Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Mkuu unanifurahisha Sana , si useme unachotaka kusema, mbona typo za kawaida ktk formal communication......AMF ni counsel si councel.......
Hapana mkuu nimeshangaa tu taaluma yako utashindwaje kuspell kaneno kadogo kama hako,Asante kwa ufafanuzi nimekuelewa sasa.
 
Nimekuuliza kitu gani nisichokijua nimekiongea pale?maana yake unitajie hicho kitu.
Mbona unabadili swali?
Mamaa embu wanunulie watoto hapo maandazi wanywe chai kwanza, nasi tumtumikie muhindi maana nimeiba muda wake sana.
 
Mamaa embu wanunulie watoto hapo maandazi wanywe chai kwanza, nasi tumtumikie muhindi maana nimeiba muda wake sana.
Ukirudi uje unijibu swali lanngu.
Kumbe umeiba muda wa watu
Mimi mwenzio watoto walishakunywa uji tangu saa moja,muda huu wametoka kunywa chai ,Sasa wanacheza.
Nipo makini sana...nachat huku nafanya kazi za nyumbani.
 
Vizuri Sana!
Ukirudi uje unijibu swali lanngu.
Kumbe umeiba muda wa watu
Mimi mwenzio watoto walishakunywa uji tangu saa moja,muda huu wametoka kunywa chai ,Sasa wanacheza.
Nipo makini sana...nachat huku nafanya kazi za nyumbani.
 
Si nimesema typo? Unaelewa maana ya neno TYPO Madam?
Unaanza kuniuliza maana za maneno Tena?
Sijasoma lugha Mimi...halafu yako hii sio typo error..yaani kutoka kwenye caunsel umeenda kwenye cancel halafu ukaja councel kweli
 
Hao ndo ambao nyie mnawataka ili mpangiane hiyo 50/50 maana wameshindwa kusimamia uanaume
Hiyo siyo hoja yangu wala hakuna aliyesema anataka mashoga! Hoja yangu ni kuwa kama mtu kutumia kiungo chake cha chini kupata pesa mnatumia kama ndiyo kigezo cha udhaifu kwahiyo tuseme na wanaume nao ni dhaifu?

Pengine utasema wanaume siyo wote haya kwani aliyekuambia na wanawake ni wote nani? Mbona wapo wanawake wengi tu hapa duniani wanapambana na wanatusua bila kudanga na kwa hao nao mnasemaje!
 
kwanza hakuna anaelazimishwa kuolewa kama ndoa ni mateso alafu uhalisia wake mateso hayapo ila ni utaratibu wa boss na mfanyakazi..
Hivi ni kwamba mnashindwa kuelewa au mnajitoa ufahamu tu? Hakuna aliyesema tunataka wanawake waanze kuwatawala wanaume hebu muelewe kwanza hilo!

Tunachosema ni kuwa mwanaume anapomtawala mwanamke asitumie hiyo nafasi yake kumnyanyasa mwanamke mfano kumpiga au kumsaliti! Na pia isiwe kitu akifanya mwanaume ni sawa ila akifanya mwanamke ni kosa man is that too much to ask for?
 
Back
Top Bottom