Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,498
tatizo alikuwa mpole na mnyenyekevu wakati anataka hela
Ata wale malaya wa kona bar watakuita baby na kukuchekea wakitaka hella
tatizo alikuwa mpole na mnyenyekevu wakati anataka hela
Niliwahi mchana mjinga mmoja..Hicho ndo wanawake wengi hawakiwezi, kukataa ofa. Yaani hakupendi lkn hela yako anataka
Huyu kafeli hapo anarudishaje mwamala wakati bado anampenda huyo mtu yaani hapo ameharibu kabisaaaaaa bora angeiaminisha akili yake kwamba amebet na mkeka umechanika pesa imeliwa na muhindi angeendelea na harakati za kumnyenga binti taratibu angemwelewa tu sasa yeye na mihasira yake kafanya maajabu hampati tena huyoHaraka haraka haina mbaraka. Ulivyotuma pesa hukupaswa uonyeshe kama unanjaa ya kugegeda ungemute kimya. Baada ya kusuka angekutumia picha ya alivyosuka na ungemsifia kwa sifa zetu wakwale tunavyojua kupaka poda hadi mtoto ajue yes the guy is a real husband.
Mwambie muamala ulirudishwa baada ya kuona jina la mpokeaji sio lile ulijualo hivyo unatuma tena.
Kuomba msamaha ni jadi yetu kama sehemu hiyo bado hujavuna.
Ata wale malaya wa kona bar watakuita baby na kukuchekea wakitaka hella

Ilibidi nikate uzi tu qmmmke! Mtoto yuko vizuri ila miyeyusho...Aise na wewe mkuu ukawa unakomaa tu????![]()
Haahahhahahaah huyu wako kiboko ...ana mtu halafu pesa anakuomba wewe???? MweeeeehNiliwahi mchana mjinga mmoja..
Nataka onana naye, akasema sijasuka nitumie hela, nikatuma.. Tumeonana mara nataka hiki mara kile.. Narusha ndoano ooh mimi nina mtu.
Zimepita siku mbili anaomba tena hela, nikamwambia kwanini usimuombe huyo mtu wako, akajibu yaishe...
Nikakazia " yaani wewe mimi hunitaki ila hela zangu unazitaka".. Yule mtoto alinichunia mazima..
Baada ya mwezi nikamtafuta, akasema haji kunisahau kwa majibu niliyompa.
Asante bana ila nashukuru niliacha kuwa shamba la bibi! Ufala tu!Hahahahahahahhaahah pole sana
Naunga mkon hatua zako za kishujaainauma mzee baba, yan mkubaliane apendeze afu usimuone hata kumuona, tena anasema kabisa, hicho hakitakaa kitokee daah, niliona kama dharau hivi.
Katika maisha lazima ukubali kuna wanawake huwezi kuwa naoo...!! Hapo huyo mwanamke ukutee kuna mwana anamlilia balaaa...Ilibidi nikate uzi tu qmmmke! Mtoto yuko vizuri ila miyeyusho...
Jakaya aliwahi sema ukitaka ule sharti uliwe kidogo ila mtoto naona anakula sana af mi naishia kunawa tu, Nikaona sio kweli asintanie!





Asante bana ila nashukuru niliacha kuwa shamba la bibi! Ufala tu!

Niliwahi mchana mjinga mmoja..
Nataka onana naye, akasema sijasuka nitumie hela, nikatuma.. Tumeonana mara nataka hiki mara kile.. Narusha ndoano ooh mimi nina mtu.
Zimepita siku mbili anaomba tena hela, nikamwambia kwanini usimuombe huyo mtu wako, akajibu yaishe...
Nikakazia " yaani wewe mimi hunitaki ila hela zangu unazitaka".. Yule mtoto alinichunia mazima..
Baada ya mwezi nikamtafuta, akasema haji kunisahau kwa majibu niliyompa.









Safi mkuu ukivungaa utachunwaaa balaaJamani umbuje habari za siku...Uswahili tu ilikuwaje ukarudisha muamala sababu kakukatalia kutoka?
Haya sasa pambana na hali yako mkaka ndio umeshaachwa.
Yeah asiekubali kushindwa si mshindani, af maisha ndio yapo hivyo, kuna mtu atakuja kumliza vibaya au la kama anaye basi anamzingua kinomanoma mara 10 ya hata alivyonzingua mimi.Katika maisha lazima ukubali kuna wanawake huwezi kuwa naoo...!! Hapo huyo mwanamke ukutee kuna mwana anamlilia balaaa...![]()
Umerudisha muamala??? Haahahhahahahahahahaha aseee nyinyi watu mnatia aibu kwahiyo umeona atafaiiiidi hiiiii....na huyo Dada nae kazubaa sana....Mimi pesa ikiingia tu kwenye akaunti yangu Fulani cha kwanza ni kuihamishia akaunti nyingine ikiwezekana nyingine sababu najua kuna hawa wanaopenda kurudisha miamala





poleKitendo cha wewe kurudisha muamala ndilo kosa lako.
Unaporudisha muamala ujue unakata relationship yako na mrembo. Hutakiwi kurudisha tena majeshi huko ,itakugharimu mno zaidi ya mwanzo.
Hahahaa hapana...hii tabia siipendi hata kidogo. Kama mtu humpendi mwache aende kwa nini unatamani vitu vyake sasaHahahaahahahahahahahaha kwa hiyo Leo unasaliti kambi sio?
Mimi niko tofauti sana. Napenda zakwangu nilizotolea jasho. Mambo ya kuomba omba kama matonya hapana. Kama mwanaume ananipenda ajue wajibu wake na sio niombe ombe.Eeeeh ndiwoooooooooo jamani wewe hupendi pesa?