Huyu wife ni mke mwemaHuwa ni makubaliano ya wote wawili;kwa mfano mimi nilitaka wawili lakini kwa mrs yeye anataka wanne;mwisho wa siku anajenga hoja na baadaye mnatekeleza mlichokipanga.
Kwahiyo uchumi ukiwa unatosheleza idadi anayoitaka mwanaume na mke hayuko tayari kwa idadi kubwa?Mwanaume ndio anatakiwa kupanga idadi ya watoto kulingana na kipato chake.
Kama mwanamke analazimisha idadi ndogo na mme anataka idadi kubwa basi uchumi wa familia uwe ndio kigezo cha maamuzi ya mwisho.
ha ha ha mi ni mzee mkuu,ndevu zangu zina mvi.....mke wangu ananipenda kwa sababu ya vituko vyanguKumbe umeoa
Kweli wanawake tuna huruma.
Rudisha kwao huyo hajui wajibu wake.Kwahiyo uchumi ukiwa unatosheleza idadi anayoitaka mwanaume na mke hayuko tayari kwa idadi kubwa?
ha ha ha ha ukiona watoto wangu utatamani ni kugaie mbegu
OkAcha utoto.