Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

sasa anamlalamikia nani kwani nani anawazuia kujitenga kweli hawa watu bure kabisa

kama yeye ni makamu wa kwanza wa rais ktk smz basi aambiwe kwamba hakuna haja ya kutangaza hautaki muungano. Bali yeye na wenzake wasije bara waishie huko huko. Lakini huyu bwana maalim si mkweli kwa sababu. Hahitaji kusema tu ajitoe haraka ndipo na wenzake watafuata.
 
Ongeeni point sio mutoe matusi na hoja finyu.
mnataka znz huru kwa kulalamika majukwaani?
Hamtaipata ng'o!! Ombeni Mungu CHADEMA ichukue nchi.....CCM haiwezi kuwapa uhuru wenu.

kwakuwa mtaipigia tena kura.......huku mnalalamika, huku mnampigia kura Rais wa JMT.....nyie watu bana....kataeni kupiga kura basi, angalao tuone mpo serious...ili maCCM yakose hizo kura laki laki nne.
 
sasa anamlalamikia nani kwani nani anawazuia kujitenga kweli hawa watu bure kabisa

kama yeye ni makamu wa kwanza wa rais ktk smz basi aambiwe kwamba hakuna haja ya kutangaza hautaki muungano. Bali yeye na wenzake wasije bara waishie huko huko. Lakini huyu bwana maalim si mkweli kwa sababu. Hahitaji kusema tu ajitoe haraka ndipo na wenzake watafuata.
 
Hiyo ndiyo CUF iliyopewa kazi ya kudhoofisha Chama makini Tanzania, yaani, Chadema. Sasa wakipata Zanzibar yao hawa akina Lipumba sura zao wataficha wapi? Na wanadhani ni Mtanganyika yupi atakayewaona wamaana tena? Waende zao huko kwanza wapemba tumewachoka na ndio maana siku hizi tumegundua na hata bidhaa zetu tunanunua kwa akina Mangi tu ili wapemba wafunge maduka yao. Ndio maana wanazalisha wake zao kila mwezi ili wajaze Zanzibar na baadaye watasema Wapemba ni wengi kuliko waUnguja so wapemba wapewe Jamhuri yao. Watu wanaangalia mbali bwana. Siyo mnasema tu wapemba wanazaa hovyo, kumbe wenzenu hiyo ni mbinu za kujazana ili wapate nguvu za kuja kudai Jamhuri yao.

Hivi Lipumba ni Mpemba au mdanganyika? Baada ya kupata serikali Huru ya watu wa Zanzibar atabaki tanganyika au ataenda Pemba?
 
Nasikia wimbo mkataba, mkataba, huo muungano wa mkataba ndio muungano wa namna gani? kwani huu wa sasa hauna mkataba au wanataka mkataba wa muda maalum? nakwanini tusiwaachie waende zao jamani?Pemba na unguja zikitengana baada ya muunguno kuvunjika is non of our business. wapo wazenji bara wana leseni za kuchimba madini za status ya mzawa, wanafanya biashara za kizawa, Tanesco inawaleo, wamejenga na wanaishi kama wazawa....haya nadhani ndiyo wanataka yaendelee kuwa kwenye huo muungano wa mkataba na wakati huo huo mafuta au gas ikipatikana is theirs. .....ufumbuzi wa kudumu ni kuvunja muungano( rudisha wabara walioko zenji maana watanyanyaswa wakiachwa huko) timua wapemba walioko bara.....nadhani mkenya anaheshimika zaidi huko zenji kuliko m-bara, kisa muungano...wakitu-miss ndio watatuheshimu......
 
wewe unataka full stop unataka kuelewa najua yamekuuma haya huna jipya jipange wewe
 
Seif hana jipya na CUF wameishiwa SERA kama hamuutaki MUUNGANO ondokeni BARA NYOTE muone kama na sisi tutabaki kwenu
 
naona baada ya kukaa na serikali kama kiongozi hana njia nyingine ya kuiponda pindi uchaguzi ukifika. sasa ishu ni kukomaa na muungano ili aweze kuaminika na wazanzibar. Uhamsho bana kazi kwelikweli
 
Umakamu alionao anaona haulipi akitoka nje ya zenji wanamuona mchuuzi tu, ataka apozwe na umakamu wa Jamhuri ya TZ eti.....wanapenda tutishia nyau hawa, is just simple, baraza la mapinduzi and serikali yao wanaweza declare ku-pull out of muungano, rudisha kadi za CCM then fufua ASP....otherwise vuvuzela lao halitasadia
 
Wapi na wapi ? Muungano una miaka 48...Zanzibar ipo zaidi ya miaka 800... Ukoloni unawashinda sababu nyinyi wenyewe mna njaa ya kutupwa.

kwani mnachokitaka hasa ni nn wenzetu nyie?? Au mmeahidiwa kwamba mtapewa pesa za bure mkijiunga o.i.c ambayo ni vigumu kujiunga mkiwa ndani ya muungano??? Kama hamzioni faida za muungano mjetenge, then nje ya muungano mtazijua faida lukuki ambapo itakuwa ngumu kuwapokea tena
 
Sultan Maalimu aka CUF aka Madevu anataka kuvunja Muungano ili wawatawale vizuri Waunguja baada ya kuwakaribisha ndugu zao Waarabu! Ndugu zangu Waanguja ni lazima mjiulize ni kwa nini Mapinduzi yalifanyika? Yalikuwa ni kwa ajili ya nini? Bila muungano na Tanganyika yangedumu? Kwa hiyo msikubali kuingizwa mkenge na Wapemba aka Waaarabu watawauza hao. Kumbukeni mateso mliyoyapata kabla ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar. Wapemba wanawachekea kwa unafiki lakini hawajasahau kuwa waliopinduliwa mwaka 1964 walikuwa ni Waarabu na Wapemba. Ni kazi kwenu Waanguja kuchambua mbivu na mbichi. Mtakuja kulia kilio cha kusaga meno ukiwasikiliza wapemda aka Waarabu. Zanzibar hapatakalika. Watawaleta waarabu wenzao ili wawavuruge nyingi watu weusi.
Maalim Seif Sharif Hamad ahutubia mkutano mkubwa wa hadhara kisiwani Pemba hii leo na anasema:

"Mimi sitafuni maneno kwamba ni muumini wa Zanzibar yenye mamlaka kamili kitaifa na kimataifa itakayofuatiwa na mashirikiano kati yake na Tanganyika kupitia Muungano wa Mkataba.

Namshangaa leo anakuja kiongozi wa Zanzibar anasema tuna bendera na muhuri na wimbo wa taifa, hayo yanatosha. Hivi huyu anajua anachokisema au anatumikia maslahi ya waliomtuma? Una bendera gani hii ambayo mwisho wake Chumbe? Mimi nataka niione bendera ya Dola ya Zanzibar inapepea Umoja wa Mataifa, New York pale. Nataka tuwe na Paspoti ya Zanzibar, nikisafiri nitoe Paspoti ya nchi yangu. Nataka tuwe na Ofisi za Kibalozi za Zanzibar katika nchi za nje. Leo hata mamlaka ya kiuchumi hatuna.

Tumeamua rasilimali yetu ya mafuta na gesi asilia yasiwe mambo ya Muungano, mpaka leo Tanganyika wamekwamisha, wanatuzuia tusinufaike na rasilimali zetu tukajenga uchumi wetu. Wanasema tuna viwango na mfumo mmoja wa kodi lakini bidhaa zikitoka Zanzibar wanazitoza ushuru tena. Lengo ni kuua uchumi wetu ili hatimaye tudhoofike na tusalimu amri kwao. Yaguju! Wasahau hilo.

Leo hata katika mikutano ya kimataifa, viongozi wetu wa Zanzibar hawapewi heshima ya uwakilishi wa nchi yetu. Inafika mahala hata Naibu Waziri tu wa Bara anaongoza ujumbe wa Tanzania wakati kuna Waziri kamili kutoka Zanzibar lakini haheshimiwi. Tutarejesha mamlaka yetu kamili.

Tuwe na Benki Kuu, tuwe na sarafu yetu ya Zanzibar, tupange uchumi wetu kwa maslahi ya watu wetu. Tunataka tuwe na uanachama katika jumuiya na mashirika yote ya kimataifa. Tuwe na Waziri wa Mambo ya Nje wa Zanzibar. Tuwe na uwezo wa kuingia mikataba na nchi za kigeni.

Hayo ndiyo tunayoyataka. Tukisema hivi hatuna maana tunataka ugomvi na Tanganyika. Hapana! Tunataka tuwe majirani wema na Tanganyika kama tutakavyokuwa na ujirani mwema na Kenya. Hayo yatafikiwa kupitia Muungano wa Mkataba wa Madola mawili huru kamili."

Kama utasoma kwa Umakini Speech hii utaona Dhulma wanayofanyiwa wazanzibar na CCM
 
Ni jambo la kusikitisha kwamba, wakati nchi ndogo zinajaribu kuungana na nchi jirani ili kuunda Federation au Union kubwa, kuna viongozi kama Maalim Seif wanataka Zanzibar yao wenyewe. Kama Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere alivyosema, mwishoni watataka Pemba yao, na wengine Unguja yao.

Hivi karibuni, East African Community ya Tanzania, Kenya na Uganda walikaribisha Rwanda na Burundi; na mchakato unaendelea kuimarisha soko la pamoja na huduma za pamoja; papo hapo kujaribu kukaribisha D.R.C., Zambia, Malawi na Msumbiji. Sasa huyu Seif alikuwa wapi asipinge, kama anataka kanchi kake ka Zanzibar kawe nchi pekee inayojitegemea?

Large countries with huge populations offer markets which can attract capital for the proper exploitation of natural resources to provide emplyment for the people. The larger the country, the better. Indeed if tiny countries' delegates at the U.N. where Seif wants to go to represent Pemba, start talking, most delegates walk out for smoking, coffee or to prepare their statements. They have no influence and make no impact.
 
Huyu Maalim Seif Hamad alikwisha Apa ya kwamba ni lazima atakuwa rais wa Zanzibar hivyo ndoto yake bado inaendelea na tusimshangae sana - Ambition, Ambition, ambition - it's all about him, hivyo inabidi tumwelewe ya kwamba swala sio Wazanzibar isipokuwa yeye kapanda pipa hadi NY na kasimama UN maana Mwinyi alituwakilisha hiyo haihesabiki, Kuna Mawaziri na Manaibu mawaziri kutoka Zanzibar ktk wizara za Jamhuri kutwa wanaoenda nje kila siku kuwakilisha Tanzania hawa pia hawahesabiki isipokuwa pale yeye Maalim Seif atakapo pokelewa kwa ving'ora na vifijo ndio ataiona Zanzibar huru..
 
Ni jambo la kusikitisha kwamba, wakati nchi ndogo zinajaribu kuungana na nchi jirani ili kuunda Federation au Union kubwa, kuna viongozi kama Maalim Seif wanataka Zanzibar yao wenyewe. Kama Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere alivyosema, mwishoni watataka Pemba yao, na wengine Unguja yao.

Hivi karibuni, East African Community ya Tanzania, Kenya na Uganda walikaribisha Rwanda na Burundi; na mchakato unaendelea kuimarisha soko la pamoja na huduma za pamoja; papo hapo kujaribu kukaribisha D.R.C., Zambia, Malawi na Msumbiji. Sasa huyu Seif alikuwa wapi asipinge, kama anataka kanchi kake ka Zanzibar kawe nchi pekee inayojitegemea?

Large countries with huge populations offer markets which can attract capital for the proper exploitation of natural resources to provide emplyment for the people. The larger the country, the better. Indeed if tiny countries' delegates at the U.N. where Seif wants to go to represent Pemba, start talking, most delegates walk out for smoking, coffee or to prepare their statements. They have no influence and make no impact.

hujui ulinenalo au unafanya makusudi kutoelewa zanzibar wakitakacho. unataka kunambia rwanda wametaka wafanywe kama zanzibar na tanganyika ? ss tunataka muungano kama huo wa rwanda, burundi na nyenginezo si huu ukoloni
 
Huyu Maalim Seif Hamad alikwisha Apa ya kwamba ni lazima atakuwa rais wa Zanzibar hivyo ndoto yake bado inaendelea na tusimshangae sana - Ambition, Ambition, ambition - it's all about him, hivyo inabidi tumwelewe ya kwamba swala sio Wazanzibar isipokuwa yeye kapanda pipa hadi NY na kasimama UN maana Mwinyi alikuwa haihesabiki, Kuna Mawaziri na Manaibu mawaziri kutoka Zanzibar ktk wizara za jamhuri wanaoenda nje kila siku kuwakilisha Tanzania hawa pia hawahesabiki isipokuwa pale yeye Maalim Seif atakapo pokelewa kwa ving'ora na vifijo ndio ataiona Zanzibar huru..

mkandara unajua fika suala la zanzibar si la maalim seif, ni la wazanzibari na si la leo ni la kale. usimtukane bure huyu mzee.

umemsikiza mzee moyo, mawaziri wa zanzibar akiwemo mansour, hamza. wawakilishi raza, jussa na wengineo.mjane wa karume mama fatma karume. uamsho na wengineo

juzi kulifanyika kongamano kubwa wazanzibari kila rika na makundi walihuzuria kudai zanzibar yao. kiukweli wazanzibari hawana haja na muungano huu. usipotoshe ongea uhalisia
 
Sultan Maalimu aka CUF aka Madevu anataka kuvunja Muungano ili wawatawale vizuri Waunguja baada ya kuwakaribisha ndugu zao Waarabu! Ndugu zangu Waanguja ni lazima mjiulize ni kwa nini Mapinduzi yalifanyika? Yalikuwa ni kwa ajili ya nini? Bila muungano na Tanganyika yangedumu? Kwa hiyo msikubali kuingizwa mkenge na Wapemba aka Waaarabu watawauza hao. Kumbukeni mateso mliyoyapata kabla ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar. Wapemba wanawachekea kwa unafiki lakini hawajasahau kuwa waliopinduliwa mwaka 1964 walikuwa ni Waarabu na Wapemba. Ni kazi kwenu Waanguja kuchambua mbivu na mbichi. Mtakuja kulia kilio cha kusaga meno ukiwasikiliza wapemda aka Waarabu. Zanzibar hapatakalika. Watawaleta waarabu wenzao ili wawavuruge nyingi watu weusi.

hao wana mapinduzi ndio wanaongoza kuukataa muungano huu, mama Fatma Karume mke wa Rais wa kwanza baada ya mapinduzi ulimsikia msimamo wake. Mansour Yussuf Himidi, uliza yssuf Himid alikua nani kwenye mapinduzi ? Nassor Moyo uliza ni nani ? jee ni mpemba ? Jumbe mpaka mkamuondo Mdarakani si mwanamapinduzi ? jee ni mpemba ? Ramadhan Haji ni mpemba? na wengine wengi
msimamo wa zanzibar ni kuona muundo huu wa muungano unaondoka. hizi ni nchi mbili sawa sawa sio moja kuibana nyengine.

na hizi hadithi za kutugawa mtutawale tushazishtukia kitambo. zamani sio leo. ndugu zetu wa damu tumekueleweni
 
mkandara unajua fika suala la zanzibar si la maalim seif, ni la wazanzibari na si la leo ni la kale. usimtukane bure huyu mzee.

umemsikiza mzee moyo, mawaziri wa zanzibar akiwemo mansour, hamza. wawakilishi raza, jussa na wengineo.mjane wa karume mama fatma karume. uamsho na wengineo

juzi kulifanyika kongamano kubwa wazanzibari kila rika na makundi walihuzuria kudai zanzibar yao. kiukweli wazanzibari hawana haja na muungano huu. usipotoshe ongea uhalisia

Good point,hawana haja na Muungano huu. Ni haki yao ya msingi kuchagua watakacho.
Waondoke sasa, maneno matupu kila siku hayasaidii.

Nimeona mwingineanasema watanganyika wadai tanganyika yao ili wao znz waondoke..alaaaa....nanianataka kuondoka? Anayeona tabu aondoke, full stop.
Muungano huu wa kijanja janja, ondokeni basi na msilete habari za mikataba hapa. Muingie kwenye EA Community kama nchi kamili, tushirikiane katika level hiyo.

Kelele za nini?
 
mkandara unajua fika suala la zanzibar si la maalim seif, ni la wazanzibari na si la leo ni la kale. usimtukane bure huyu mzee.

umemsikiza mzee moyo, mawaziri wa zanzibar akiwemo mansour, hamza. wawakilishi raza, jussa na wengineo.mjane wa karume mama fatma karume. uamsho na wengineo

juzi kulifanyika kongamano kubwa wazanzibari kila rika na makundi walihuzuria kudai zanzibar yao. kiukweli wazanzibari hawana haja na muungano huu. usipotoshe ongea uhalisia
Sawa tuzungumzie Uhalisia..

Zanzibar yao ni ipi?.. hawa karibu wote walikuwa na SULTAN na uhalisia wa Zanzibar unaanza na Sultan ambaye ndiye mwenye bendera na hata wimbo wa Zanzibar umetokana na Hizbu.. Kwa hiyo pengine nambie Mapinduzi yalikuwa na haja gani? au hayakuwa ya Wazanzibar?
 
Sawa tuzungumzie Uhalisia..

Zanzibar yao ni ipi?.. hawa karibu wote walikuwa na SULTAN na uhalisia wa Zanzibar unaanza na Sultan ambaye ndiye mwenye bendera na hata wimbo wa Zanzibar umeotana na Hizbu.. Kwa hiyo pengine nambie Mapinduzi yalikuwa na haja gani? au hayakuwa ya Wazanzibar?

kwa hio umekubali kama unaspin ?

wazanzibari waliomuondoa mkoloni muarabu ili wawe huru, wawe na sauti ya kuamua juu ya hatma yao ndio hao hao leo wanaona kua kumbe kuungana na hawa ndugu zetu kumepelekea kupoteza kile ambacho ss tulikipigania kutoka kwa mkoloni na sultan.

hatukumpindua sultan ili tutawalie na muafrika mwenzetu. ss tunataka muungano wa usawa muungano unaoheshimu hadhi yetu na maamuzi yetu.

ktk muungano huu ambao watanganyika wao ndio muungano hatuhuhitaji.wizara zote zisizo za muungano watanganyika wanashiriki kama Tanzania na zanzibar haina sauri juu ya hilo. tukisema ss walalamishi.

sizani kama Tanganyika ingekubali kuchukua nafasi ya zanzibar na zanzibar kuwa Tanganyika. TFF imajulikana na FIFA kua muwakilishi wa Tanzania wakati michezo si muungano. elimu ngazi ya chini si muungano UNESCO inatambua Tanganyika kama Tanzania. Ardhi , Miundo mbinu na mengineyo. tuwe wa kweli na wapenda haki hata kama nyny ndio mnazulumu jueni kua zanzibar wana haki juu ya madai yao

MSITUMIE MBINU ZA GHILBA NA SPINNING NA KUTUGAWANYA
 
Namshangaa analalamika wakati yeye ni sehemu ya serikali ya zanzibar na ndio wenye maamuzi na zanzibar yao.

Labda hayo malalamiko yake Ni sala alikuwa anayawasilisha kwa Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom