili yake kwamba amebet na mkeka umechanika pesa imeliwa na muhindi angeendelea na harakati za kumnyenga binti taratibu angemwelewa tu sasa yeye na mihasira yake kafanya maajabu hampati tena huyo
Sipati picha sura ya huyo dada baada ya muamala kurudishwa alijua kashinda biko
 
Mimi niko tofauti sana. Napenda zakwangu nilizotolea jasho. Mambo ya kuomba omba kama matonya hapana. Kama mwanaume ananipenda ajue wajibu wake na sio niombe ombe.
Yeah we kumbe tunafananaga in short kuomba pesa ni aibu basi tu binadamu tumeumbwa tofauti
 
Niliwahi mchana mjinga mmoja..
Nataka onana naye, akasema sijasuka nitumie hela, nikatuma.. Tumeonana mara nataka hiki mara kile.. Narusha ndoano ooh mimi nina mtu.
Zimepita siku mbili anaomba tena hela, nikamwambia kwanini usimuombe huyo mtu wako, akajibu yaishe...
Nikakazia " yaani wewe mimi hunitaki ila hela zangu unazitaka".. Yule mtoto alinichunia mazima..
Baada ya mwezi nikamtafuta, akasema haji kunisahau kwa majibu niliyompa.
Mtoto shwaini kweli huyo, mie manka alikula lunch na ice cream sana le grand pale. Kila nikimuweka sawa naona anaruka vihunzi nikajisemea moyoni.."sina mtoto mwenye mavuzi mimi!" ikawa mwisho wa kujihangaisha nae tena.
 
Mtoto shwaini kweli huyo, mie manka alikula lunch na ice cream sana le grand pale. Kila nikimuweka sawa naona anaruka vihunzi nikajisemea moyoni.."sina mtoto mwenye mavuzi mimi!" ikawa mwisho wa kujihangaisha nae tena.
 
Yeah we kumbe tunafananaga in short kuomba pesa ni aibu basi tu binadamu tumeumbwa tofauti
Alafu hamjui tu, unapotangaza shida mwanzoni mwanaume anakudharau, anakushusha thamani kabisa yaani.

Kama mwanamke jiamini. Keep ur standards, upgrade urself, dont be so cheap.
 
Ukiona mwanamke anakuzungusha kuonana nae ujue huyo hakupendi.

Mwanamke anayekupenda atafanya namna yoyote muonane hata akiwa busy atatafuta muda wake wa ziada kukuona.
 
Fanya mazoez ya kutongoza bado sana wq jamaa, kibaya zaid unatongoza kwa kutumia pesa tena zinakuuma mwenyewe.
Piga sound za maneno acha kutumia pesa utaliwa mpaka pumbu hizo?
Mke wa kumuoa hizo haraka zote zimetoka wapi?
 
We ni mj*nga, ni mshamba, huna akili na bado una mambo ya kitoto sana
 
Alafu hamjui tu, unapotangaza shida mwanzoni mwanaume anakudharau, anakushusha thamani kabisa yaani.

Kama mwanamke jiamini. Keep ur standards, upgrade urself, dont be so cheap.
 
Umevamia ligi isiyo yako alafu ukaleta na uswahili.
Jibebe.
 
Fanya mazoez ya kutongoza bado sana wq jamaa, kibaya zaid unatongoza kwa kutumia pesa tena zinakuuma mwenyewe.
Piga sound za maneno acha kutumia pesa utaliwa mpaka pumbu hizo?
Mke wa kumuoa hizo haraka zote zimetoka wapi?
Ha ha ha taratibu mkuu...
Ila umeongea ukweli!
 
Back
Top Bottom