Kero zetu katika muungano:kwanza muungano wenyewe umeshakuwa kero kwasababu hatujafaidika kitu baada ya hasara.Pili katika makubaliano ya muungano rais wa zanz ni makamo wa rais wa muungano lakin leo hii mumemdhulumu rais wetu na katika cabinet yeye anatambulika kama ni wazir asie na wizara. Tatu nyinyi munachimba madini na rasilimali kibao zote hamujaziingiza katika muungano munavuna peke yenu lakin sisi tuna mafuta mpaka hii leo mumeyazuia yasichimbwe mpaka na nyinyi mufaidike sasa hii haki ikiwa rasili mali zenu munakula nyinyi sisi hatupati lakin za kwetu tule pamoja. Nne mkuu wa majeshi anatokea kwenu,Mkuu wa polis(IGP).Msajili wa vyama,mkuu wa tume ya uchaguz,jaji mkuu,mwanasheria mkuu,GAVANA WA bot,mtakwimu mkuu,mkurugenzi wa sumatra,mkurugenz wa mashtaka,mkurugenz wa tanesco, mkuu TRA,mkuu POSTA,spika na naibu wa bunge,katibu wa bunge,pia tuna hisa 11% katika bot halafu katka muungano tunatakiwa mutupe 4.5% lakini hamutupi vile ipasavyo. hamutuachii kujiunga na taasisi hata ndogo ndogo. mkuu wa necta anatoka kwenu, wakuu wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu wanatoka kwenu,mabaloz munachukua kidogo kutoka znz. yaan naweza kero kitabu kizima hapa lakin muda cna. sasa kama sisi tumeungana ilikuwa pawe na usawa.hata kama cc tupo kidogo lakin tulikuwa huru.sisi tumechoka tunataka tupange sera zetu za uchumi sio mutupangie nyinyi.