Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

Tatizo Maalim anafikiri yeye ni smart sana. Sasa kama kweli yeye ni mwanaume na haumi maneno, aseme maneno mawili tu - "Vunja Muungano".

Nyerere is the one who thought, he was the smartest man in Tanzania. He brain washed most of you...What happened ? kaondoka yeye Zanzibar ameiyacha . Sasa nongwa zenu hazitabadilisha kitu. Time to accept reality .
 
Siku itafika Muungano utavunjika tu, sio kwasababu ya Maalim Seif bali wazanzibari walio wengi wamechoshwa na usanii wenu. Maalim Seif ni mtu mmoja, akiwepo asiwepo harakati za ukombozi zitaendelea mpaka kieleweke.

Kasumba za Nyerere ndio zinawasumbua...

Haya sasa mnarukia Mwl Nyerere. takashi, semeni tunavunja muungano. Kelele za nini bana? Vunja muungano ili u-enjoy your country yenye milk and honey!
 
Mnaumiza vichwa kwa ajili ya huyo mtu mwenye tamaa kubwa ya madaraka?.
 
Nyerere is the one who thought, he was the smartest man in Tanzania. He brain washed most of you...What happened ? kaondoka yeye Zanzibar ameiyacha . Sasa nongwa zenu hazitabadilisha kitu. Time to accept reality .

takashi, kwanini wewe, Maalim Seif na hao 'wanzanzibari wengi' hawataki kusema 'vunja muungano? Kwanini mnataka mkataba na koloni?
 
Mi nashangaa wanaongea ongea tu kila siku hao wanzanzibari si wachukue hatua zaidi. Am fed up with their daily words. Sisi wenyewe hatuutaki huu Muungano kwanza ala.
 
Haya sasa mnarukia Mwl Nyerere. takashi, semeni tunavunja muungano. Kelele za nini bana? Vunja muungano ili u-enjoy your country yenye milk and honey!

Yeye ndio alikuja kuomba Muungano na uwongo wake . Kama mimi Takashi , nengekuwa na uwezo wa kuvunja Muungano , basi usikuu huu ningefanya hivyo. Tumeng'amua utapeli wenu sasa mnafanya nongwa.
 
Kama mimi Takashi , ningekuwa na uwezo wa kuvunja Muungano , basi usikuu huu ningefanya hivyo. Tumeng'amua utapeli wenu sasa mnafanya nongwa.

Maalim Seif na wanzanzibari wengi nao hawawezi?

1. Yaani Maalim Seif na wanzanzibari wengi hawawezi kusema hawamtambui makamu wa rais (kwa sasa Dr Bilal)? au wanapiga mahesabu ya zile 32bn za kuendeleza Zanzibar?

2. Yaani Maalim Seif na wanzanzibari wengi hawawezi kuwaambia wabunge toka zanzibar ni marufuku kukanyaga Dodoma?

3. Yaani Maalim Seif na wanzanzibari wengi hawawezi kuandaa muswaada na kuupeleka BLW ili process ya kuvunja muungano ianze mapema?

NB: Maalim Seif ni makamu wa kwanza wa rais. Na kumbuka muungano wa sasa ni wa mkataba, hivyo kabla ya ku-sign mkataba mwingine inabidi huu wa sasa muuvunje.
 
Kwa mtazamo wangu mimi , Muungano ni kama ugonjwa sugu, kwahiyo hata dozi ya dawa inakuwa ya muda mrefu. Sio muda mrefu dozi itakamilika...
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Yeye ndio alikuja kuomba Muungano na uwongo wake . Kama mimi Takashi , nengekuwa na uwezo wa kuvunja Muungano , basi usikuu huu ningefanya hivyo. Tumeng'amua utapeli wenu sasa mnafanya nongwa.

Takashi,
Jaribu kuwa na lugha ya staha mkuu. Utaharibu jukwaa kwa lugha ya kuudhi. Litake radhi taifa na ujitake radhi mwenyewe kwa maneno ya kuudhi uliyoyatumia kwenye mchango wako huu.
 
Siku itafika Muungano utavunjika tu, sio kwasababu ya Maalim Seif bali wazanzibari walio wengi wamechoshwa na usanii wenu. Maalim Seif ni mtu mmoja, akiwepo asiwepo harakati za ukombozi zitaendelea mpaka kieleweke.

Kasumba za Nyerere ndio zinawasumbua...
Nikisema huna busara sijakutukana, kufaidika na MUUNGANO mnafaidika ninyi huku bara hatufaidiki nao, leo mnapiga kelele ninyi za kuvunja muungano, halafu wewe unamlalamikia NYERERE KWANINI ASIWE KARUME ambaye alikubaliana na mawazo ya MWALIMU? ila unamuona MWL.

Hivi unafahamu hatuwezi kuwa na MUUNGANO wa mkataba bila kwanza kuvunja huu uliopo?
au unajisemea tu ili kupisha siku
 
Kwa mtazamo wangu mimi , Muungano ni kama ugonjwa sugu, kwahiyo hata dozi ya dawa inakuwa ya muda mrefu. Sio muda mrefu dozi itakamilika...

Wakati wa campaign 2010 Maalim Seif alikuwa anaahidi Zanzibar ya maziwa na asali. Alikuwa na ahadi nyingi sana na nyingine zilikuwa zitekelezwe ndani ya siku 100! Zanzibar ilitakiwa iwe kama Singapore kwasasa! Unaweza kuniambia amefanya nini? Mambo ya Muungano wa mkataba hayakuwa kwenye ajenda ya Maalim wakati wa campaign.
 
Nikisema huna busara sijakutukana, kufaidika na MUUNGANO mnafaidika ninyi huku bara hatufaidiki nao, leo mnapiga kelele ninyi za kuvunja muungano, halafu wewe unamlalamikia NYERERE KWANINI ASIWE KARUME ambaye alikubaliana na mawazo ya MWALIMU? ila unamuona MWL.

Hivi unafahamu hatuwezi kuwa na MUUNGANO wa mkataba bila kwanza kuvunja huu uliopo?
au unajisemea tu ili kupisha siku

Muungano unafaida na vile vile una hasasra . Sisi tumepima faida na hasara na jibu ni kwamba hasara ni kubwa ambayo Zanzibar inapata kama nchi...Hatuwezi kuuza nchi yetu, eti kwasababu kuna waznz wanaishi Tanaganyiaka.
 
Wakati wa campaign 2010 Maalim Seif alikuwa anaahidi Zanzibar ya maziwa na asali. Alikuwa na ahadi nyingi sana na nyingine zilikuwa zitekelezwe ndani ya siku 100! Zanzibar ilitakiwa iwe kama Singapore kwasasa! Unaweza kuniambia amefanya nini? Mambo ya Muungano wa mkataba hayakuwa kwenye ajenda ya Maalim wakati wa campaign.
Mimi sio mwanachama wa CUF, in fact, sio mwanachama wa chama chochote cha siasa . Agenda za CUF ,CCM au CHADEMA mimi sizieliwi. Maalim Seif , sio rais wa Zanzibar ni makamo wa rais kwa maana maamuzi ya mwisho ya serikali hayoko juu yake.
 
Takashi,
Jaribu kuwa na lugha ya staha mkuu. Utaharibu jukwaa kwa lugha ya kuudhi. Litake radhi taifa na ujitake radhi mwenyewe kwa maneno ya kuudhi uliyoyatumia kwenye mchango wako huu.

Nioneshe hilo neno la kuudhi ama tusi ...
 
Muungano unafaida na vile vile una hasasra . Sisi tumepima faida na hasara na jibu ni kwamba hasara ni kubwa ambayo Zanzibar inapata kama nchi...Hatuwezi kuuza nchi yetu, eti kwasababu kuna waznz wanaishi Tanaganyiaka.

maneno ya busara! nakuomba uwashauri wananchi na watawala wenu mvunje muungano ili muweze kupumua na kujipatia hayo maendeleo bila kuitegemea Tanganyika!
 
Kwa namna moja au nyengine nchi zinategemeana, mataifa yanategemeana . Tatizo mamlaka (MAAMUZI) ya Zanzibar , tunataka yaamliwe na waZNZ wenyewe na sio vingunge kutoka Tanganyika.
 
Mbona tumewapa kila njia ya kuweza kupata Zanzibar huru; tunachowaambia ni kuwa hatutaki muungano wa mkataba. Watoke kwanza wakishatoka (watoke kabisa na kutangaza kuwa huru) halafu waone kama tutaitisha kura ya maoni Tanganyika ya kujua kama tunataka muungano wa mkataba.
 
Ana bahati Nyerere alikwisha kufa! La sivyo asingesikika tena!!!
 
Kama vile CUF ilivyoolewa na CCM, vivyo hivyo na Zanzibar imeolewa na Tanganyika!! Hakuna taraka!!!!! Watulie!!
 
Back
Top Bottom