Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

Maamuzi ya Kijinga Yananigharimu

umemiss point, hata mm dia sijamaanisha ndo amenipenda, ila alikuwa analitumia mno kabla, badaye akawa mno harsh
Ila hilo ndo lililokushawish ukatuma hela sio?!

Okay fanya tathmini kwenye moyo wako, kama unaona ulikuwa sahihi mwache, kama utaona hukufanya sawa rudi nyuma muongee!
 
Mkuu
Bro wewe mpare wa hedaru nini, mimi na ubahili wangu sijawah kurudsha pesa hata nikigundua kachange baada ya ku2ma hela sitakag shda napita iivii

Write your reply...
Hahaha, master inauma mno kumwezesha mtu afu anakudharau
 
Hahahahah naona hadi ww umeanza kuniogopa. Sikurudi kwa wakala, nlimpigia simu tu, tunafahamiana
Yaaas!
Kumbe pa kuanzia kupo,tena pazuri tu

Lawama zote tupa kwa wakala...ila mkuu ulitisha asee!kwahiyo ulirudi hadi kwa wakala ukarudisha hela yako?
 
Amani iwe kwenu wana wa MMU.

Katika pita pita na pilika za maisha nikapata kumjua mrembo moja matata jirani na kibarua changu.

Nikapewa namba na outing moja sehemu nzuri, sijui niliikosea hiyo date, maana tangu hapo amekuwa anaruka ruka kukutana tena.

Kosa langu kubwa nilishatongoza kwenye sms na kadhalika.

Akiwa na shida ndogo hivi tunasaidiana, mara ananikopa na cha ajabu analipa tofauti na wengine, basi nikatia nia kuwa endapo atanielewa basi huyo ndo mtarajiwa.

Nini Kimenileta kwenu? Juzi tumechat chat saana, tukafikia hatua tunachagua style za nywele ili apendeze sikukuu, siku hiyo karibu kila txt aliyokuwa ananitumia ilikuwa na neno 'dia' , jana nikatuma pesa za kumtosha saloon na vitu vidogo vidogo, cha ajabu baada tu kutuma pesa, chatting haikuwa ya kiviiile, zaidi nikajikuta nimeomba appointment j2, akasema sikukuu huwa hatoki, nikaomba basi hata jmoc au j3, akasema kwa ujumla hapendi kutoka. na alishaniambia sema najisahaulisha.

Nilichokifanya.
Nilirudisha ule muamala usiku ule ule, na baada ya hapo hajanitxt wala me sijamtxt.

Tatizo liko wapi?
Bado namtaka huyu binti kwa kweli, sasa najihisi nshavuruga, ingawa naye tabia yake ndo imesababisha. karoho kaniniuma, nifenyejeee???
Hongera sana kwa kuokoa pesa yako,Ungeweza kumtumia hata mama yako mzazi ukajiongezea baraka kuliko kuhonga mwanamke ambaye hajui thamani yako.

Acha kupenda wanawake matapeli, tambua kuwa mwanamke unayempenda ana mwanaume wake na huenda mnachat kwakua kuna vitu haviendi sawa na mwanaume wake na huenda anampenda huyo aliyenaye kuliko wewe unayejipendekeza kwake.

Anaongea nawewe kama kukuhifadhi ili endapo kamba itakatika kwa mwanaume anayemtegemea ndipo aje kwako, mara nyingi wanawake kama hawa huweza kuwalia wanaume wa pembeni kisha kuwaacha kwenye mataa.

Hata umpe nini huwezi kusikia anakushuru badala yake atajifanya yupo busy na hata ukijifanya kuumia kwa anayokufanyia wala hawezi kushtuka,sana sana atakupa vikwazo ambavyo wew kwa kutokujua unaweza dhania anaongea vizuri kumbe ni mbinu za kukuzuia usihisi vibaya ili aendelee kukuweka kama mchepiko wa akiba

Achana naye huyo atakutesa bure sio mama yako mzazi ndio maana umerudisha muamala hajakutafuta kwakua anajua sio future yake na anahisi umechukizwa na majibu yake ya kijinga aliyokupa wakati umeshamtumia pesa.

Ungemuachia pesa hiyo pamoja na majibu aliyokupa angekudharau sana. Umeamua maamuzi sahihi, siku akipigwa chini au akifarakana na mtu wake atakufuata kwa lugha tamu ila mambo yake yakirudi vizuri atakutesa upya hivyo kuwa makini naye sana.

Muache aende zake
 
Kurudisha muamara nahisi anaitafakari hiyo hali kwamba

Ulitaka kumtumia for commercial sex, and not otherwise
Hicho sio kipimo na kama ni hivyo mbona mwanamke alimpa masharti sana jamaa kwamba huwa hatoki jambo ambalo nijuavyo mimi ni uongo.

Mtu uliyekataa kutoka naye hata kumpa muda wa kuzungumza na wewe ndio mtu huyo huyo unakuja kumuomba akusaidie ? Ni mambo ya ajabu sana.

Kimsingi mwenye kosa ni mwanamke na kilichofanywa na mwanaume hapaswi kulaumiwa maana kafanya kwa kuzingatia hofu iliyojengeka kutokana na mwanamke kutokueleweka kwani shida yake ni kumtumia jamaa alafu amuache kijinga
 
au nimsingizie wakala, mana nilituma kwa wakala.
Anzia hapa mkuu, matumaini yanaweza kupatikana. Endelea kuchat nae na kuongea nae kama kawaida kwa kujifanya hujui nini kimefanyika.

Akikuuliza, inabidi ujifanye umepata mshangao mkubwa, na kwanini hajakwambia mapema. Mwambie Ngoja sasa hivi nimfuatilie huyu wakala na nitamripoti kwa maana mawakala wengine matapeli.

Next time ikitokea jambo kama hilo nijulishe mapema, mjini hapa matapeli ni wengi. Ila leo ama zake ama zangu huyu wakala lazima nimnyonye macho.

Lawama zote peleka kwa wakala tu na utapeli wake, anasababisha mgogoro na mupenzi.
 
Mkuu hio sio ridhiki!

Alafu kwa nn mna hela za mawazo alafu mnahonga ? Kitendo Cha kurudisha muamala alikuona lofa na kapuku ! Ova
Kuna kibinti kiliwahi kula elfu 56 yangu kikaja kubadilika, nilichofanya nilikaa kimya kwani nilijua hata nikikalaumu haitasaidia ila niliapa kutorudia lakini siku moja kakapata shida kakaona sehemu ya msaada wa haraka ni kwangu.

Kalikuja kakawa kepesi kwa kila kitu nachotaka kwake,nilifanikiwa kupita nako ila upendo ulikua ushanitoka na nilifanya tu ilimradi kutimiza azma yangu ya kitambo.

Baada ya kumfyatua nilimwambia aje achukue hela baadaye kwakua alikua na shida ya pesa hivyo nikajua anapenda pesa zangu na sio mimi. Aliziona pesa mezani nikamwambia hizo ni za biashara kwaiyo aje baadaye.

Alipoondoka nilimblock kabisa na alipotumia namba ngeni kunipigia nikajua niyeye nilimkatia simu.Alikua akijipitisha nyumbani nikawa nampotezea,alihangaika kutuma marafiki lakini sikuwajali kwasababu alishajiharibia tangu mwanzo.

Hayo mambo tunafanya lakini omba Mungu akuepushie majanga siku hizi magonjwa yasiotibika ni mengi. Kuna homa ya Ini na Ukimwi.

Yote hayana tiba kwaiyo fanya zinaa kwa tamaa ya uzuri wa kuona shape ya mwanamke bila kujua ndani kabeba nini. Utajuta
 
Hicho sio kipimo na kama ni hivyo mbona mwanamke alimpa masharti sana jamaa kwamba huwa hatoki jambo ambalo nijuavyo mimi ni uongo.

Mtu uliyekataa kutoka naye hata kumpa muda wa kuzungumza na wewe ndio mtu huyo huyo unakuja kumuomba akusaidie ? Ni mambo ya ajabu sana.

Kimsingi mwenye kosa ni mwanamke na kilichofanywa na mwanaume hapaswi kulaumiwa maana kafanya kwa kuzingatia hofu iliyojengeka kutokana na mwanamke kutokueleweka kwani shida yake ni kumtumia jamaa alafu amuache kijinga
asante, kwa ushauri mzuri
 
Amani iwe kwenu wana wa MMU.

Katika pita pita na pilika za maisha nikapata kumjua mrembo moja matata jirani na kibarua changu.

Nikapewa namba na outing moja sehemu nzuri, sijui niliikosea hiyo date, maana tangu hapo amekuwa anaruka ruka kukutana tena.

Kosa langu kubwa nilishatongoza kwenye sms na kadhalika.

Akiwa na shida ndogo hivi tunasaidiana, mara ananikopa na cha ajabu analipa tofauti na wengine, basi nikatia nia kuwa endapo atanielewa basi huyo ndo mtarajiwa.

Nini Kimenileta kwenu? Juzi tumechat chat saana, tukafikia hatua tunachagua style za nywele ili apendeze sikukuu, siku hiyo karibu kila txt aliyokuwa ananitumia ilikuwa na neno 'dia' , jana nikatuma pesa za kumtosha saloon na vitu vidogo vidogo, cha ajabu baada tu kutuma pesa, chatting haikuwa ya kiviiile, zaidi nikajikuta nimeomba appointment j2, akasema sikukuu huwa hatoki, nikaomba basi hata jmoc au j3, akasema kwa ujumla hapendi kutoka. na alishaniambia sema najisahaulisha.

Nilichokifanya.
Nilirudisha ule muamala usiku ule ule, na baada ya hapo hajanitxt wala me sijamtxt.

Tatizo liko wapi?
Bado namtaka huyu binti kwa kweli, sasa najihisi nshavuruga, ingawa naye tabia yake ndo imesababisha. karoho kaniniuma, nifenyejeee???
Kaa mbali na jini mnyonya damu
 
Back
Top Bottom