Maalumu kwa wanaume wanandoa

Maalumu kwa wanaume wanandoa

Hyo haki ipi unayoisema wewe maana wakwepa majukumu wakubwa ni nyie
wewe ndio umesema haki zako ndio nakwambia wajibu kwanza haki inafuata,kukwepa majukumu kivipi,tofautisha kukosa pesa kutimiza majukumu na kukwepa
 
Umeona wao hujikita kuzalilishwa, Sasa sifa yetu kubwa na uanauke wetu ni kuzaa ni tendo la asili kabisa Wala sio adhabu.
Wanaume wa humu wakishindwa hoja huanza ramli chonganyishi
Ni wapiga ramli wazuri sana..
Hapo anakupigia ramli Wala hakujui..hayajui maisha yako ila anaassume tu.
 
Wanaume wengi ni kichwa Cha shetani ndio maana hawajielewi, irresponsible in our society.
Usipende kufananisha Kristo na vitu vya kijinga na hizi tabia mbovu za Hawa baadhi ya wanaume wasiojielewa.
Usirudie huo utopolo wazinzi unawaita kichwa Cha kristo
😂 😂 😂 😂 we bibie una hasira na wanaume,walikufanya nini kwani? Kwa mujibu wa maandiko Kristo ni kichwa cha mwanaume na mwaanaume ni kichwa cha mwanamke..na hili utapinga na kusingizia mababu
 
Wanaume wengi ni kichwa Cha shetani ndio maana hawajielewi, irresponsible in our society.
Usipende kufananisha Kristo na vitu vya kijinga na hizi tabia mbovu za Hawa baadhi ya wanaume wasiojielewa.
Usirudie huo utopolo wazinzi unawaita kichwa Cha kristo

Dada sijamfananisha Kristo popote nimerefer mistari ya kitabu Kitakatifu. Mungu siyo mwanadamu ahukumu kama cariha, hata mwanadamu akosee vipi haibadilishi neno la Kristo, pole kwa maumivu uliyo nayo.
 
Mimi sihukumu mtu Ila kufananisha Hawa watopolo na Kristo ni matusi makubwa ya nguoni kabisa. Hafu unatafsiri vibaya haya maandiko
 
we bibie una hasira na wanaume,walikufanya nini kwani? Kwa mujibu wa maandiko Kristo ni kichwa cha mwanaume na mwaanaume ni kichwa cha mwanamke..na hili utapinga na kusingizia mababu
Sina hasira ni maoni yangu tu au unateke niseme walinibaka na kuniacha single mother ka mnavojiaminisha.
Msifananishe Kristo na vitu vya kijinga
 
Ni wapiga ramli wazuri sana..
Hapo anakupigia ramli Wala hakujui..hayajui maisha yako ila anaassume tu.
Kwa kweli wata assume Sana lakini siwezi change what I believe. Si support mfumo wowote kandamizi kuanzia wa kihisia, Hadi physical abuse
 
I busted out laughing...... Sweetheart, spare me with ur fake little advice, I'm a psychologist and mental therapist FYI, may be u need me to cancel you, you must be mistaken me na character za mtu mwingine definitely, I would have given you a credit for ur nice analysis ila hakuna hata kimoja ambacho umeandika kina relate na mimi, go and read again ur psychology notice my friend,, hii ndy raha ya fake IDs.

All you need to know, ni kwamba I'm happily married with very beautiful family and kids, na mostly important ni good and responsible husband, in case u needed to know that. Na Mama watoto wangu ni moja ya wanawake wenye furaha duniani hakuna mfano na I ve never put my hand on her pmj we re together inakaribia decade ya pili sasa, FYI nimeoa mtu anaejielewa na sioni wewe, msomi, na mwenye exposure kubwa sana na she has no problem what so ever na mimi kuwa kiongozi wa familia, so you be the Judge.

I'm pretty sure, ukiingia kwa anga zangu huchomoki yaani sjui kwanini nimejikuta nimekutamani ,sana daaah, nimeshan'goa sana madem wanaharakati Kama wewe back in the day, sema ndy hvy tumeacha hz mmb Sasa hv mdogo wangu tumekuwa sasa.
Cancel you una maana kumkata au counselling ya ushauri?
 
Ni wapiga ramli wazuri sana..
Hapo anakupigia ramli Wala hakujui..hayajui maisha yako ila anaassume tu.
Huyu ndivyo alivyo..
Yaani huwa anaacha mada,anaanza kuuliza maana za maneno
Usichangae akakuuliza Tena debe tupu ni nini!
Hapo alishakuuliza fitna Ni Nini..
Hana point huyu ..anajikuta anajua kiswahili ambacho Wala hakijui na hakukisomea.
Halafu naye yupo kwenye kundi la kina abdu ulilolitaja ,Sema Yeye hawezi kuona hili sasahivi maana watoto bado wanatambaa..
Wakishaanza angalau chekechea ataona.
hapo mbona hata wewe umepiga ramli pia ?
 
Mimi Kuna mkosa hayana msamaha hata ulie machozi ya damu ni hyo ya kupiga eti unahasira na siwezi kuruhusu mtu anijeuri lazima nikuvizie I can act like an Angel Ila najua ninachokitafta mpaka nipate, Tena hyo piga hata kibao ndoa inakufa pale pale hata ka imefungwa Vatican.
Mke kiburi utamjua tu kupitia kumsoma "Body language" hata ukishampiga utajua tu SoMo limeeleweka au Ni maigizo. Niki hisi dalili mbaya dhidi yako Kama vile unajifurahisha mbele yangu kusiko kua kwa Kawaida. Nitajua kuna Jambo unanificha. Siwezi kukuamini kirahisi...Si una act weird?.
Ukiweka hata chakula, ntakulazimisha uanze kukionja kwanza. Ukibisha Nakuvunja Mguu unarudi kwenu kilema na Ndoa kwisha. Saa hizo utaenda Home unachechemea na una mapengo.
 
Mimi sihukumu mtu Ila kufananisha Hawa watopolo na Kristo ni matusi makubwa ya nguoni kabisa. Hafu unatafsiri vibaya haya maandiko
Wengi hujificha kwenye kichaka Cha maandiko.
 
Ukakika wa kuwa nawe umepiga ramli? Yes ninao na ushaidi uko wazi hapo juu, ila uhakika wa ukweli au uongo jamaa alichosema dhidi yako sina.

Nachojua nawe umeongea kitu usichokijua kama Labda yeye alivyofanya, kwahy hii nayo inakufanya nawe uwe "mpiga ramli" pia, comprende?????
Una uhakika?
 
Kipi nisichokijua?
 
Mke kiburi utamjua tu kupitia kumsoma "Body language" hata ukishampiga utajua tu SoMo limeeleweka au Ni maigizo. Niki hisi dalili mbaya dhidi yako Kama vile unajifurahisha mbele yangu kusiko kua kwa Kawaida. Nitajua kuna Jambo unanificha. Siwezi kukuamini kirahisi...Si una act weird?.
Ukiweka hata chakula, ntakulazimisha uanze kukionja kwanza. Ukibisha Nakuvunja Mguu unarudi kwenu kilema na Ndoa kwisha. Saa hizo utaenda Home unachechemea na una mapengo.
eti ukiona na act weird uniforce kula nikigoma unanivunja mguu sio Mimi cariha Wala, wewe siunatumia nguvu za ugali mhogo Mimi nitakuwa smart enough huwezi kuzania niliwazalo kabisa Hadi unajisahau kabisa kumbe moyoni na yangu agenda nakumaliza softly bila kuacha any trace kujulikana.
 
Back
Top Bottom