Malimi Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,243
- 2,666
Bila ubabe hawa viumbe watakufanya uishi kama kangedere.Why? Haipaswi mke kusikilizwa?
Bila ubabe hawa viumbe watakufanya uishi kama kangedere.Why? Haipaswi mke kusikilizwa?
Na wewe mwanamke akikuwekea ukomo hata kama idadi yako uitakayo haijafika utakubali sio???Ni makubaliano ya wote ila mara nyingi mwanamke ndiyo huwa anaweka ukomo na huwa mnakua na sababu zenu
ndio maana nikasema ni makubaliano yenu. kama hataki ina maana hamjakubaliana. inabidi atoe sababu zenye mashiko na ww utoe zenye mashikoIkitokea hayupo tayari kwa idadi unayoitaka wewe je?
How old are you bro??Wote wawili ingawa mimi napenda wawili Sitaki mke wangu achoke sababu ya kuzaa , outing nitatoka na Nani.SI wengine tunapenda sifa unatoka outing na mwanamke yupo in shape anavutia sifa na pata Mimi kidume...
Mke wa jamaa ni mashine safiiiiiiii ndo nataka hivyo, heshima.
atakuwa na matatizo basi kama hataki na hana sababu za msingi.How if hana sababu ya msingi isipokuwa hahitaji tu idadi kubwa ya watoto?
kumbe we unapenda sabbu ya sifaWote wawili ingawa mimi napenda wawili Sitaki mke wangu achoke sababu ya kuzaa , outing nitatoka na Nani.SI wengine tunapenda sifa unatoka outing na mwanamke yupo in shape anavutia sifa na pata Mimi kidume...
Mke wa jamaa ni mashine safiiiiiiii ndo nataka hivyo, heshima.
Wanajf kuna jambo limenifanya niilete hii mada kwenu.
Kuna kaka alihitaji na alipendelea kuwa na watoto watatu, na walikubaliana na mkewe wawe na watoto watatu Mungu akiwajaalia.
Baada ya mkewe kujifungua mtoto wa pili akamwambia mumewe asingeweza kwenda leba tena(alijifungua kwa njia ya kawaida na hakukuwa na complications zozote).
Mume alihisi ni kwavile ametoka kujifungua ndio maana anasema hivyo, lakini baada ya miaka mi4 kupita bado msimamo wa mkewe ni uleule, amemwambia ikiwa ni lazima apate huyo mtoto wa tatu anamruhusu kwa roho safi tu akamtafute.
Naomba kuwauliza haswa wanandoa, maamuzi ya idadi ya watoto mnaohitaji kuwa nao huwa ni ya nani? And how if kila mmoja akawa na idadi yake ya watoto anaohitaji inayotofautiana na mwenzie?
Na wanawake utafanya nini ikiwa mumeo anahitaji idadi kubwa ya watoto tofauti na matakwa yako?
Utayari pia unazingatiwaVyote viko poa, ila inatokea mke hayuko tayari kwa idadi kubwa ya watoto.
38+,3 children(1gl-10yrs,2b-5yrs-3b-0.6yrs);so experiencedHow old are you bro??
We utakua mhaya kujisifia nn...alafu ukute una mbegu mbayaaha ha ha ha ukiona watoto wangu utatamani ni kugaie mbegu