Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

mwanamke ni mwanamke mpumbavu kama ulikuwa hujui habari ndo hiyo,mzee wako amekula hasara

Hii nayo hasara taslim, hope wazazi wana risiti maana sio kwa hasara hiyo.

Usipende kukurupuka.
 
Wote wawili ingawa mimi napenda wawili Sitaki mke wangu achoke sababu ya kuzaa , outing nitatoka na Nani.SI wengine tunapenda sifa unatoka outing na mwanamke yupo in shape anavutia sifa na pata Mimi kidume...

Mke wa jamaa ni mashine safiiiiiiii ndo nataka hivyo, heshima.
Iko wapi kauli ya "Nendeni mkaijaze dunia"?
 
Back
Top Bottom