Kama sisi ni umbwa hao watoto ni wanani nawauliza?

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Habari.

Wanawake wa dunia ya leo sijui wamekuaje, wanatuita sisi wanaume wote ni umbwa, sawa mmeamua kutuita hivyo je kama sisi ni umbwa hao watoto ni wa nani na wewe ni mtoto wa nani maana hata baba yako ni mwanaume?

Maana maandiko yanasema mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Ni msemo tu usiomaanisha mnyama mbwa, wala usiangaike nao.
 
Back
Top Bottom