Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Yani siwezi kuruhusu mtu aniamulie maisha yangu au nitakacho kisa ndoa that's never to me, ujue never nafanya ninachojiskia kwa usahihi na sio eti kisa wewe mwanaume, hyo hakuna vichwa vingine bangi tupu kwanini viachiwe vifanye maamuzi.
Kama huwezi ni simple sana wala usiolewe ishi alone utakua na uhuru wote but ukiingia kwenye ndoa mwenye ku direct na ku regulate muelekeo wa familia ni baba mwenye nyumba,nikikohoa wote mnaitika na si vinginevyo.
Kama ni bangi hiyo ni kesi nyingine nadhani unajua pia kwamba sisi huwa hatuna mda na mdomo ila actions ukivuka mipaka unachezea kichapo
 
Halafu mbona wanatoka nje ya ndoa kwa kushikilia Jambo moja why?
Dawa ya Moto ni Moto tu
Ni kweli dawa ya moto ni moto but mwenye nguvu mpishe maana alikuja kwenu kulipa mahari na wewe na wazazi wako mkakubali bila kulazimishwa kwa hiyo uwe makini unapowasha moto,siku zote mwenye haki ni mume kwa mujibu wa mila na tamaduni zetu
 
Habari wanajamvini, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu yenu.

Embu twende moja kwa moja kwenye hoja, hivi wewe kama mume ndani ya nyumba yako, pindi mwenzako anapofanya tukio la kukukera, linaweza kuwa kubwa sana au la kawaida, lakini ikabaki kuwa amekwazika sana na alichofanya. Je, huwa unatumia njia gani kutatua?

Ni wazi na ukweli usiopingika kuwa kila ndoa ina changamoto yake, kitendo cha kukaa au kuishi nyumba moja na mke kwa muda mrefu, huleta hali fln hv ya kuchokana au kuonana wa kawaida, na hadi kuepelekea wanawake wengine kutotimiza majukumu yao ya ki ndoa na kimahusiano Kama ilivyokuwa awali. Ni ngumu sana kuwa na muendelezo wa mapenzi au uhusiano imara kwa wana ndoa kwa muda mrefu, hata kama kuna vitu mtakuwa mnavifanya ili kurutubisha mapenzi au ndoa yenu, bado kuna mmj wenu au wote atakuwa mnafiki, na hupelekea kusababisha kutokea kwa makosa kadhaa kwenye ndoa au mahusiano.

Mfano wa makosa hayo yanaweza kutokea Ni Kama dharau toka kwa mke, kuchepuka, kutokuthamini mume ( mke hafanyi tena mmb kwa ajili ya mume), kujibishana na mume, n.k, hali zote hizi husababisha hasira isiyoelezeka, ikifikia hatua hii ndipo kila mwanaume huwa na njia yake ya ku "deal" na changamoto hy.

SWALI:
Wewe huwa unafanyaje kati ya haya?

Unampiga mwanamke kutuliza hasira na hujishughulishi ku sort tatizo?

Unakaa chini na kujadiliana nae?

Unauchuna tu?

Unamfukuza arudi kwao?

Unalipa kisasi?

Unatafuta watu wa kuwasuluhisha, Kama wazazi, mshenga, viongozi wa dini, Wana familia n.k?

Je, unaamini katika kupiga mwanamke ndy suluhisho au ndy kuongeza petrol ktk moto? Kama hupigi nini huwa unafanya ku prove ur point?

Embu funguka .
Ngoja Nami nichangie.

1. Piga Mke
Kupiga Ni njia Muhimu Sana Kati ya Njia. Kama una mkono mwepesi, uruhusu ufanye Kazi yake. Hii ndio njia inayorekebisha tabia sugu na korofi kwa haraka sana. Hakikisha ukipiga Mwanamke, unapiga Kweli kweli, isiwe Kama mnapigana na mwanamke, itakushushia heshima. Piga Kama vile unataka kuua. Yaani one way.

2. Kama wewe Ni Mwanaume ambaye hauwezii Kupiga au haupendelei, au unaogopa au Unapigwa na Mwanamke amekuzidi Nguvu na Afya;

Njia Muhimu Kama Mume Ni kutotabirika au kutosomeka kirahisi. Ndio njia ya kudili na mwanamke anayekukera. Usiwe na ratiba maalumu ya kurudi Nyumbani. Wala kupendelea chakula maalumu au kiti maalumu, kijiko maalumu, mavazi maalumu, marafiki maalumu, kwa maana hivi vinamfaa mwanaume anayejua Kupiga Mwanamke. Havitakagi watu lelemama kama wewe.

Nb: Maamuzi haya hayaangalii Kama Mke kakuzidi kipato, au yeye ndiye bridewiner au unakaa kwenye Himaya yake. Chukua maamuzi Kama yeye ndiye anaishi kwako.
 
Kama huwezi ni simple sana wala usiolewe ishi alone utakua na uhuru wote but ukiingia kwenye ndoa mwenye ku direct na ku regulate muelekeo wa familia ni baba mwenye nyumba,nikikohoa wote mnaitika na si vinginevyo.
Kama ni bangi hiyo ni kesi nyingine nadhani unajua pia kwamba sisi huwa hatuna mda na mdomo ila actions ukivuka mipaka unachezea kichapo
Kuolewa ni must na nitaishi nitakavyo sio kupangiwa maisha, na kwanini niishe mwenyewe.
Hamna mtu wa ku regulate maisha yangu Mimi na principle zangu nilizojipangia basi sio mtu tumekutana utu uzimani unipangie.
Utampiga Nani Sasa mie huwa siongei ni mtu wa action kwa kwenda mbele Tena utumie ubabe kwangu ndo unaharibu kabisa napenda ustaarabu, failure to do so lazima pachimbike
 
Na debe tupu hupiga kelele Sana
Huyu ndivyo alivyo..
Yaani huwa anaacha mada,anaanza kuuliza maana za maneno
Usichangae akakuuliza Tena debe tupu ni nini!
Hapo alishakuuliza fitna Ni Nini..
Hana point huyu ..anajikuta anajua kiswahili ambacho Wala hakijui na hakukisomea.
Halafu naye yupo kwenye kundi la kina abdu ulilolitaja ,Sema Yeye hawezi kuona hili sasahivi maana watoto bado wanatambaa..
Wakishaanza angalau chekechea ataona.
 
Ni kweli dawa ya moto ni moto but mwenye nguvu mpishe maana alikuja kwenu kulipa mahari na wewe na wazazi wako mkakubali bila kulazimishwa kwa hiyo uwe makini unapowasha moto,siku zote mwenye haki ni mume kwa mujibu wa mila na tamaduni zetu
Mimi na haki zangu za msingi bila kujali hyo mahari na isiwe kichaka Cha uonevu au kupangiana maishaq
 
Ngoja Nani nichangie.

1. Piga Mke
Kupiga Ni njia Muhimu Sana Kati ya Njia. Kama una mkono mwepesi, uruhusu ufanye Kazi yake. Hii ndio njia inayorekebisha tabia sugu na korofi kwa haraka sana. Hakikisha ukipiga Mwanamke, unapiga Kweli kweli, isiwe Kama mnapigana na mwanamke, itakushushia heshima. Piga Kama vile unataka kuua. Yaani one way.

2. Kama wewe Ni Mwanaume ambaye hauwezii Kupiga au haupendelei, au unaogopa au Unapigwa na Mwanamke amekuzidi Nguvu na Afya;

Njia Muhimu Kama Mume Ni kutotabirika au kutosomeka kirahisi. Ndio njia ya kudili na mwanamke anayekukera. Usiwe na ratiba maalumu ya kurudi Nyumbani. Wala kupendelea chakula maalumu au kiti maalumu, kijiko maalumu, mavazi maalumu, marafiki maalumu, kwa maana hivi vinamfaa mwanaume anayejua Kupiga Mwanamke. Havitakagi watu lelemama kama wewe.

Nb: Maamuzi haya hayaangalii Kama Mke kakuzidi kipato, au yeye ndiye bridewiner au unakaa kwenye Himaya yake. Chukua maamuzi Kama yeye ndiye anaishi kwako.
Ukinipiga na Mimi nakuvizia umelala nakuja na kisu Wala lazima nikujeruhi tu au nikufanyie kitu ambacho hutasahau maisha Wala, natumia kila mbinu.
 
Kwa bahati mbaya sana sitazamagi hizo series za kikorea wala kifilipino hivyo sijui ni ndoa gani unaongelea. Mie utanikuta kwenye movies za kimarekani au kiingereza tena za action au horror na siyo hizo drama au love story.

Una swali jingine mkuu wangu ??
 
Huyu ndivyo alivyo..
Yaani huwa anaacha mada,anaanza kuuliza maana za maneno
Usichangae akakuuliza Tena debe tupu ni nini!
Hapo alishakuuliza fitna Ni Nini..
Hana point huyu ..anajikuta anajua kiswahili ambacho Wala hakijui na hakukisomea.
Halafu naye yupo kwenye kundi la kina abdu ulilolitaja ,Sema Yeye hawezi kuona hili sasahivi maana watoto bado wanatambaa..
Wakishaanza angalau chekechea ataona.
Ndio Mana sijataka kujichosha bure maswali yake hayana msingi nadhani ni mwalimu wa fasihi asiyeelewa kiswahili.
Nasubiria aniulize debe tupu mie
 
Mimi na haki zangu za msingi bila kujali hyo mahari na isiwe kichaka Cha uonevu au kupangiana maishaq
Haki zinaenda baada ya kutimiza wajibu,pili kwenye ndoa hakuna uhuru usio na mipaka,hivyo yaani
 
Ukinipiga na Mimi nakuvizia umelala nakuja na kisu Wala lazima nikujeruhi tu au nikufanyie kitu ambacho hutasahau maisha Wala, natumia kila mbinu.
Nakupiga kwelikweli Hadi ngeu. Utaoga Damu Kama ndio first time. Kisha nakubembeleza yaishe, nakuambia Ni hasira tu nilizonazo. Nilishindwa kudhibiti ghadhabu.
Kisha naenda kukutibia hospitalini. Nakupelekea na supu kabisa. Ukitoka hapo una adabu tani moja. Hautarudia upuuzi. Upo?
 
Mimi Kuna mkosa hayana msamaha hata ulie machozi ya damu ni hyo ya kupiga eti unahasira na siwezi kuruhusu mtu anijeuri lazima nikuvizie I can act like an Angel Ila najua ninachokitafta mpaka nipate, Tena hyo piga hata kibao ndoa inakufa pale pale hata ka imefungwa Vatican.
 
Kitabu ninachoamini kinaelekeza kuwa mwanaume ni kichwa cha Kristo, maana yake ndiye Kiongozi wa familia. Sasa hizi mambo za 50/50 zinatoka wapi?

Kimsingi inafaa tu wote kuishi kwa hekima na kuelewana kila mtu akitambua nafasi yake na kutoitumia vibaya esp.mwanaume asimkandamize mwanamke. Lakini mwanamke akitaka nae kuplay role ya kuwa mwanaume ndani tatizo lazima litaanzia hapo. Ndoa ni tamu sana kila mtu akijua nafasi yake.
 
Ndio Mana sijataka kujichosha bure maswali yake hayana msingi nadhani ni mwalimu wa fasihi asiyeelewa kiswahili.
Nasubiria aniulize debe tupu mie
Hajasoma lugha kabisa huyo.
Ila anajionaga anajua hatari..
Hajawahi kuwa na point.
 
Ukinipiga na Mimi nakuvizia umelala nakuja na kisu Wala lazima nikujeruhi tu au nikufanyie kitu ambacho hutasahau maisha Wala, natumia kila mbinu.
Hii mbinu nilishaifikiria siku nyingi Sana.
Yaani mtu atakaponipiga tu na akanizidi nguvu basi ajiandae.
Usiku natafuta nyundo namtengua mguu, Tena naachanisha kabisa mfupa wa mguu..naye aone uchungu.
 
Kitabu ninachoamini kinaelekeza kuwa mwanaume ni kichwa cha Kristo, maana yake ndiye Kiongozi wa familia. Sasa hizi mambo za 50/50 zinatoka wapi?

Kimsingi inafaa tu wote kuishi kwa hekima na kuelewana kila mtu akitambua nafasi yake na kutoitumia vibaya esp.mwanaume asimkandamize mwanamke. Lakini mwanamke akitaka nae kuplay role ya kuwa mwanaume ndani tatizo lazima litaanzia hapo. Ndoa ni tamu sana kila mtu akijua nafasi yake.
Wanaume wengi ni kichwa Cha shetani ndio maana hawajielewi, irresponsible in our society.
Usipende kufananisha Kristo na vitu vya kijinga na hizi tabia mbovu za Hawa baadhi ya wanaume wasiojielewa.
Usirudie huo utopolo wazinzi unawaita kichwa Cha kristo
 
Halafu mbona wanatoka nje ya ndoa kwa kushikilia Jambo moja why?
Dawa ya Moto ni Moto tu
Ukiona hivyo ujue wameishiwa hoja.
Yaani wakiishiwa hoja huwa wanatapatapa hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom