Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

Waarabu wanataka nchi yao ccm vunjeni muungano
 
Hiyo ndiyo CUF iliyopewa kazi ya kudhoofisha Chama makini Tanzania, yaani, Chadema. Sasa wakipata Zanzibar yao hawa akina Lipumba sura zao wataficha wapi? Na wanadhani ni Mtanganyika yupi atakayewaona wamaana tena? Waende zao huko kwanza wapemba tumewachoka na ndio maana siku hizi tumegundua na hata bidhaa zetu tunanunua kwa akina Mangi tu ili wapemba wafunge maduka yao. Ndio maana wanazalisha wake zao kila mwezi ili wajaze Zanzibar na baadaye watasema Wapemba ni wengi kuliko waUnguja so wapemba wapewe Jamhuri yao. Watu wanaangalia mbali bwana. Siyo mnasema tu wapemba wanazaa hovyo, kumbe wenzenu hiyo ni mbinu za kujazana ili wapate nguvu za kuja kudai Jamhuri yao.
 
Napenda kutoa onyo kwa Wazanzibari wote. Zanzibar ipo kwa sababu ya Muungano, nje ya Muungano kuna Upemba na Unguja.(Nukuu ya Mwalimu). Mtambue kwamba Muungano ukishavunjika Waarabu watakuja kuchukua koloni lao na wote mtaolewa kwani kila kitu mtapewa na waarabu na baada ya miaka kama 20 nchi itageuka ya kiarabu. Na hii itafanyika baada ya kuhasi(castrate) wanaume wote. Kumbuka enzi ya utumwa wanaume waliopelekwa uarabuni walihasiwa. Huo ni ushauri wa bure. Msichezee Muungano ndio unaowalinda mtakuja kujuta.
 
Please Seif, maneno mengi hayavunji mfupa...its time for action now!
 
ccm votes are at stake...watamlimboka huyu.,sioni mtanganyika anayeuhitaji muungano zaidi ya vigogo wa ccm bara na visiwani
 
Hehehe. Yaani huyu jamaa haeleweki. Juzi kati alikuwa Arusha anafanya nini sasa kama muungano hautaki????

Kweli viroja.
 
Kwanini tunawalazimisha Wazanzibar na huu Muugano ambao inaonekana wengi hawaupendi? Kwani Watanganyika tutapata athari gani Wazanzibari wakijitenga? Hiyo dhambi ya ubaguzi itawatafuna wao wenyewe, sisi hatumo. Mtoto akililia wembe mpe.
 
hivi wapi kwenye katiba ya JMT kuna kitu kinasema kwamba Znz ni mkoa mmoja wapo wa Tz? sasa kama wao sio mkoa kwa nini sasa wasijitenge tu officially, lazima wapige kelele na kulalamika, walete rasmi kwa JK proposal ya kuvunja muungano na waseme haina negotiations znz ni nchi huru.
 
Nikiwaambia waTanganyika Nyerere aliwadanganya sana na alisimamia kidete kuhakikisha HAMUWEZI KABISA KUUNDA Serikali ya TANGANYIKA pamoja na Znz kuwasaidia sana kuwaombea Serikali Hiyo katika mjadala wa kwanza kuhusu Muungano wenu.

Waarabu tuna usemi " NI RAHISI SANA KUWADANGANYA WATU, LAKIN NI VIGUMU SANA KUWAAMBIA KUWA MUMEDANGANYWA''

Lakin ukweli unasimama kuwa NYERERE aliwadanganya waTanganyika kuwa Serikali na utaifa wao sio Muhimu ndani ya muungano wenu.

Poleni sana WaDanganyika.

Let Zanzibar GO

Kama maalim yaani mpemba anataka dola huru, aanze kuwarudisha wapemba walio-occupy working positions na wafanyabiashara wote walioko huku bara warudi kwao. Na niseme tu wazi kuwa wabara tuna matatizo yakufikir, hivi kweli mtu anatamka hivi halafu kesho bado tunaongozwa na wapemba au wazanzibari huku bara?
 
Wa znz wasepe na sasa waloko bara tutawacharaza mijeledi warudi kwao wakaunganishe nguvu na alshabab na boko haram halaf waonje shubiri ya western nations.watakizika kisiwa kizima
 
Tendwa hana ubavu na CCM-B a.k.a. CUF, huwa anatafuta soft targets kama CDM ingawa nako amekutana na ambacho hakutarajia, baada ya kum-bombard na barrage ya mikwala, Tendwa hasikiki tena na double standards zake. Msajili wa vyama alikuwa Jaji LIundi si hao wasambaa.
 
Napenda kutoa onyo kwa Wazanzibari wote. Zanzibar ipo kwa sababu ya Muungano, nje ya Muungano kuna Upemba na Unguja.(Nukuu ya Mwalimu). Mtambue kwamba Muungano ukishavunjika Waarabu watakuja kuchukua koloni lao na wote mtaolewa kwani kila kitu mtapewa na waarabu na baada ya miaka kama 20 nchi itageuka ya kiarabu. Na hii itafanyika baada ya kuhasi(castrate) wanaume wote. Kumbuka enzi ya utumwa wanaume waliopelekwa uarabuni walihasiwa. Huo ni ushauri wa bure. Msichezee Muungano ndio unaowalinda mtakuja kujuta.

Wapi na wapi ? Muungano una miaka 48...Zanzibar ipo zaidi ya miaka 800... Ukoloni unawashinda sababu nyinyi wenyewe mna njaa ya kutupwa.
 
Nikiwaambia waTanganyika Nyerere aliwadanganya sana na alisimamia kidete kuhakikisha HAMUWEZI KABISA KUUNDA Serikali ya TANGANYIKA pamoja na Znz kuwasaidia sana kuwaombea Serikali Hiyo katika mjadala wa kwanza kuhusu Muungano wenu.

Waarabu tuna usemi " NI RAHISI SANA KUWADANGANYA WATU, LAKIN NI VIGUMU SANA KUWAAMBIA KUWA MUMEDANGANYWA''

Lakin ukweli unasimama kuwa NYERERE aliwadanganya waTanganyika kuwa Serikali na utaifa wao sio Muhimu ndani ya muungano wenu.Poleni sana WaDanganyika.
Tatizo la ZNZ si uwepo wa Tanganyika ni Zanzibar huru!
Usichanganye vitu, Tanganyika ikirudi haina maana matatizo ya ZNZ yataisha.Nimekujibu katika mada yako.
Next time jikite katika mada, kutafuta namna ya kumtaja Nyerere ni udhaifu wa hoja.

Nyerere hayupo madarakani miaka 30 na kafariki miaka 14, nchi ipo na itakuwepo! Jukumu la kutafuta suluhu ya nchi halipo kwa marehemu bali watu wenye kutumia vichwa, wenye kufikiri kwa wakati na si kutafuta mchawi.

JF ni chombo huru, anzisha mada juu ya Nyerere utapata wachangiaji.
 
Jamani watanganyika waacheni wazanzibar wapate wakoloni wapya waarabu, nyie mmewatawala vya kutosha!
 
]
quote_icon.png
By BarubaruWaarabu tuna usemi " NI RAHISI SANA KUWADANGANYA WATU, LAKIN NI VIGUMU SANA KUWAAMBIA KUWA MUMEDANGANYWA''

Lakin ukweli unasimama kuwa NYERERE aliwadanganya waTanganyika kuwa Serikali na utaifa wao sio Muhimu ndani ya muungano wenu.Poleni sana WaDanganyika

muarabuuuu!angalia muungano ukivunjika wanamapinduzi wasije wakawatimua
 
Back
Top Bottom