Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

Thanks Man, at least I got one support, I thought how tough it took to earn that amount, how many gaps left unattended but opted to make her happy and nourish her look, Lately m getting ultimatum not to expect her face forever.., Noo that return doesn't deserve me.
As the man you need to glow some balls, it is clear that women manipulate guys these days , what surprise me is the tendence of guys to fall in the victim category , as for women they are able to take your money and runaway but you guys dont feel doing the same , you continue with the act of loosing money hoping that some miraculous day she will come to her sense and attend your needs this is ultimate bullshit glow some balls dude , once a woman friendzone you the only thing you can do is take your things and leave or continue to play a victim forever.
 
yaani acha kabisa ndugu, hasira za haraka ndo tatizo. nipe mbinu ya kujenga upya

Naona umtext hata sasa hivi ama mpigie...hapa inabidi uzuge labda sababu ya kurudisha muamala ni kwamba ulipata dharula usiku ule ukawa unahitaji hiyo pesa haraka

Fanya uwezavyo aelewe hii point ya kurudisha muamala mana ndio tatizo kubwa lilipo
 
ni kweli master, tatizo langu nakuwa na nguvu kama sijampenda kiviiile, aisee nikipenda lazima nizinguliwe coz naendaga desperately
Kua mwanaume wewe. Mademu managongeka kirahisi sana. Usionyeshe kama unashida yae sana.
 
Mpigie simu mkuu, muongee myamalize!
Halafu mtu akikuita dia sio kwamba tayari kakupenda jamani...

Kitendo ulichofanya sio kizuri sana ila naamini mkiongea mtaelewana tuu! Suala la kutoka ni kukubalina tuu mradi asichelewe kurudi kwake!
 
Hahahahah huyu ana akili kama za kwangu maana hela ndo nimechanjiwa msukuma wa simiyu hapa
 
Mkuu tunahonga kwa sababu wenzetu wameumbwa kututegemea, Tatizo hawaheshimu.

Btw, sioni aibu kuniona kapuku, wala sijisikii vby akiniona hivo
Mkuu hio sio ridhiki!

Alafu kwa nn mna hela za mawazo alafu mnahonga ? Kitendo Cha kurudisha muamala alikuona lofa na kapuku ! Ova
 
hapo tulia kwanza kama siku zipite then mpigie mwambie alichofanya sio kizuri na kwamba ulikasirika ndio maana ukachukua uamuzi huu then unamwambia but i think ilikua sio vizuri ni hasira tu lakini usitume tena pesa , hapa hata yeye atajifunza kwamba wewe sio mwanaume wa mchezo mchezo vinginevyo utaingia mtegoni
 
au nimsingizie wakala, mana nilituma kwa wakala.
Naona umtext hata sasa hivi ama mpigie...hapa inabidi uzuge labda sababu ya kurudisha muamala ni kwamba ulipata dharula usiku ule ukawa unahitaji hiyo pesa haraka

Fanya uwezavyo aelewe hii point ya kurudisha muamala mana ndio tatizo kubwa lilipo
 
Bro wewe mpare wa hedaru nini, mimi na ubahili wangu sijawah kurudsha pesa hata nikigundua kachange baada ya ku2ma hela sitakag shda napita iivii

Write your reply...
 
umemiss point, hata mm dia sijamaanisha ndo amenipenda, ila alikuwa analitumia mno kabla, badaye akawa mno harsh
Mpigie simu mkuu, muongee myamalize!
Halafu mtu akikuita dia sio kwamba tayari kakupenda jamani...

Kitendo ulichofanya sio kizuri sana ila naamini mkiongea mtaelewana tuu! Suala la kutoka ni kukubalina tuu mradi asichelewe kurudi kwake!
 
Amani iwe kwenu wana wa MMU.

Katika pita pita na pilika za maisha nikapata kumjua mrembo moja matata jirani na kibarua changu.

Nikapewa namba na outing moja sehemu nzuri, sijui niliikosea hiyo date, maana tangu hapo amekuwa anaruka ruka kukutana tena.

Kosa langu kubwa nilishatongoza kwenye sms na kadhalika.

Akiwa na shida ndogo hivi tunasaidiana, mara ananikopa na cha ajabu analipa tofauti na wengine, basi nikatia nia kuwa endapo atanielewa basi huyo ndo mtarajiwa.

Nini Kimenileta kwenu? Juzi tumechat chat saana, tukafikia hatua tunachagua style za nywele ili apendeze sikukuu, siku hiyo karibu kila txt aliyokuwa ananitumia ilikuwa na neno 'dia' , jana nikatuma pesa za kumtosha saloon na vitu vidogo vidogo, cha ajabu baada tu kutuma pesa, chatting haikuwa ya kiviiile, zaidi nikajikuta nimeomba appointment j2, akasema sikukuu huwa hatoki, nikaomba basi hata jmoc au j3, akasema kwa ujumla hapendi kutoka. na alishaniambia sema najisahaulisha.

Nilichokifanya.
Nilirudisha ule muamala usiku ule ule, na baada ya hapo hajanitxt wala me sijamtxt.

Tatizo liko wapi?
Bado namtaka huyu binti kwa kweli, sasa najihisi nshavuruga, ingawa naye tabia yake ndo imesababisha. karoho kaniniuma, nifenyejeee???


usione sooo mkuu, chukua maamuzi ya kihehe, jiue tu.
 
Back
Top Bottom